DR.MOHAMED: ATAPIKA NYONGO UJIO WA AHOUA SIMBA SC | HATUSUBILI MSIMU UJAO, UBINGWA UPO MSIMBAZI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ค. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 38

  • @nikasmkud7332
    @nikasmkud7332 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ni kweli ni mzuri Mungu atubariki acheze afikie malengo hayo AMINA .

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 2 วันที่ผ่านมา +1

    TUOMBE MAJINI YA UTOPOLO YASIMZULU ,SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @drallan6879
    @drallan6879 2 วันที่ผ่านมา +2

    Dr Mohamed hongera u love Simba deeply

  • @user-qy4hw7ip6q
    @user-qy4hw7ip6q 2 วันที่ผ่านมา +2

    Nakubal

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 วันที่ผ่านมา

    Mkiwasifia sana wahuni wanaingia msituni,, utaona jmaa anakua majeruhi

  • @amaniwanga8621
    @amaniwanga8621 2 วันที่ผ่านมา

    Woohoo 🎉🎉 Dr moo

  • @jumamakame3978
    @jumamakame3978 2 วันที่ผ่านมา +1

    Tumekuzowea na mwaka jana uliwasifu kina onana kuliko hivo 😂😂😂😂

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 2 วันที่ผ่านมา

    Hahaha kweli mnaweza kuwa machiz😂😂😂😂

  • @ConjestarSamwel-xr3jw
    @ConjestarSamwel-xr3jw 2 วันที่ผ่านมา

    Simba nguvu moja! Mungu awatangulie wachezaji wetu wacheze vizuri awamu hii wasituagushe jamani,

  • @HalidiKilale-i8i
    @HalidiKilale-i8i 2 วันที่ผ่านมา

    Hawa Simba jamani watawaua vyura jamani sio kwa usajili huu...

  • @kihilenahimana8821
    @kihilenahimana8821 2 วันที่ผ่านมา

    Mpaka mtangazaji amemchoka kwa uongo.

  • @MikidadiNyangi
    @MikidadiNyangi 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uongoz wa simba uwe makin sana kwan uto wana wapiga misumar wachezaj wetu

  • @geofreykasinda1895
    @geofreykasinda1895 2 วันที่ผ่านมา

    Nachoona mashambiki wenzangu wa Simba ebu tuache kumsimfikia wachezaji , ni kuwatia pressure tu na ndo sisi tutawashusha kiwango Kwa haraka, ebu utupungunze meneno

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona unajimaliza mapema anyway si umefungiwa wewe kujihusisha mambo ya mpira

    • @sonmjofficialtv9090
      @sonmjofficialtv9090 2 วันที่ผ่านมา +1

      Hajafungiwa kujihusisha na Mpira ila kushiriki katika mambo ya ndan ya simba ikiwa kama vikao na mikutano ya simbimba (mambo ya ndani) ila kuiongelea au kwenda uwanjani huko anashiriki tu

  • @HalidiKilale-i8i
    @HalidiKilale-i8i 2 วันที่ผ่านมา

    Jamani simba wanasajili tz hii hakuna timu walio sajili Kama Simba sport club ni hatari Sana...

  • @KhatibuKhamis-yq5zq
    @KhatibuKhamis-yq5zq วันที่ผ่านมา

    Ardhi iliomtoa pacome yao yaooo😊

  • @subiralema
    @subiralema 2 วันที่ผ่านมา

    Ata onana mlisema ndugu wa etoo

  • @SamiriWahab-ue1wy
    @SamiriWahab-ue1wy 2 วันที่ผ่านมา

    Yanga bingwa Mara 5 kwa huu usajili

  • @subiralema
    @subiralema 2 วันที่ผ่านมา

    Mnajipa moyo kweli😂😂😂

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 2 วันที่ผ่านมา

    Tatizo cmba tunazidiwa kwenye tunguri basiiii hivyo

  • @KhatibuKhamis-yq5zq
    @KhatibuKhamis-yq5zq วันที่ผ่านมา

    Wameanza kujisahau😂😂😂

  • @user-bx1qo9fe3q
    @user-bx1qo9fe3q 2 วันที่ผ่านมา

    Jamani msiongeesana mtaona aibu nyny watu wa simba

  • @kihilenahimana8821
    @kihilenahimana8821 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu anaejiita Dr/Mchambuzi hajui lolote ktk uchambuzi ,isipokuwa ushabiki na ucommediani kama msemaji wake.😊

    • @athumanmsuya2688
      @athumanmsuya2688 2 วันที่ผ่านมา

      Wee uto mwache Dr atiririke

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd 2 วันที่ผ่านมา

    Unamsifia mpaka unavuka viwango

  • @mwajumatubajike1743
    @mwajumatubajike1743 2 วันที่ผ่านมา

    Acha wivuuu kaa kimyaaa d'octave Moo m'acheter aisément simba yakeee yanga roho mbayaaaaa

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u 2 วันที่ผ่านมา +1

    Doktar mo huyu dogo viongoz wamenda sawa Kwakwer Mo dewji apewe mauwa yake analeta vinu vya nyuqway anavishusha vtu

  • @RamadhaniMuhando
    @RamadhaniMuhando 2 วันที่ผ่านมา

    Wew ndie unae jua kafungiwa ila tunakutony kua yup hur hajafungiw

  • @isayamneja7020
    @isayamneja7020 2 วันที่ผ่านมา

    Endelea kusifia
    Usichokijua, ndio mata
    tizo yenu

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 2 วันที่ผ่านมา

    Mbona yanga usajili wao hauvumi kama cmba?????

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 2 วันที่ผ่านมา

    Kwan chama ndio watu tumeondokewa na wazaz na maisha yanakwenda ijekuwa chama kuondoka cmba naende cmba ipo kabla yeye hajazaliwa naitaendelea kuwepo kazi utopolo

  • @kamazimamuganyizi6932
    @kamazimamuganyizi6932 2 วันที่ผ่านมา

    Mbona watu wa Yanga mna hasira huyu anaeongelewa ni mchezaji wa Simba

  • @jeremiamadinga9579
    @jeremiamadinga9579 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu inaonekana nimlevi mbona maelezoyake nikama mlevi?

  • @user-bx1qo9fe3q
    @user-bx1qo9fe3q 2 วันที่ผ่านมา

    Nimechunguza kuanzia chama atoke chama washabki wa simba kama wamepagawa wanafulah hata lig haijaanza

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA 2 วันที่ผ่านมา

    CHAMA ALIIIISHI NDANI YA SIMBA MIAKA 6 ..INATOSHA ....YANGA ACHENI WIVU... SIMBA VIONGOZI WAO HAWAITAJI YANGA ILA ALI KOMWE YEYE ANAITAJA SIMBA.....OHHHH MUTALE KAMA SIBOMANI NYOKO sana