Mashaalah umati muhamadu sauti nzuri Sana Allah awape kheri nying katika ubunifu amiin , qaswida nzuri Sana Ina mafunzo makubwa hasa hao wanaume waisikilize hii qaswida kutoka kwa ustadh wangu hap Allah awabarik wote 🙏🙏
Mashallah maneno mazuri mungu awazidishie kwa kazi yenu ameen inshllh yakweli maneno hayo yatokea mashallah mungu awazidishie kipaji chenu allahuma ameen inshllh mashallah
Mashallah mashallah mashallah mashair matamu ila kaka me nkupnda kwa ajili ya Allah na hkika sauti yko umejaaliwa akhiii mungu azidi kukunyooshea uendlee kutultea Qaswida zenye mafunzo 👏👏👏👏
Qaswida yangu pendwa nilikuwa nikiiskiliza kabla sijalal 😢 ilikuwa ikinuhuznisha sana kwan ilikuwa nipo kwenye wakti mgumu katika ndoa yngu nikm niliimbiwa mm 😢😢😢
Mungu awaweke wazee w2 mpo mbali na mm Ila natafuta maisha niombeeni mwenenu nijekuwalea na kuwaenzi inshaallah nakupendeni nyote nipo dar mpo Pemba dah maisha jamani nipo mbali na nyie kwa mda huu nawapenda sana
Yanatokea kweli kwenye ndoa zetu .......kwa kweli wanawake wanateseka ndoan......Allah afanye wepec yawaingie mafunzo haya.....qaswida nzuri Masha Allah...so choki kuxkiza
anaeskiliza kaswida mpka sasa 2024 inaingia tena iyo gonga like hapa❤
Og
Mashaalah umati muhamadu sauti nzuri Sana Allah awape kheri nying katika ubunifu amiin , qaswida nzuri Sana Ina mafunzo makubwa hasa hao wanaume waisikilize hii qaswida kutoka kwa ustadh wangu hap Allah awabarik wote 🙏🙏
Mashaallah mungu atufanyie wepesi tulioko kwenye ndoa,ameen.
p00p0ppppppp00p0p0ppppppppp
Mungu hawabariki saana nyote mlio fanikisha kufikisha huu ujumbe wenye mafunzo mazur. Mungu atawalipa.
Katika zote hii imenikamata Sana MaashaALLAH
Maa shaa Allah... wallah sheikh maneno yamenyooka... Allah atupe subra katika ndoa zetu...sote tupate mwisho mwema...naipenda Sana hii qaswida
Thanks
@@Khafidhally195 m
@@roselynerolex5122𝐒𝐡𝐮𝐤𝐫𝐚𝐧 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐤𝐢𝐥𝐳𝐚 𝐪𝐚𝐬𝐰𝐢𝐝𝐚 𝐳𝐞𝐭𝐮
Naipenda sanaaa ,elmu tosha kwa wanandoa. Manshaallah
Mashallah nazipenda sana qaswida zenu zifundisha na zinaelimisha pia allah aendelee kuwafanyia wepec kwenye kz yenu ya utungaji
Iko vizuri sana Allah awajaalie muendelee na kipaji chenu ustadh khafidh
MashaAllah Qaswida Nzuri Sana Inafundisha Pia Hongereni Sana Allah Awape Maarifa Mzidi Kutunga Qaswida Nzuri Kama Hii
Saidsalum
Mashllah kasida nzuri dana yenye mafunzo na ww kama waiona ina mafunzi usipite tuu ivi ivi gonga like yako apa👍😙
safi sana
Saff Sana ustadhi haffidh allahu baliq
Zamil Mohammed
Naipenda sana
Safi sana
Mashallah mashallah inshaaAllah mungu atujaalie kheri kwa wale wote tuliopo kwenye ndoa yaa rabbal aaalami
Mashaallah qaswida n nzuri ila yaniliza jamen,mungu atustir ktk ndoa zetu
ii nyimbo inanitoa machozi wallah mungu amewapa kipaji muendelee kukitumia vyema katika kufunza jamii inshaallah
Hi
Qswida hii mwenzenu inanitoa machoz
Asante kwa ujumbe sheikh madhila haya ni mengi twayaona katika jamii ila Allah atawapa subira wanawake na wanaume awaongoze in shaa allah
Megi yauma ila tupe subra maulana
Jamani tubadilike wanaume plz😭😭😭haya sio mafunzo ya Mtu me wetu. Tuwapende wake zetu❤️❤️❤️
Ma shaa Allah Allah akuongoze daima
Mashaallah ustadh hafidh na ustadh Rashid mnatupa mafunzo ya maana kila siku lazima nisikilize qasida zenu mpaka nipate usingizi. Mashaallah.
Mashaalla
𝐌𝐚𝐬𝐡𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡
Hiyo kweli kabisa Hafidh
Nitafutieni mke kama huyo ni mpe maraha mashaallah
Yasikitisha mpaka nimakumbuka yangu maisha ya nyuma mola atupe subra
Rahma salam alaykum amiiiina inshaalwah
Mashaallah mungu azidi kuwabariki na kuwawezesha zaidi
Mashaallah mungu awabariki kwenye ndoa yenu
Naipenda Sana hii qaswida Leo ni 31 December 2024🥰🥰🥰🥰
Masha Allah qaswida nzuri..twapata elim...
Mashaallah uko vzr ustdh hfdh
Thanks
Jhiic
Mashallah maneno mazuri mungu awazidishie kwa kazi yenu ameen inshllh yakweli maneno hayo yatokea mashallah mungu awazidishie kipaji chenu allahuma ameen inshllh mashallah
🤲🤲🤲
❤
Maneno hayana shaka ndani yake
Inanipa huzuni sana kaswida hii
Naipenda sana sana
Masha Allah i love this kaswida
Mashallah mashallah mashallah mashair matamu ila kaka me nkupnda kwa ajili ya Allah na hkika sauti yko umejaaliwa akhiii mungu azidi kukunyooshea uendlee kutultea Qaswida zenye mafunzo 👏👏👏👏
mashaalah
Kweli maalimu uko vizuri pamoja nanyi wote mungu azidi kuwapa kheri na mwisho mwema
mashallah mashallah mungu akupe kipaj zaid amiin
ALLAH awajaze SUBRA na muwe wenye AFYA na swiha njema muzidi kuelimisha
Qaswida yangu pendwa nilikuwa nikiiskiliza kabla sijalal 😢 ilikuwa ikinuhuznisha sana kwan ilikuwa nipo kwenye wakti mgumu katika ndoa yngu nikm niliimbiwa mm 😢😢😢
Qaswida nzuri sana mungu awalipe
yanatokea sanaa mwenyezi mungu atuzidishie mioyo ya imani
sijawai kuwaona mkikosea mwenyezi mungu awape maisha marefu
Inatufundisha sisi tulip kwenye ndoa za Masha Asante Allah akulinde na akupe uhai mrefu
Wimbo unagusa moyo.. Mwenyez Mungu akupe umr mrefu kaka
Akupe moyo ambawo upo mweup mungu wetu
Mungu awaweke wazee w2 mpo mbali na mm Ila natafuta maisha niombeeni mwenenu nijekuwalea na kuwaenzi inshaallah nakupendeni nyote nipo dar mpo Pemba dah maisha jamani nipo mbali na nyie kwa mda huu nawapenda sana
Mashaallah napenda kuzisikiliza kaswida zenu Allah awazidishie kheri Amin😗😗😗
Masha allah qaswida iko na mafunzo mazur sana Ina hitaji mazingatio Amina yarabilalamina
Mashaallah ujumbe mzur sana mungu atulinde na ndoa zetu
mashallah jamani qaswida zenu nzuriiiii
Mola atupe subra kwenye ndoa zetu qaswida nzuri saana thank you for giving us information
Wanaume wanaume mpatapo msisahau mlipotoka naaliyekuvumilia kipindi cha dhiki allah anawaona
Vizuri sana mzidi kustua nyoyo mwanadamu msahaulifu
Mashallaah ostadhi asante kwa ujumbe huu mzuri
Masha Allah nimependa sana Q swid nimejifunza mengi sana kupitia hii q swid
Shukran
Mashaalah qaswida nzuri Sana nimeipenda
mashaallah ujumbe mzuri wallah hafidhi mie nakupenda buree Allah akuzidishie
Ukweli kutoka moyoni nampenda Sana Hafidhi kwa qaswida zake nzur mungu amuongozee mema
Awe mola wangu nipe subra katika ndoa yangu allhamduliha
Nimeielewa sana hii kasda haya yapo hii ni mume kumfanyia mke mm yalinikuta nilifanyiwa na aliyekuwa mke wangu .
Masharaaa jamani hongera Sana Kaka hakuna kitu ninacho kipenda Kama hiki mungu akube Maisha marefu Sana uzidi kufundisha wat
Eee mwenyez mungu wasimamie hawa walio kwenye ndoa na wanaotaman kuingia kwenye ndoa wajaalie mambo kama haya yasiwakute
masha.Allah educative qaswida l love it from mogadisho
Mashallah Allah Grant you more for good lesson to us. This lesson reflects social reality, that is applicable in our today's societies
Dah mi nimependa miziki yakidunia ila hii kaswida imenigusa🙏🙏😭❤️
Mashaalllha Allah awape afya njema mzidi kutuelimisha kwa qaswida
Mashaallah walah qaswida hii nimeipenda saana inaelimisha saana
Masha Allah qawsida imenigusa sana..Allah atupe subra sote inshaAllah. 🤲
Mashaallah qaswida nzuri mnoo❤️❤️❤️🔥
❤mashaalah ni kasda nzuri sana mungu akujaalie riski z halal❤
sheikh upo vizuri ujumbe umetulia mashaallah .hafidh
Mashallah mungu akuzidishie kipaji
Mashallah Qaswida nzuri sana yenye mafunzo
A.J. ISSA thnks
Mashaalah, Qaswida nzuri sana
Mashaallah Allah atujalie kwenye ndoa zetu
Qaswida zenu zipo vizuri, Allah awaongoze
Arapha Saidi shukran
Mashaallah iko poa sanaaa
Mashallah qaswida nzur naipenda na sichoki kuitizama coz ina mafunzo mema
Mashallah hafidh qaswida zake nzuri
Masha Allah qaswda nzur yenye mafunzo allh awajie wana ndoa wawe na subra
mashaallah
Hakuna kama ahalul madina shekhe hafidh ww nihodari hata mahiry zeni alifahamu iloo zidisha bidi ufanikiwa kupitia sana hiii ishaa Allh
Mashallah mungu afanyie wepesi kwenye kazi zenu
Ni kwel wanaume wengi wenye MKE zaid ya mmoja uadilifu hawana
Yakweli asaa wanaume wengine wanajisahau km tumetoka nao mbali...ila malipo duniani😢😢
Shehe Hafiz kaswida
Allah atupe subra yakutosha maana waume wame tuugazasana roho Allah awapekheri mlio towa mafunzohaya wanaumewote Allah Awaongoze
Nimeipenda hiikaswida naombeni mnitumiye
mashallah shekh Hafidh Allah akupe baraqa tele uzid kufunza mema ...
Allah Mlezi atuepushe n Madhara yanoletwa n waume Zetu na atujaalie Salama.
Mashaalla Zanzibar wanaume mjifunz kweny hii kasida
Ma sha Allah ustadh Hafidh napenda qaswida zako,inaliza hasa
Pole sna
Mashaallah nawa kubali sana hawa masheikh Wana qaswda nzur sana
Masha Allah kweli,ninzuri,nimeipenda,sana
Naipenda xan yan japokua xio din yangu mungu awajalie mafaniko maref
mungu akuifadhi shekhe kazi nzuri dana
mashaallah.daaa wa mama tunayo kazi
maashaallah kaswida nzuri
𝐒𝐡𝐮𝐤𝐫𝐚𝐧
alhamdulillah Allah awujuze zaidi ili mtoe nzuri kuliko hizi ,lakini nilikuwa naulize ile qaswida mlio piga pale kwenye steji sijaiona utubu
Mashallah qaswida nzurii
Mola akubaliki akujalie afya njema
Qaswida gn hyo
Nikwel wanaume wakipata wanasahau walipotoka Nata Mimi yananikuta hayo
@@zainababuukijangwa9057 pole sna ndyo maisha
Allah wape wepesi ktk dunia na kesho akhera
Mashaallah shekhe hafidhi
Pole lakin na miziki
Mashallah wanawake tunapitia menge wallah
Masha Allah qasda nzur na hakika inafindisha
Mashalla mungu awajalie mzidy kutufundisha
Mashaallah mungu awazindue wanaume wote dunian
hiinani kumbusha mama yangu arikuwa anaipenda Sana mungu amrazemahari pemapeponi amii
Mashalla mungu atupe wepesi tulioko kwenye ndoa
Amini
Mashalah qaswida nzuri sn
❤❤❤ Mashallah Jazakallahu kheri From Kenya❤❤❤
Mashaallah,ujumbe umewafikia,Allah atawalipa kwa ujumbe mzito mlio toa.
Shukran
mashaallah qaswida nzuri
Inshallah 😭🙏🙏🙏🏻🙏
mashaallh sichoki kusikiliza hizi qaswida jamani
Maashaallah
Masha Allah Nice 🇰🇪
mansh Allah Allah tujalie tupat ndoa zeny kudum Amiin
Halim kepa Amiin dada angu
Mashaaalah nimeipenda
imeniliza hii Qaswida wallahi
Mashaallah yaani qasida zina mafunzo makubwa sana
mashaallah🙏
Masha Allah qaswida nzuri Sana imenigusa Sana hayo maneno ya kweli kabisa
MashaAllah mungu awazidishie,qaswida nzri.