Kwa kweli, MUNGU ni mwema ambaye alimuruhusu tena mponji kutowa movie hii, ijapo kuwa magonjwa, lakini alipata nguvu. hongera sana kwa kazi, MUNGU awabariki sana. , tunafuatiliya movie, sababu tunaona umuhimu wake, ki mwili na kiroho piya, yaani maisha yetu ya kawaida na katika safari ya kwenda mbinguni. hii movie imenifunza mengi, kuishi kwa kueshimu mume ndani ya unyumba na kumuogopa MUNGU katika maisha. Salamu zangu za dhati zimufukiye mponji, baraka, mage, mama shadya ,bibi shadya,kimalo na wengine wote.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nimejifunza mengi sana.Kwamba mwanaume anastahili kutunzwa na kuheshimiwa.Pia Nimejifunza kwamba inastahili uishi vizuri na watu.Kazi nzuri Mponji.Nawapenda wote team Mponji ❤❤❤.
Atakae soma hii comment mwenyenzi mungu awatangulie wote na kuwavusha mwaka Salam salmin 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤ na watakia x-mass na mwaka mpya njema enjoy yourself have a good day and a good holiday season 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimefuatilia tangu Ep ya 1 hadi 64 nimevutiwa sana na jinsi ambavyo mna Stara, sijaona sehemu yoyote ambayo mtu amekaa uchi wala utovu wa nidhumu....Hii movie unaweza kuangalia hata ukiwa na Mama mkwe koroho safi kabisa. Big up sana Mponji 👍
Kazi nzuri sana 🤗🤗hiki kipindi kimenifunza na kunielekeza jinsi ya kuishi vizuri katika ndoa yangu 🥰🥰🥰Mbarikiwe sana mponji na team Yako ❤manze shukrani 🙏🙏🙏🙏🙏
KAMA UMEIONA EPISODE YA KWANZA MPAKA YA LEO YA 64 HEBU COMMENT CHOCHOTE KILE BASI TUJUANE
Mm hii movie imenifundisha vingi
Kaz nzuri poren pia kwa changamoto mnazopitia tunawapenda ❤❤
Tupo apa
Mm hii move imenifunza mengi sana kwa mama shakya na mpoji munifunza mengi
Hakika mmejua kutuelimisha ya ulimwenguni hapa Ahsanteni nawapenda ❤
Jaman achen roho mbaya naombeni like zenu tafadhali❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kwa kweli, MUNGU ni mwema ambaye alimuruhusu tena mponji kutowa movie hii, ijapo kuwa magonjwa, lakini alipata nguvu. hongera sana kwa kazi, MUNGU awabariki sana. , tunafuatiliya movie, sababu tunaona umuhimu wake, ki mwili na kiroho piya, yaani maisha yetu ya kawaida na katika safari ya kwenda mbinguni. hii movie imenifunza mengi, kuishi kwa kueshimu mume ndani ya unyumba na kumuogopa MUNGU katika maisha. Salamu zangu za dhati zimufukiye mponji, baraka, mage, mama shadya ,bibi shadya,kimalo na wengine wote.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wao nami Leo nimekua wakwanza like zangu wapendwa
Napendezwa vle mungu anajibu maombi ya wanyonge na kushusha walio juu kuja chini
Kazi nzuri sana Mponji, ni kweli mahamuzi tunayo hamua ndio matokeo ya kesho🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jaman movie hii inafundisha sana namshukuru Kwa kufanya sister angu kujirekebisha lakin naombeni msicheleweshe kuleta next episode plz🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Majuto ni mjukuu huja baada ushatenda mama shadya pole sana
Nimejifunza mengi sana.Kwamba mwanaume anastahili kutunzwa na kuheshimiwa.Pia Nimejifunza kwamba inastahili uishi vizuri na watu.Kazi nzuri Mponji.Nawapenda wote team Mponji ❤❤❤.
Kaz nzr sana mponji nmejifunza mengi kptia hii mv nawapenda sana nawaombea mungu awabark nawapenda sana ❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sanaaa mr Mponji .........
Hongera Sana Kwa kz nzuri
Yenye mafundisho mazuri🎉🎉🎉❤❤
Good work nawapenda sana mponji na mage
Waooo Leo mtoto nimemwona hongereni mmekuza katika movie hii nzuri inaelimisha timeweze kufurahi hongera timu nzima
Namkubali sana mponji na mage ila mnachelewa kutoa vipande
Mponji alikua anaumwa
Alikuwa anaumwa jamani alishatoa taarifa pia
Habar zenu wapenzi wa ALLAH nawapenda hongereni kwa kazi njema mungu atulinde tuvuke mwaka salama❤❤
Amiin 🤲
Movie nzur sana mafunzo mengi kila kipande... tunazidi kujifunza mambo mengi
Watatu leo jamani🎉 watu wako attention wote eehee mama shadiya sasa mjinga mwenzio kakufata tujue alikuja kwa lipi
Hongereni kazi nzuri sana nimejifunza mambo makubwa sana
Nathamani sana iendelee tu maan ni movies ambayo inafundisha wengi na jamii hongereni sana mage na mpoji maua yen
Mtoto wa dada wa kazi na mponji amekuwa mkubwa haraka inshallah.🎉🎉 Haya ni ya mtoto apewe from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Atakae soma hii comment mwenyenzi mungu awatangulie wote na kuwavusha mwaka Salam salmin 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤ na watakia x-mass na mwaka mpya njema enjoy yourself have a good day and a good holiday season 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimejifunza Mungu antenda kila kitu kwa wkati wake mage kwa kweli wewe ni mke wa kuiga kwa tabia zako na uvumilivu🎉❤❤
Nimeona zote inavyochelewa kutoka ndio nateseka penda sanaa🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani nawapenda sana team mage mungu awape upeo zaidi mzidi kutuletea vitu vizur vya kutufunza
Jamani nipo hapa wainne kutokea kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 hila mmeishelewesha mno andi nilikua nimeinzahau🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani Mponji alitoa taarifa ya kuumwa kwake na alituomba radhi mashabiki zake
Kazi nzuri saba amungu awalinde
Jamani hongereni Sana jamani hakika mnaielimisha jamii na mage ni mwanamke wa mfano Sana mwanamke kutambua dhamani ya mwanaume
Tatizo mnachelewesha sana ,
Halafu mtoto wenu anakua.🥰😘
Hongelen kazinzuli mungu awabaliki
Munaefurahishwa na ma shadiya km mm like hapo
Mim nafatilia tangu ep ya kwanz had Leo hii ya 64 mko vzr kwel mnatoa mafunzo mazuri
Nimefuatilia tangu Ep ya 1 hadi 64 nimevutiwa sana na jinsi ambavyo mna Stara, sijaona sehemu yoyote ambayo mtu amekaa uchi wala utovu wa nidhumu....Hii movie unaweza kuangalia hata ukiwa na Mama mkwe koroho safi kabisa. Big up sana Mponji 👍
Hongereni sana ❤❤❤ kazi nzuri Ila mumechelewa
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Mponji mtoto kakua wepesi mufatishe mwingine fasta Mungu ayibariki kazi yamikono yenu
Naomba like na mimi nafatilia hii mov toka mwanzo niko oman
Kazi nzuli sana nawapenda nyote
Mungu ni mwema ametenda miujiza kwa Mr mponji ameimarika AFYA na atazid kuwa sawa Tuseme Aamiin🎉🎉🎉🎉
Hengereni cnaaa kwa kazi nzuri cnaa na yenye mafunzo , mungu awabariki
Nimekubali Mungu anabadilisha mtu,ka hajra
Kaz nzur sna hongera kaka yangu 🎉🎉🎉❤
Kazi nzuri, hakika mnafanya kazi nzuri sana katika kuelimisha jamii
Fanya kweli kwa mage anajua kustiri aibu zako huyo ndo mke mwema
Mashaallah movie nzuri🎉❤hongereni sana 🎉😊
Aq hii series Iko na Kila aina ya mafunzo ubarikiwe sana mponji 🙏🙏
Kazi nzur sana Ila nampenda sn mage kaigza vzr sana mwanamke mzur kwa ndoa yke
Mmetisha sana jaman nimejifunza mengi sana kwenye hii move
Asante kwa mafunzo mazuri sana❤❤❤❤
Waoooo wa kwanza kutoka oman 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana 🤗🤗hiki kipindi kimenifunza na kunielekeza jinsi ya kuishi vizuri katika ndoa yangu 🥰🥰🥰Mbarikiwe sana mponji na team Yako ❤manze shukrani 🙏🙏🙏🙏🙏
Ni tamu mno 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Picha zuri sana hili hongera waigizaji wote kumi na tano nawasoma nikiwa taborat
❤❤❤ nawapenda sana ndy imeishia palepale
.mungu akupe umzima na afya mponji Tu furaiye movie
Nimefuatilia toka mwazo mpaka sahii nawapenda sana team strong 💪
move ni nzuri sana
Wakaza leo naombeni laki tano
Mashaallwah kazi mzuri sana
Mimi nilifatilia hii movie kutoka mwanzo Hadi hapa ilipo hongera sana ❤❤
Ongereni kwa kazi nzuri Tunawapend sana
Hiii movie sasa inaenda kupoteza maana na uhalisia mzuri wa maisha
Hongereni sana kwa hii siris ila nimechanganya madawa hadi imekuwa haieleweki bora kidogo chenye mvuto kuliko kikubwa chenye kuchosha
Kazi nzuri mewapenda
Ndo the end au?!! Mungu mwema wap tulioanza episode 1 Hadi 64, tujuane kwa like ❤
Hongereni sana kwa kazi nzurii❤❤
Mouvie nzuri sana❤❤
Mpoji wacha na hajira wacha apambane na hali yake na kama ni mtoto hakuzaa na mti, alizaa na binadamu amtafute babake amsaidie mmwanae
Hajra una akil lakini plani huna
Si ndio sasa amtafute babaake
Kazi nzuri sana kuanzia episode ya kwanza mpaka leo haiboi❤❤❤❤❤
Waoo masha Allah nawapenda sana nyote🎉🎉❤❤
Kazi zuri tumejifunza
Nzuri sana mage❤❤❤
Safi sana mponj😂😂😂
Huyu mwanamke hana akili kabisa
Jamani tunaomba nyingine nzuri kama hii yenye mafundisho mazuri asnte from malawi
hongera mponji umekuwa namsimamo
Hongereni sana
Mponji mtoto wa kwako babaangu ama vp coz si kwa kufanana ivyo😂😂🎉🎉🎉🎉❤
Yani hii filama tuna fungue nayo mwaka ❤❤🎉🎉team mpoji nawa takie 🎄🎄🎄jema namwaka wenye mafanikio zaidi
Kazi rembo sana❤❤
Asante sana kaka kwa kazi nzuri
Nawapenda sana nawafatilia mwanzo mwisho❤❤❤❤❤❤
Mama shadiya unqefikiri kabra hujantenda kwa sasa imebaki majuto nimjukuu😂😂😂😂
Huyo hajra si mtu mzuri kwako hata kidogo
Kaz nzuri nawapenda san
Ajira wenimjiga sana ati mage
Jamani maashady😂😂 bado unamumezea mate mponji maashady umejiroga mwenyewe umebaki namajuto 2😂😂😂
Jaman nawapenda ❤❤
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
Mage unanenepa❤❤❤❤❤❤❤🎉
Nahawo watoto mbona munatuchanganya😃😃😃chezeshene UMOJA ili tujuwe Nasri umoja
Mponji umetisha aisei kutoka mke masikini na mume tajiri Hadi dada wa kazi hongera sana
❤❤❤❤❤kazi nzurii sana
Asante Kwa mafundisho mazuri
Movie nzur Sana mafunzo mengi kila kipande tunazidi kujifunza mengi Sana mtu anapo orewa angarie hii movie
Yaan hii movi toka nimeaza kuangalia mpaka sasa inabonge lafuzo🎉🎉🎉🎉
Kwa hiyo hapa imefikia mwisho au bado.😂😂😂
Nafurahi nikiona wanatoa kazi zao chapu nimefuatilia ya kwanza hadi hii ya leo nipo nao sambamba walipo nipo❤❤❤
Maliza movie mponji inapoteza ladha utuletee nyingine
Nimeshamaliza
Huyu mama Shadya kauzu kweli kweli. Hackii kukataliwa.
Kilakitu nmungu tu