Wengine wanapewa mashaliti wao kama wao sio mpaka kuuwa sunaona kama mondi haoni hiyo mashaliti yake hy weengi tuu hawaoi ndio wanamiliki Mali sio mpaka kafala
Hii ni kweli tu hizo mali zake lazima niza kishirikina Nigeria alienda biashara gani,watu wamejituma hatukatai , lakini mpesa mingi kiasi ishi kwa umri wako kweli? Vijana wacheni kutupima akili,siku hizi wazazi wanaelewa hawataki kufanywa miskule kwa faida zenu, mnapotea jamanini, mtapeana familia yenu yote hizo pesa mtazikula na nani mwishoni. Mama aliona mbali
Chui Mwamini Yesu awe Bwana na Mwokozi wako.mamako atakuamini tu.
Usmtoe mama Ako bwana Dunia imesha
Noma sana ww chui
Tafadhali mshirikishe Yesu Kristo
Maisha ya duniani ni ya Mungu sio shetani
Wengine wanapewa mashaliti wao kama wao sio mpaka kuuwa sunaona kama mondi haoni hiyo mashaliti yake hy weengi tuu hawaoi ndio wanamiliki Mali sio mpaka kafala
Mama yupo halali kukataa mgari wake.
Nipo uganda jamani naomba namba ya tajiri chui
Miaka.mitatu utajiri wote huo duh
Tamaa itawamaliza
Tunaomba namba ya tajii chui
Jamani bwana chui Hilo gari tembelea wewe muache mama usimlazimishe
Tumechok kilasiku zawadi magali kwa nini usimnunulie nyumba
Embu nipe iyo gari mm niende nayo shamba mana nimbali sn
Siku inakuja shetani anakutega
Hii ni kweli tu hizo mali zake lazima niza kishirikina Nigeria alienda biashara gani,watu wamejituma hatukatai , lakini mpesa mingi kiasi ishi kwa umri wako kweli? Vijana wacheni kutupima akili,siku hizi wazazi wanaelewa hawataki kufanywa miskule kwa faida zenu, mnapotea jamanini, mtapeana familia yenu yote hizo pesa mtazikula na nani mwishoni. Mama aliona mbali
Jambaz uyo ndio kisa mzazi hajui alivyopatapata
😂
Claut