Subhanallah!! Eee Allah tupe mvua zenye neema na sio nakama. Poleni sana ndugu zetu wote mlio kumbwa na hayo majanga Allah awape Subra na ufumbuzi wa hayo majanga.
Apo kuna chem chem nilishaga acha kodi yaniasika ni shida ndani kuna baridi mpaka kunatoaga harufu ya ukiweka kapeni chini kunavunda ndio maana nyumba zao nyingi zinatitia na kubomoka Mungu awape nguvu InshAllah
Tujitahidini sana tutubu maana haya yote ni kutokana na mikono yetu na Allah anasamehe mengi. Siku zote hatutafakari zaid ya kulaumu lakin nafsi zetu pia
Subhanallah!! Eee Allah tupe mvua zenye neema na sio nakama. Poleni sana ndugu zetu wote mlio kumbwa na hayo majanga Allah awape Subra na ufumbuzi wa hayo majanga.
SubhaanaAllah Ametakasika mwenyezi mungu
Serikali wanaomba kura ndio kwao muhimu wamesahau wananchi mitaro inahitajika nchi nzima inasikitisha sana 😭😭😭poleni sana jamani🙏🙏
Subhanallah.Allah atawapa subra
Ewe allah tunakuomba tujaaliye tuletee mvua ya kheri amin yaallah 😢😢
Poleni sana ndugu zangu ahaaa hatali sana nakumbuka mbali sana😭😭😭😭😭👏👏👏👏
Subuhanallah mtihani
Apo kuna chem chem nilishaga acha kodi yaniasika ni shida ndani kuna baridi mpaka kunatoaga harufu ya ukiweka kapeni chini kunavunda ndio maana nyumba zao nyingi zinatitia na kubomoka Mungu awape nguvu InshAllah
Uko sahihi kabisa .kuna unyevu hapo
Poleni sana
Waleykum Salaam warahmatullahi wabarakatuh 😢💔
Subuana Allah 😢😢😢
A,alaikum maalim mm ninaswalli kdg naombaniulize, Je? Inafaa kumuoa binti wa nduguyake babu yako
Nyumba za Dar ni aibu dahh bora ya bibi yangu kijijini 😮
Tz.nzima watu wanaoishi.kwa.shida.na.nyumba.ambazo.ni.hafifu.basi DSM NAMBA 1
Kumbe ni bondeni
WAPELEKWE MASAKI PORI.LA.MASAKI WAKATIWE VIWANJA WATU WAMESONGMANA SANA ONA UCHAFU HUU WA.MAKAZI HAFIFU
😂😂😂😂😂bora za mabibi zetu vijijin 😅😅😅😅😅😅😅
Kabisa yaan Mbagara ni balaa
SubhanAllah 😢 Poleni sana
SubhnaAllqh
SUBHANALLAH 😢
😢😢
Kolera j.mn😢
Apo ni nyyumbani kwa maji tusilaumisne
Sisi Tunakawayda yakupotezeya adhabu za allha
Tujitahidini sana tutubu maana haya yote ni kutokana na mikono yetu na Allah anasamehe mengi. Siku zote hatutafakari zaid ya kulaumu lakin nafsi zetu pia