MAFURIKO! MWANZO MWISHO WANANCHI WA KIGOMA WALIVYOWEKA REKODI KWA MAPOKEZI MAKUBWA YA KIKOSI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ค. 2024
  • #daimambelenyumamwiko #timuyawananchi
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 261

  • @ceankiiza9945
    @ceankiiza9945 2 หลายเดือนก่อน +44

    Nimefurahiii Mpaka machozi jaman Yanga ni chanzo cha Aman,upendo,Furaha2 ❤❤❤❤❤

    • @user-zw1rk1bq7l
      @user-zw1rk1bq7l 2 หลายเดือนก่อน +3

      Ndo maana ya timu kubwa na timu ya wananchi, baraka zote zipo juu ya Yanga❤❤

    • @rukiakyaka1827
      @rukiakyaka1827 2 หลายเดือนก่อน

      Nikweli

  • @msabahamalonda2249
    @msabahamalonda2249 2 หลายเดือนก่อน +44

    Kigoma mmetuwakilisha vzr Wananchi hamna baya.❤❤❤❤❤❤

  • @user-br7fz4zd5x
    @user-br7fz4zd5x 2 หลายเดือนก่อน +32

    Wachezaji mmeona sasa deni lipo kwenu nijuu yenu kesho inshaallah kuwafurahisha wanakigoma ❤❤❤❤❤

    • @Alexismadimo
      @Alexismadimo 2 หลายเดือนก่อน +3

      We waache watuletee ufala tukutane mwisho wa msimu kwenye kukata majina

  • @ezrayohana3541
    @ezrayohana3541 2 หลายเดือนก่อน +39

    Mimi ningekuwa Mashujaa nisingepeleka timu kesho wallah😀😀😀

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 2 หลายเดือนก่อน +3

      Acha wakakamilishe ratiba bhana.alafu usiwatishe wanetu haooo😂.

    • @MomadeMudimoz70-cs2ud
      @MomadeMudimoz70-cs2ud 2 หลายเดือนก่อน +3

      😂😂😂😂🔥🔥🔥

    • @awetumtengera1147
      @awetumtengera1147 2 หลายเดือนก่อน +4

      SS tuna watu jamani, yanga Raha sana.

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 2 หลายเดือนก่อน +3

      Mashujaa huwa wanasumbua sana yanga.

    • @bebebebe5677
      @bebebebe5677 2 หลายเดือนก่อน +3

      Kwann😂😂

  • @Mary-fs4mc
    @Mary-fs4mc 2 หลายเดือนก่อน +21

    Du! mmejua kuitika wananchi❤

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 2 หลายเดือนก่อน +14

    MUNGU ni mwema kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @charlesmwaipasi2884
    @charlesmwaipasi2884 2 หลายเดือนก่อน +18

    wanakigoma mmetisha sana

  • @user-lq9ud4hx8q
    @user-lq9ud4hx8q 2 หลายเดือนก่อน +8

    Mimi ndio ningekuwa naamua sehem ya kupokelea kombe ningechagua kigoma aisee mmetisha sana aisee mikoa mingine tuige kwenu juu ya hili

    • @tawakalimankasim82
      @tawakalimankasim82 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli bora kombe lipelekwe kigoma wanasapoti sana hawa watu wamejitoa sana kwa yanga Hongera san kigoma. Yanga Bingwa

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 2 หลายเดือนก่อน +8

    Hongereni Kwa kujitokeza kuilaki team yenu Daima mbele Nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 2 หลายเดือนก่อน +10

    Mashabiki was yanga kigoma mmeonyesha upendo wa kweli kwa team yenu 💚💚💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌻🌻💐🌼

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 2 หลายเดือนก่อน +12

    Subhanallah Utukufu niwako Allah kwaneema hii Tuzidishie naeema yako Inshaallah

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 2 หลายเดือนก่อน +1

      In Shaa Allah amiin thumma amiin Yarabbil A'alamiin Yarahman Rahim

  • @Alexismadimo
    @Alexismadimo 2 หลายเดือนก่อน +10

    Wachezaj nahisi kuna funzo mnapata kupitia umati huu
    Sisi mashabiki tunapenda sana timu zetu fanyeni kaz yetu vzr tunawaomba mkizingua tunawakataa

  • @merinachalinze-rn2cc
    @merinachalinze-rn2cc 2 หลายเดือนก่อน +11

    Mungu awape furaha mpka kesho tupate ushindi mnono

  • @adolfmathew9698
    @adolfmathew9698 2 หลายเดือนก่อน +11

    Duh hii ni noma sana we're dar es salaam young Africa. Hii ni nzito big up kigoma mmetisha ile mbayaaaaaaa

  • @neemasaid483
    @neemasaid483 2 หลายเดือนก่อน +5

    😭😭😭😭😭dah🙌🙌🙌am speechless wallah DAIMA MBELE NYUMA MWIKO we are young Africans 💚💛💚💛💪

  • @chrissantkaunda9958
    @chrissantkaunda9958 2 หลายเดือนก่อน +18

    The club above all.Yanga forever 💚💛💚💛

  • @mwaitwalilechannel2024
    @mwaitwalilechannel2024 2 หลายเดือนก่อน

    It so fantastic, so amazing, for the younger Africa fancy, daima mbele nyuma mwiko💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛

  • @ggshambaproject9106
    @ggshambaproject9106 2 หลายเดือนก่อน +6

    Big club in Africa. Daima mbele nyuma mwiko👍

  • @samsung-zb3xi
    @samsung-zb3xi 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kigoma wametisha manayake ushindi niwetu hakikisha munafagilia mpaka basi💋💋💋nawapenda💛💚💛💚💛💚💪💪💪

  • @fabianmihafu697
    @fabianmihafu697 2 หลายเดือนก่อน +4

    Big up sana Wana Yanga wa Kigoma, mmeiheshimisha timu na kuwapa morali wachezaji

  • @user-el2zc5fi7k
    @user-el2zc5fi7k 2 หลายเดือนก่อน +8

    ahsante wana kigoma kwa kuisapoti timu yenu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 หลายเดือนก่อน +4

    Sura za watu kigoma zinaonesha upendo wa dhati hongereni 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lisally09
    @lisally09 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kigoma mojaaa🔥🔥🔥 mmetisha sanaaa Wananchiiiiiii🎉❤

  • @AminaTanzania
    @AminaTanzania 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu tazama wanao wachezaji wanavo wapenda wakingoma kesho kasimame nao waweze kuwafurahisha baba. Wapambane kama Kuna madawa kaya vujevuje Yanga iweze kupata matokeo yetu

  • @dennisdennis7559
    @dennisdennis7559 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kigoma nimekubal sana wanangu mmetisha ile mbaya yan 💛💚

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 2 หลายเดือนก่อน +2

    Haki nimekumbuka mapokezi ya daimond kigoma hakika kigoma wanatisha hongereni mna umoja mna mapenzi ya dhati kwa mnaowapenda.🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @user-kx1kv5nq9i
    @user-kx1kv5nq9i 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kwa hiki waliokifanyan wanakigoma ningeomba uongozi mechi yetu ya kukabidhiwa kombe tuipeleke kigoma

  • @user-vp7ol4hu9w
    @user-vp7ol4hu9w 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hii ndo maana halisi ya timu kubwa ❤❤❤❤❤❤❤ yang naipenda sana

  • @Macampgoranga
    @Macampgoranga 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mlatishijeee ni hatariii.......kg nivichuyaaaa kigoma ninyi ni kweleeeeeeeee❤❤❤❤

  • @JaphetLionel
    @JaphetLionel 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kigoma yewe gaye

  • @seraphinomawanja
    @seraphinomawanja 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amazing what a warm welcome huu upendo umoja mshikamano ambao unaleta amani ya moyo na kwa jamii sijawahi kuhushudia katika siku za hivi karibuni big up uongozi wachezaji bench la ufundi na wanna kigoma kweli mmetisha

  • @user-sz9om9ly4y
    @user-sz9om9ly4y 2 หลายเดือนก่อน +2

    Natokea mkoa wa songwe niawatakie wote wachezaji wangu daima mbele nyuma mwiko tuko pamoja na viongozi wetu tuwape sapoti yetu tutashinda jumapili mungu mkubwa,wachezaji mtupe furaha muamke salama siku hiyo.

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Very nice wallahi❤❤❤❤

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wameacha kazi zao kwa kuja kuwapokea wapambnj wetu,mmbarikiwe saaaana,wachezaji mna deni kubwa kwa wana kigomaa,mkapambne na Mungu azidi kuwa nanyi,mtufurahishe mashabiki.

  • @user-nl8ec4np1t
    @user-nl8ec4np1t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Daah that is awesome! KILA LA KHERI team

  • @BrownMusolini
    @BrownMusolini 2 หลายเดือนก่อน +1

    True Love 💖😭😭 kweri mpila wa miguu yanahisia Kali ukiachan na mapenzi

  • @user-qm5un9yc8r
    @user-qm5un9yc8r 2 หลายเดือนก่อน +1

    Love yanga

  • @Mr.kigoma
    @Mr.kigoma 2 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂 yaaaan hapa nouma zote ni team zang ila watu wangu mmetisha san

  • @RamadhanAlly-cf7du
    @RamadhanAlly-cf7du 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kigoma mmetshaaaaaaaa hongereniiiiiii

  • @realbeda2880
    @realbeda2880 2 หลายเดือนก่อน

    Kigomaaaaaaaa❤❤❤❤

  • @user-gn2ft5yb8f
    @user-gn2ft5yb8f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duu hatar yan furaha imenizidi had machoz jaman mbona yanga hii imekuwa tishio kubwa kwa tz jaman naipenda sana yanga najivunia kuwa mshabiki wa yangu mm I love you Young Africa

  • @IzihakaHasan
    @IzihakaHasan 2 หลายเดือนก่อน

    Mmetisha mwaaaa

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni kigoma kwa mapokez mazur

  • @RamaMussa-cn5co
    @RamaMussa-cn5co 2 หลายเดือนก่อน

    Daaah hii imeweza knoma

  • @alphajonathanurio1227
    @alphajonathanurio1227 2 หลายเดือนก่อน +3

    Noma sana💪🙏💯

  • @user-wk4rc6cb4i
    @user-wk4rc6cb4i 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi ni mkazi WA Dar ila nashauri paredi la UBINGWA lipigwe Kigoma

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ndio maana makola alivyo fika kigoma alizomewa masiki kumbe kigomaaa young Africans ⚽🏆🏆⚽💛💚👋

  • @tawakalimankasim82
    @tawakalimankasim82 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mara hii Kombe lipelekwe kigoma kushangiriwa. Maana wamejitoa kweli watu wa kigoma. Hongereni sana. Yanga oyeee. Yanga bingwa

  • @wazinzatv3152
    @wazinzatv3152 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kigoma mmetisha🎉

  • @merinachalinze-rn2cc
    @merinachalinze-rn2cc 2 หลายเดือนก่อน +3

    Daima mbele nyuma no

  • @AndrewMabagala
    @AndrewMabagala 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika mafanikio ni jambo jema siku zote. Hongereni sana Wanayanga

  • @LuqmanIddi-cb8me
    @LuqmanIddi-cb8me 2 หลายเดือนก่อน +5

    Aisee Wana kigoma shikamoni

  • @am_matis
    @am_matis 2 หลายเดือนก่อน

    IKIPENDEZA UONGOZI NA WATENDAJI WOOTE WANACHAMA NA MASHABIKI JEZI ZA MSIMU UJAO ZIKAZINDULIWE APO IWE KAMA ZAWADI KWA WANACHAMA NA MASHABIKI WAKIGOMA WANA LOVE SANAAAAA💚💚💚💚

  • @JANE-jv4eq
    @JANE-jv4eq 2 หลายเดือนก่อน +3

    Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-ul2qg8ds6f
    @user-ul2qg8ds6f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maana halisi ya Timu ya wananchiii💚💚💚💚💚

  • @AmanduceFesto-nb6kh
    @AmanduceFesto-nb6kh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hat wapnzan waniwekee mzgo wa hela kias chcht nitaipokea kimwili Ila kiroho siwez kunibandua kwny yanga yang I love you you YANGA

  • @MuddyZege
    @MuddyZege 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wananchiiiiiiiii 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️ big up kgm.

  • @janethraphael4767
    @janethraphael4767 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kigoma 🙌🙌💛💚

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kigoma yote Yanga, Wanannnnchiiiiiii

  • @kiboshokiboshomungumkubwa7789
    @kiboshokiboshomungumkubwa7789 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani kwel kigoma mwisho wa reli mmetisha safi sana

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kigoma nimewainulia mikono. Mko juu sana.

  • @irenemanass
    @irenemanass 2 หลายเดือนก่อน

    Yaan nimejikuta nafurahi adi chozi limenitoka,Mungu tupe ushindi siku ya leo

  • @shaibusaady2420
    @shaibusaady2420 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allaah Akbar

  • @user-nn8yj7fe4n
    @user-nn8yj7fe4n 2 หลายเดือนก่อน

    Aaaaaah aisee, nimekubali kigoma hii imeendaaa

  • @geraldndosi2083
    @geraldndosi2083 2 หลายเดือนก่อน

    Nomaaaa

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 2 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba mwakani mechi mbili zipelekwe kigoma.

  • @ShadrackMwakajwanga
    @ShadrackMwakajwanga 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wananchiiiiiiiiii

  • @mwajumampokileomckapela7541
    @mwajumampokileomckapela7541 2 หลายเดือนก่อน

    Upendo wa hali ya juu wananchiiiiiiiii wa kigoma mmetuwakilisha vema✅✅🔰🟢💚💚🙏🙏

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 2 หลายเดือนก่อน

    Young Africans for life

  • @DuduBoysSilvester
    @DuduBoysSilvester 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo ni Maan Harisi Ya Timu Kubwa Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii🖐️🖐️🖐️🖐️💚💚💚

  • @danielkomba5202
    @danielkomba5202 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huu msafara kudadadadadek🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MuhinaCharse-gt7og
    @MuhinaCharse-gt7og 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kigoma ni nchi nyingine aiseee

  • @mrsultanzimbwe6746
    @mrsultanzimbwe6746 2 หลายเดือนก่อน +2

    Rifa wa kesho umeona na wasaidizi wako kaeni sawa acheni ujinga wa kuchezesha kichkchk mspendelee mtu ..watu wanaumia na tmu zao hawalali

  • @AnderwMichael
    @AnderwMichael 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kigoma leka tutigite 😍😍😍
    Yanga raha mpaka karaha kwa majirani mpaka 2030

  • @davidarabiy3924
    @davidarabiy3924 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana wana kigoma yanga taifa kubwa sana

  • @user-vf5pp2wn1f
    @user-vf5pp2wn1f 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nimefulah san jmn yanga oyeee

  • @ibrahimmwasamila6412
    @ibrahimmwasamila6412 2 หลายเดือนก่อน

    Timu ya wananchi tukutane lake Tanganyika saa kumi 🎉🎉

  • @kinyabaonlinetv9568
    @kinyabaonlinetv9568 2 หลายเดือนก่อน +1

    Much love 💕💕

  • @chinowachatv6066
    @chinowachatv6066 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ila yanga

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 หลายเดือนก่อน

    Mashujaa kazi wanayo

  • @victorernest7702
    @victorernest7702 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kigoma chukueni Maya yenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-dd3nc9py2i
    @user-dd3nc9py2i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Da mmetisha sana

  • @cynthiapwani1383
    @cynthiapwani1383 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shikamooo yanga yangu

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 2 หลายเดือนก่อน

    Daaah!!!

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wa Tz wanapenda mpira kazi kwenu yanga kesho

    • @user-ct4jp1ux1z
      @user-ct4jp1ux1z 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani kweli kabisa hilo ni deni kwenu wachezaji ole wenu muwaangushe mashabiki. Wamejitoa sana

  • @MYANONGUSA-wb4mo
    @MYANONGUSA-wb4mo 2 หลายเดือนก่อน +1

    The Team of Citizen,, Wananchi mmetisha sana

  • @RodaSteven-ci6ne
    @RodaSteven-ci6ne 2 หลายเดือนก่อน

    Waha shikamoo!! Mmetishaa

  • @friminamahiga6981
    @friminamahiga6981 2 หลายเดือนก่อน +2

    This is Yanga💛💚

  • @ziadamuhunzi6210
    @ziadamuhunzi6210 2 หลายเดือนก่อน

    noma sana aisee full shangwe

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mambo kama haya ndio yanayo msumbua mayele 😂😂😂

  • @emmanuelbageni4388
    @emmanuelbageni4388 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dah kigoma mmetisha kinomanoma

  • @AllyGolota
    @AllyGolota 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba mikoa mingine muwaige kama kigoma mm nawapongeza mpaka naria m/mungu atakuripeni

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 2 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @AbuuMpangile
    @AbuuMpangile 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watasema nako tumetoa pesa kweli kigoma mmetisha

  • @ernestraymond-uk4nh
    @ernestraymond-uk4nh 2 หลายเดือนก่อน

    True love🎉

  • @raphaelmwombeki4594
    @raphaelmwombeki4594 2 หลายเดือนก่อน +2

    tukiachana na maslahi ya pesa! wachezaji wa yanga huwa ni ngumu kuwatoaa!!! Yanga

  • @user-fb8pm7qh9i
    @user-fb8pm7qh9i 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hyo yanga

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe 2 หลายเดือนก่อน

    Kigomaaàaaaaaaàa mmetisha

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inshajesus kesho ushindi

  • @user-sn9nm1wu9j
    @user-sn9nm1wu9j 2 หลายเดือนก่อน

    makolo wamekubali yanga mfalme wa nchi hii