ความคิดเห็น •

  • @ernestmkwambe2371
    @ernestmkwambe2371 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe sana hadi tufike mbinguni

  • @isayambetwa6564
    @isayambetwa6564 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mubarikiwe sana

  • @moabuthomasi8347
    @moabuthomasi8347 10 หลายเดือนก่อน +1

    Najisikia furaha kwa nyimbo zenu Mungu awabariki

    • @sarahnyalando9364
      @sarahnyalando9364 10 หลายเดือนก่อน +2

      Hakika sichoki kuusikiliza huu wimbo! Sauti zimepangika! Mungu awafikishe mbali.

  • @amosiamenya8993
    @amosiamenya8993 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki mkafike mbali kwa utukufu wake

  • @samwelmwazini
    @samwelmwazini 10 หลายเดือนก่อน +1

    Inzamba mnanibariki saaana... neema ya Mungu iwe juu yenu siku zote

  • @neemamahongo1184
    @neemamahongo1184 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki msonge mbele tunaendelea kubarikiwa na nyimbo za inzamba

  • @christinalukwaro4062
    @christinalukwaro4062 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @dsk1tv749
    @dsk1tv749 10 หลายเดือนก่อน +1

    Sauti zenye utulivu wa Pekee zinainua Myoyo yetu na kutupatia tafakuri kubwa saan Be Blessed Inzamba 🙏

  • @SabinaSallaw-jp4py
    @SabinaSallaw-jp4py 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe Sana watu wa mungu

  • @inzambagroupacapellaoffici657
    @inzambagroupacapellaoffici657 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe sana wapendwa, kwa kuendelea kutufwatilia.

  • @maigagoodluck1481
    @maigagoodluck1481 10 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana

  • @magorimagori9264
    @magorimagori9264 10 หลายเดือนก่อน

    Kundi la kiume lenye nguvu kubwa Tz kwa sasa..najivunia kuwasikia ndugu zangu maana nyie ni mbaraka wa pekee kwangu

  • @missoyusto2772
    @missoyusto2772 10 หลายเดือนก่อน +1

    Big up INZAMBA.... Wimbo mtamu sanaa

  • @jenhandebogoyayi3409
    @jenhandebogoyayi3409 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo sus2 ni amizing hapo mwisho...

  • @AntoniMduma-vx4xk
    @AntoniMduma-vx4xk 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nice 👌 👌 👌 👌

  • @lisbonedson6032
    @lisbonedson6032 10 หลายเดือนก่อน

    Amina