Safari ya Mafanikio: Jinsi Mbolea za Minjingu Zilivyoboresha Mavuno Yangu ya Nyanya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • #KilimoKwanza #KilimoBora #MavunoMengi
    Lisha udongo na mbolea ya minjingu.
    Kampuni ya Minjingu Mine Fertilizer limited ni wazalishaji na wasambazaji wa mbolea za aina mbalimbali, ikiwemo ya kupandia, kukuzia na kunenepeshea ama kuongeza mazao.
    Mbolea ya minjingu ni mbolea asilia yenye virutubisho nane ndani ya punje moja ambayo huongeza mavuno ya mazao kwa kiasi kikubwa, huyeyuka taratibu na hukaa muda mrefu kwenye udongo, mbolea ambazo zinauwezo wa kuhudumu katika mazao yote ya nafaka, matunda na mbogamboga.
    Lisha udongo na mbolea ya minjingu, karibu mkulima mwenzangu katika mashamba ya wakulima wenzetu waliotumia mbolea ya minjingu na kupata matokeo bora shambani.

ความคิดเห็น •