Tazama Rick Ross akiyaonesha magari yake ya kifahari anayomiliki Rolls Royce, Bentley, Ferrari ndani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 114

  • @officialnyongo2645
    @officialnyongo2645 3 ปีที่แล้ว +6

    Huyo kwasababu mmarekan mnamsifia ila akionyesha mbongo mara mshamba ooh anajisikia ma ooh kiki diamond fanya unachoweza wabongo hawaish majungu

  • @Tariq_Tryagain
    @Tariq_Tryagain 3 ปีที่แล้ว +2

    Shout out to you the magic voice 👏👏

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 2 ปีที่แล้ว +1

    Habisa ukapemukiya kweri achaukule kidogo mama hamisa

  • @nshimirimanazuwena6599
    @nshimirimanazuwena6599 3 ปีที่แล้ว +3

    Nyie msinigombanishe na mwenyezi mungu maana gisi natamani nipate gari yakutembelea ata kawe ka dolar lfu mbili kisha nione wenzangu wakijisifu juyautajiri mpaka nalilia chumbani kisha nafuta machozi lakini naamini mungu yupo🤲🤲🤲🤲

  • @paulmtalemwa8806
    @paulmtalemwa8806 3 ปีที่แล้ว +1

    Hana cadillac

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 3 ปีที่แล้ว +5

    Utajiri wetu uko mbinguni tujifariji...

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 2 ปีที่แล้ว +2

    Money talks not people

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 3 ปีที่แล้ว +4

    Sasa mbona hayana muonekano mzuri! Utasema niyale makopo tulikuwa tunachezea zamani kwakupikia 😰

    • @ahmedishabani9102
      @ahmedishabani9102 3 ปีที่แล้ว

      Kwawenzetuu hayoo ndio yagharam kuxhndee yenyesur

    • @n7428
      @n7428 2 ปีที่แล้ว

      Lakini bei yake sasa moja ina nunua mtaa wenu mzima 😂😂

  • @gabrielomondi4630
    @gabrielomondi4630 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyinyi wafrika munashida sana. kila wakati kujilinganisha na watu wenye mali kubwa zaidi kutoka nchi zenye uchumi kubwa kabisa duniani ambazo ndio zinawawezesha mafinikio wanazo....huwezi linganisha na nchi ndogo kama Tanzania yenye uchumi na uwezo mdogo sana sana...ni ujinga wa hali ya juu sana, upumbavu na kukosa uelewa.

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 3 ปีที่แล้ว +6

    Si ampe hapo hamisa hata kabaskel tu😂😂😂

    • @husnamfuko6136
      @husnamfuko6136 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂🔥👏

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 ปีที่แล้ว +1

    Halafukuna watu wanalilia mimi tajiri mmeona hayo

  • @winndelule2302
    @winndelule2302 3 ปีที่แล้ว +1

    Aya jaman tumpeleke mwali wetu rasmi 😀😀baba ndo uyo kashaonyesha mali zake 😀😀😀

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 ปีที่แล้ว +14

    "" NNA PESA,, STAKI TU KUJIONYESHA"" 😂

  • @PapyJean-df1ip
    @PapyJean-df1ip 7 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuuu kweli kuna watu wsmepewa

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 3 ปีที่แล้ว +4

    Niko na pesa tatizo naogopa kurogwa ndio maana siezi zionesha

  • @kaveresylvia9521
    @kaveresylvia9521 3 ปีที่แล้ว +2

    Ss tulikosea wapi

  • @allysalimsalim4965
    @allysalimsalim4965 3 ปีที่แล้ว +1

    Watu na dunia yao

  • @EbondoSounds
    @EbondoSounds 3 ปีที่แล้ว +3

    Rich Forever

  • @ayaayo8854
    @ayaayo8854 3 ปีที่แล้ว +2

    Dada yetu anaBahati aise. Duuu

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว +1

    Maisha ni yale yale tu isipokua ni tofauti wa maendeleo tu💪🤣

  • @shaibuhamisi7742
    @shaibuhamisi7742 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba uwakika unacho kisema mm mwenyewe nimeyaona

  • @twahrhamid3941
    @twahrhamid3941 3 ปีที่แล้ว +1

    King kiba alipo semaa sadalaa usijinadi na kutuaminish ww ni mwamb wambaaa tunawaonaa siooo kujisifiaaa rick mwambaaaa tumekuelewa mzee

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwani rick Ross alivo yapanga hayo magari si ndo kujinadi huko.

  • @hajikishuwa1078
    @hajikishuwa1078 3 ปีที่แล้ว +1

    Usinipe buku nipe miasaba sabini mnae kula kuku hamna tofauti na mimi maana wote tutazikwa tutaenda chini

  • @pendolazaro4686
    @pendolazaro4686 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiii inaitwa tafuta pesaaaaaaaaaaaaaaa

  • @halimamohammed4108
    @halimamohammed4108 3 ปีที่แล้ว +2

    Hamisa mobeto ukoapui

  • @niyongendakosamuel4674
    @niyongendakosamuel4674 3 ปีที่แล้ว +2

    Halfu sadala nae anasumbua watu na mbwembwe eti yeye ni tajili aoneshe kibuli cha pesa kama huu mwamba

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว

      Sio kosa lako, akili hauna.
      Umfananishe Rick Ross na diamond

  • @magrethbenjamin4969
    @magrethbenjamin4969 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmn niiga mbon hawasidi Afrik hata kujenga tu au kuwekeza

  • @hamisijob5647
    @hamisijob5647 3 ปีที่แล้ว +6

    Tukisema hip hop inalipa tunakusudia mbele mkumbusheni Nikki mbishi

    • @hamisijob5647
      @hamisijob5647 3 ปีที่แล้ว +2

      @@achawanunetv1167 ukijua mauzo ya albam zake na mixtape zake tangu anaanza utanielewa hayo mengine yasio mziki unayoyajua wew mi siyajui

  • @fetty1571
    @fetty1571 3 ปีที่แล้ว +2

    Nafanya massage na scrub.
    Nafata Mteja popote.karibuni

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye pesa ajionyeshi ila pesa inajionyesha 😳

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว

      Sasa kuyapanga hapo si ndo kujionyesha kwenyewe!!!
      Unawaza nini Macame😂😂😂

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu nae anataka tu kumpagawisha hamisa wetu😆😆🤣🤣 Nia yake amchezee tu mfyuuu..Tajiri na mali yke sie na dadaetu Alaaa usilete ubabaifu.

  • @papaamasauti5964
    @papaamasauti5964 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama umeiona IST like
    👇

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 3 ปีที่แล้ว +6

    Uwiij amkeni amkeni amkeni amkeni amkeni in mwijaku voice

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 3 ปีที่แล้ว +1

    Hamisa chunga snaaa jmn

  • @mobymedia7856
    @mobymedia7856 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh! Bongo tutafika huku kwel?

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว +1

    Sawa midevu ww ni Tajiri

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣 so funny walah

  • @sarastephano3409
    @sarastephano3409 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu ndo unautwa utajiri sio maneno sadala bana

    • @edwardtrigga5701
      @edwardtrigga5701 3 ปีที่แล้ว

      sasa mbona unamuwaza badala ya kumuwaza guy wako

  • @zaynahmoh5149
    @zaynahmoh5149 3 ปีที่แล้ว +1

    Wakwanz leo jamn

  • @eddyeddy2907
    @eddyeddy2907 3 ปีที่แล้ว +1

    Haya yote kayataka diamond mshamba mmoja hivi kila msanii mwenye vitu vya thamani anavipost hadharani sasa. Ajitokeze kuomba poo 😂😂😂

    • @makulaikuku6909
      @makulaikuku6909 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว

      Duuuh kumbe diamond ana nguvu basi,
      Kafanya mpaka wasanii wakubwa waanze ku post Mali zao👏👏👏

  • @fadhilbojjo9005
    @fadhilbojjo9005 3 ปีที่แล้ว +2

    Sjaona Escalade hapo 🤔

    • @ramak.9587
      @ramak.9587 3 ปีที่แล้ว +2

      Iyo utaipata kwa Diamond

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว +1

      🤔🤔🤔🤔 Ipo mbez Beach au umesahau

  • @zou7470
    @zou7470 3 ปีที่แล้ว +1

    Umeona wenye magari hawasemi ila mwenye gari mbili awo tatu mishauwo kibao mpaka wanakera🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 3 ปีที่แล้ว +1

      Hawasemi? Hapo anafanya nini? Hiyo inaitwa branding, hiyo ni USA hivyo level zao ni tofauti na Afrika lakini show-off ni zile zile, showbiz inaenda na mambo hayo siyo uko pangu pakavu unakuna na za mimi sipendi showoff.
      Hata endorsements zinaenda na value yako si sauti wala mashairi.

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว +1

      @@unclepwechnov1381 achana naye huyo kahaba, hana akili

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 ปีที่แล้ว +7

    Hawa ndio matajili sio kina mmasai.utajili mbuzi😏

    • @andulilemwakihabha2048
      @andulilemwakihabha2048 3 ปีที่แล้ว +2

      Kwahiyo ndio unalinganisha wasanii wa wamarekani na watanzania unafeli

    • @joharishabani2893
      @joharishabani2893 3 ปีที่แล้ว +1

      Mbavu zangu dada uwiii🏋️🏋️🏋️😁😁😁

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 3 ปีที่แล้ว

      😁😁😜🤗

    • @darkplatnum9006
      @darkplatnum9006 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwan.matajil.wa malekan wanao.fana na wakwako tanzania wako.wangap unapo.fananish watu hawa anagalia nchi zao na uchumi wa nchi zao pumbafuu weee

    • @amaniomballa1855
      @amaniomballa1855 3 ปีที่แล้ว +2

      Mmasai Sadala kanunua gari moja used kelele 1000 kweli' Kuna watu Wana ishi duniani na tuna sindikiza wanao ishi

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 ปีที่แล้ว +1

    Masai wetu vipo🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @binmakka8693
      @binmakka8693 3 ปีที่แล้ว

      Massai amebakia kutuekea matukio na yote yamebuma kuanzia mavazi yake mrembo wake mzungu ngoma zake yaani kila kitu chake kimebuma ataweza kutuonesha thamani ya vitu zaidi ya kujinadi ana mtonyo😂😂

    • @leilahhassanomary7189
      @leilahhassanomary7189 3 ปีที่แล้ว

      Noma sana sio utajir wa 🦙🦙🦙🐐🐐

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว

      @@binmakka8693 nenda youtube, kaangalie trending 1 Hadi 5 ni Mmasai tu😂😂😂

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 ปีที่แล้ว +3

    Afu eti ni ushamba kuonyesha mali zako😬😬😬

    • @fazilmalumalu2113
      @fazilmalumalu2113 3 ปีที่แล้ว

      Uyo nazani ni biashara

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว

      @@fazilmalumalu2113 kwani diamond sio biashara

    • @fazilmalumalu2113
      @fazilmalumalu2113 3 ปีที่แล้ว

      @@lexq-sm6lq diamond ameanza lini biashara ya magari?

    • @lexq-sm6lq
      @lexq-sm6lq 3 ปีที่แล้ว

      @@fazilmalumalu2113 umesikia wapi rick ross ana fanya biashara ya magari!!?
      Ingia hata google, uone kama kuna sehemu utaona eti rick ross ana fanya biashara ya magari. HAKUNA

  • @bakarikandi7606
    @bakarikandi7606 3 ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪🇰🇪

  • @sautiyapsamu
    @sautiyapsamu 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni ombi langu kwamba amefanya investment kwenye biashara. Wasani tunawajua wakati wameanguka

    • @hkmeme5437
      @hkmeme5437 3 ปีที่แล้ว +1

      Rick Ross anamiliki ma restaurant na makampuni mengine

    • @sautiyapsamu
      @sautiyapsamu 3 ปีที่แล้ว

      @@hkmeme5437 aah... vizuri sana.

  • @joharishabani2893
    @joharishabani2893 3 ปีที่แล้ว +1

    Freemasson mmmh unaweza sema hata viacha

    • @theafricaiknow6615
      @theafricaiknow6615 3 ปีที่แล้ว +1

      Kila kitu mnadhani ni freemason. Huyu jamaa ana chapa kazi halali masaa mengi kama maskini wanavyo fanya. Ukimfuatilia utaona shughuli anazo fanya ana haki ya kuwa tajiri

    • @carenisigi8809
      @carenisigi8809 3 ปีที่แล้ว +2

      Mawazo ya mtu maskini😂

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @binmakka8693
    @binmakka8693 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwambie sadala awache kujitapa na upuuzi wake wakusema yeye anahela na anatuonesha magari ya kubebea maiti

    • @hassaniabdi2621
      @hassaniabdi2621 3 ปีที่แล้ว

      Punguza ujinga ww unaip

    • @binmakka8693
      @binmakka8693 3 ปีที่แล้ว

      @@hassaniabdi2621 😁😁 team masai munahasira sana mutajiharia mwaka huu maana mumechuja sana😁😁

    • @hassaniabdi2621
      @hassaniabdi2621 3 ปีที่แล้ว

      Ww ulio nayo niip kama sio upumbavu