Mpoji kuwamacho mama shandy ndo kamronga mkeo Andi kafikia kwaaliiyo ali taka mange apotelee mbali kabisa Mungu mpoye mange mange hunajuwa.😢 aliekufanyia ivo ni mama shandy shetani mkubwa wwe napenda sana ❤❤❤❤❤🙏🙏😢😢
Maoni yangu mmeelimisha vizuli sana ila Mbele mnahalibu ilikua mage.abaki na mponji Maisha Mazuli khajlra atange na Dunia kwa sababu Maisha ameyachezea kwa mikono yake mwenye ilikua funzo tosha kwa Jamii msingeingiza shilik
Pole mage tunakuombea sana utajifungua vizri na mama shdya akae akijua shimo ambayo unamchimbia mwezo utatumbukia wewe mwenyewe akuna akiwezekani,mbele ya mungu umba sana na kunga
Kwhy ww ulitaka movie iende unavyotaka ww hebu acheni ujinga . Mponji naomba endelea kutuelimisha najua umeandika umekusudia jambo Fanya kama ulivyowaza achana na watu wenye mihemko km hawa
Uku sasa mponj. Unakera Yan mage anadeka kweli ndio aende had hospital jaman? Ujiulizi kwann hospital Kila cku wanasema mage Hana ugonjwa? Na mtu ajickii vizur?
Wewe mnafiki ondoka yaani siku zote wafanye vizuri usikomment Leo uone movie aiendi kama unavyotaka wewe ndio ukomment. Mponji naomba watu kama hawa uwe unawajibu mbona mpole wewe hadi maisha yako ya kawaida
Baba shadiya hana akili utaweza kumsimulia mtu matatizo yako amabae ni adui yako wangap hatujapenda tujuane kwa like
@@AgnesDavidmtalemwa sema cyo akili yake kwahiyo tusimlaum sana
@annajumaa9274 sawa mydear
Duuh mama shadyaa shaitani asie na uruma kaah asie mpenda jamani like hapa natokea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪mposhi fungua macho🎉🎉🎉🎉
Huyu Hajra anachokitafuta atakipata mana kuna maisha baada ya tukio
Sema tu baada ya kufa😂
Your views, likes, comments, share and subscriptions mean the world to me. Thank you so much for watching our videos. Love y'all ❤❤❤. God bless you.
Heeee hapa sijapenda kabisa mponji umeboa sana
❤❤❤❤❤maqe nakupenda Kwamajibu. Upo vizuri
Tunaelekea kuwa na mponji was mchongo imeanza kukela Ila sawa kuwakuwa nimafundisho haya Mambo yapo
Mama Shadya ndio kamroga Mponji mpaka anaomba msamaha jamani uchawi upo maskini Mage anapitia wakati mgumu sana saii
Mponji unatukera sana ila nimafunzo wacha tu tuvumilie
Kweli mponji unaharibu movie sana Tena sana basi Mungu amusaidiye Mage
Kabisa kayi aribu Tena saana
Ajaharibu hata kidogo mage acha akome ye ndo mwizi wa mabwana
Mpoji kuwamacho mama shandy ndo kamronga mkeo Andi kafikia kwaaliiyo ali taka mange apotelee mbali kabisa Mungu mpoye mange mange hunajuwa.😢 aliekufanyia ivo ni mama shandy shetani mkubwa wwe napenda sana ❤❤❤❤❤🙏🙏😢😢
Nmewahi leo kutoka 254 hiyo sito pow maa shadiia
Uchawi wa nn ukiachwa achika banaee team Fuluss gonga like ❤❤❤❤
Team fulusi uko wapi
Kazi nzuri hajira mnafundisha sana hayo yote mnayoigiza yanatokea kwenye familia🎉🎉🎉
Maoni yangu mmeelimisha vizuli sana ila Mbele mnahalibu ilikua mage.abaki na mponji Maisha Mazuli khajlra atange na Dunia kwa sababu Maisha ameyachezea kwa mikono yake mwenye ilikua funzo tosha kwa Jamii msingeingiza shilik
Ni kweli kbs wanaendakuharbu kbs
Mana ulitakiwa kusimamakwa MUNGU ili kibaya kikifanyika kisitokee kwako
H@@JosephMvuviwahapa inatakiwa tujifunze kwamba mwanamke ukisha kumwaacha usimueke karibu chochote kinaweza kutokea
Ahsante sana wewe umenielewa. I love you 💕
Washaharibu tyr
Kweli mage omba sana mungu atamuumbua mama shadya
Pole mage tunakuombea sana utajifungua vizri na mama shdya akae akijua shimo ambayo unamchimbia mwezo utatumbukia wewe mwenyewe akuna akiwezekani,mbele ya mungu umba sana na kunga
😂😂😂hajra ungemronga aliye kukon pesa zako waronga maggie kwel any way keep it up team mponji
We mponji 😂😂😂😂😂😂wacha huchawi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Niue mponji sasa jesus yesu kayole Kenya hapa Mimi nimecheka yangu yote nguvu za babu 😂😂😂😂😂😂
Huyu Babu yupo kweli? Anapatikana wapi😂😂😂
Mponji Hilo tabasamu lako unajizuia tu haki movie Ni nzur Hadi Raha lkn mim Leo nachangua kuwa Na marafiki love movie yenye mafunzo 🎉🎉🎉🎉🎉
Mage mtafute Mungu kwa bidii kwa kuomba Mungu atakusaidia tu, wala usimuige hajera
Ajira mi sijapenda sitamani kuangalia mm naifatilia nasijawahi kutumia comment naninawah lkn Leo sijapenda
Hii movie imeharibika tayari.Mponji sitaiangalia tena hii movie.Mbna unakua hvyo lakini.Mage MUNGU akusaidie sana na uzae salama 🙏🙏🙏
Heeee mponji mupumbafu saana umeharibu movie Mage Mungu aku saidiye jamaani
Baraka msaidieni Mponji haraka iwezekanavyo bila hivyo Mponji atamkosa Mage,mtoto wake na mali zake
Mponji ahukosawa umemurudiya mama shadya😛😛😛😛
Maman shadia una marafiki😂😂😂
yaan hii move mnaenda kuiharibu xaxa
Mponji bureeee kabisaaa,Ombi langu Mungu akupe ufahamu wa Rohoni
Ila mage ana akili nikizani unakinga kwakombora hiyo sizani kama ungetoka salama😮😮😮😮
Sjapenda kabisaa mponji 😂😂😂😂😂 usharogeka sio
Wamwisho ila mmeaza kuharibu sijapendaaaa😏😏😏😏😏😏
Hapo napo hapana
Wew kaka unaboa bana sana kwa nin umekataa ushirikina kwa nin ulikataa kua mage alivokuambia kua hajira anamloga
Mponji marogo yashamuingia sijapendaa🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Mponjii asha naswaaa 😅😅😅
Mponji humetuangsha sana mashabiki wako sitamani tena kuangalia tena movie yako umenikera sana masalam
Kwhy ww ulitaka movie iende unavyotaka ww hebu acheni ujinga . Mponji naomba endelea kutuelimisha najua umeandika umekusudia jambo Fanya kama ulivyowaza achana na watu wenye mihemko km hawa
Jamn leo na mm nime wah nipen like
Umewacha pia ama likes tu
Mimi nime penda 😂😂😂 ado rahaa😂😂mage amekosea sana boss wako akawa mmee haiwezekani
Mponji kashikwa na babu huooo ila leo umezingua yaanii Mange endelea kumuomba Mungu Hajawahi kushindwa mama
Jamani hii filamu imeaza kuboesha Sasa
😢😢pole mage ila mponji umenikera 😢huyo mtoto wa wifi ya mage ni mrembo mashaallah 🥰❤❤
Nimewai leo Allahmdulilah nawapend sana ila ajra tuqchie wifi etu
MZIGO HUU HAPA FULL HD NI MTAMU VIBAYA MNO...MAMA SHADYA AMEAMUA KUTUMIA UCHAWI ILA MWISHO WAKE UTAKUWA MBAYA SANA TUPO HAPA
Mwisho wa ubay aibu tup tunangoj kimramb mm shadiy
Uku sasa mponj. Unakera Yan mage anadeka kweli ndio aende had hospital jaman? Ujiulizi kwann hospital Kila cku wanasema mage Hana ugonjwa? Na mtu ajickii vizur?
Mwisho wa ubaya aibu
Mna uhalibu.mchezo bola uishe
Mponji umeanza kupotea, Hadi naboeka sasa
Sasa kwann asingemroga halima ili arudishiwe pesa zake😢kwel ma shady mpumbavu had kichef chef
Hapo sasa ndo ananicanganya kabisa 😂kitamulamba kabisa
Mpumbavu huyu hajra kumbe mchawi mbn hakumroga halima
Mme wa mtu ni sumu 😂😂acha mage arogwe arifanya makosa kutembea na mme wa boss wake si vema
Aaaaah
😭😭😭😭Jamani Ajilah mugu anakuona tu
Weeuh 😂😂😂🙌 ama kwel uchawi upo jaman.... mponji unafeli sana
😂😂😂😂😂😂humu tu
@@darzone1020😂😂😂😂😂
Lipo la kujifunza hii Dunia jamani, unaweza ikawa umekaa tu na amani zako huna hili wala Lile hafu linajitokeza litoto la mtu linakuvunjia mayai
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Kwaiyo mponji usharogeka😂😂😂 aah cjapendraaaaa
Jamani sio poa dada kufanya hivo mumeo 😢😢
Pole San mega mungu akufanye weps dad
Mungu atamsaidia tu mama shadiya mungu atakuumbua mage mungu atakusaidia
Ambao mwataka kuingia kwa ndoa zawatu haya mjiandae kufa manga kufa dereva 😂😂😂
Baba shadiya😂😂😂😂😂😂utakufa vibaya nakuhurumia
Pole sana mage ila usichoke kuomba mungu kilaktu ktakua sawa.we ushuz kaa ulkua mwisho wa ubaya niaibu.
Jamaniii eeeh acheni makasiriko tulieni tuzidi kuelimishwa
Hii move mmeharibu mngeiacha hajra ateseke coz maisha aliyataka mwenyewe aikupaswq mage ateseke
Twambieni mlio olewa mambibi wapili mnatesekaje nahuyo bimkubwa au mdogo kazi mnayo😂😂😂
Hata mm nitaacha kufatilia ilipo fikia sitafatilia juu mponji kigeugeu sana mara ya pili kumkera mage wetu
Yaani
Mponji sijapenda ile najua Mungu yuko mkuu wa waganga
Baba shadiya unakosea sana ii video ilikua inaisha mahari munaelekea ni no no no
😂😂😂😂😂😂😂😂ila mama shadia sijui ata nacheka nn nikikuona😂😂
Mponji kalogwa daa hii Kali 😊😊😊😊😊 umerudi Tena
Mange unajua na unajua tena muanini mung u mean kwake yeye hakuna lisilo wezekana😊
Yesuuuuu
Mponji hajira kawa mzuri😂😂😂
Sikuwahi kucoment, Ila leo mwisho wangu wakuangalia Kama huku ndiko unaelekea mpnjiiiiiiiii😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Wewe mnafiki ondoka yaani siku zote wafanye vizuri usikomment Leo uone movie aiendi kama unavyotaka wewe ndio ukomment. Mponji naomba watu kama hawa uwe unawajibu mbona mpole wewe hadi maisha yako ya kawaida
Imekosa ladhaa 😮😮
Mponji ww niwakumpegia ushuzi magoti kweli aaaaah umenaswa
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ mage jamn
Mage tuna kuombea kwa mwenyez mung ujifungue vzr
😂😂😂😂mbavu zangu mie leo comment section noma😂😂😂😂
Mponji kazi unayo leo😂😂😂 utakoma na lawama
Hii part isiende sana itaharibu bt nawapenda sana❤❤❤😊
Mama shadya wew hukomi kumbuka tu alafu mponji nilikuona mtu wa mana kabisa kumbe n bogazi tu akili huna Pole sana mage mungu yupo nawe
😂😂😂😂 mm leo ni kicheko tu
😂😂😂hii move Iko sawa jamani hajila nooma bro
😅😅😅
Ndoto za mchana na zenyewe kazi😅😅😅
apa kazingua alaa sawa lakn uchawi pia upo sema nn apa mpaka allah asimame nae
Ila mama shadiya hakomi jamani asaivi kahamia kwenye uchawi duu mungu amsaidie mage wetu
Hizi changamoto anazopitia Mage kipindi hiki ana mimba ni mtihani mkubwa sana sema Hajra utapata laana kubwa safari hii mpaka ukome nakwambia
Safi sana mponji baraka mmbea Sana Kwan we mke wako Yuko wap
Daaaa nimechelewa kuamka 😢
Mmmmm Mimi sijapenda alivyofanya baba shadya
Mponji una haribu sasa kweli hajir kakuroga
Mambo moto🔥🔥
Sijapenda siangalii tena hata kulike hii seses kama mtaniona
😂😂😂😂😂nyie watazamaji wa Mponji mpoje kwani mwatakujifunza au kufurahia tu inabid iwe iv ili tupate mafunzo makubwa uchawi sio mzuri
Kabisa
Ajira sijapenda ulicho kifanya sio kizuri
Huyu baba shadia hana hali timamu kabisa yaani namuomba kama kipofu ningekuwa mshauri wake kama balaka akirudia kunishawishi tani ningempiga panga
naichukia move kwa sasa jaman niwe TU mkwel kwann shetan apate nafas tena
Yaani Hadi najisikia vibaya Sana
Nimefatilia sana hii movie lakn mponji umekera sana lkn mage jmn pole sana kipenz mungu yupo
Heeee siangali ten mie hiii move jaman
Mulianza vzr ila naona munaenda kuharibu mponji ulionyesha kumtegemea MUNGU sasa imekuaje hlf mnatakiwa kuona hata viwazi wanapungua
Mageeeeee uko na mungu usijali
Pole sana mage Mungu yupo nawe
Wala jaman mage mwenyewe mwizi wa mabwana za watu koma kabisa
Jamani movie imenoga duuuuu❤❤
Uchawi m,mbaya jamani mh na Wana wake muwe na loho ya huruma kwa wanaume hivi akiwa bwege utafaidi matunda gani kua na mume atafanya kazi hivo alivo
Mpoji mpoji 😢😢😢
Jamn nimewah Leo naomben like
Daaaah
Kabisa mage mungu ndio kila kitu
Nataka msaidie huyo kavunjiwa yai usomi bongo
Kweli ni moto🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉