UISLAMU SIO UGAIDI | FULL INTERVIEW | MASHWALI NA MAJIBU NA PROPHET IPM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @fizomc8811
    @fizomc8811 6 หลายเดือนก่อน

    Aaaminaa

  • @coolpara8192
    @coolpara8192 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hatunahaja ya vyombo vya habari dini imekamilika na watu wasio fahamu karibun watafahamu

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 3 หลายเดือนก่อน

    Wengi wanaamini dini ya Kiislamu ni ya kigahidi kwa sababu ilipatikana kwa upanga na siyo kwa hiari.

  • @Erik-kj5no
    @Erik-kj5no 7 หลายเดือนก่อน

    Hujajibu vizuri Wala so swala la maandiko

  • @elizabethmwarjaset2468
    @elizabethmwarjaset2468 8 หลายเดือนก่อน

    Nlvo kufklia kabla ya kukusklza nikajkuta nlkua nakuwazia vbaya bure Allah akujaalie uwe na mwisho mwema

  • @ramadhanitwahili6837
    @ramadhanitwahili6837 9 หลายเดือนก่อน

    Aslam aleykum kutoka kwenda fisab lilah sio kua watu nikutoka kwenda kumtangaza mungu ila nikweli kunawatu wanalitumia vibaya kwa makusudi mungu amekataza kua watu nizambi kubwa sana,ila ikitokea kunazuruma mungu ameturusu kuipambania haki nasio kwenda kua watu wasio na hatia,upo sahii kabisa.kwasababu mungu amesema dini ya kislam imekamilika na kitabu kimekamilika.

  • @andrewnyamwaro5174
    @andrewnyamwaro5174 4 หลายเดือนก่อน

    Wongo. Ugaidi ni kitendo cha jihad. Jihad ni mapambano ya imani.

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 9 หลายเดือนก่อน

    kutoka kuipigania dini sio kwa upanga tu watu wanatoka na kupiga kambi mji mwengine kuitangaza hio dini kupigania ni kuilingania na watu wanatoka fiisabililah wanakaa sehemu miezi kuilingania dini wale wanaojiripua ni tofauti na walinganiaji

  • @coolpara8192
    @coolpara8192 9 หลายเดือนก่อน

    Aya hii unayo isema inafanya kazi hadi dunia itakwisha na wale wanaojivisha mabomu wala hawatumii aya za qur-an katika matendo yao

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 9 หลายเดือนก่อน

    ugaidi ni neno lililotengenezwa na makafiri na kulipachika katika uislamu ili kuichafua dini

  • @sergiokibala5459
    @sergiokibala5459 7 หลายเดือนก่อน

    Mwizi mkubwa. Umeniiba hela. Usipotubu na kuokoka, utatapika ulivyo iba. Dini ya kweli aiko kwenye dini bali ni kwa matendo ya haki na kweli katika kristo. Wewe ni mwongo sawa sawa na waislamu wenzako.

  • @isaaabdala7016
    @isaaabdala7016 7 หลายเดือนก่อน

    Propaganda.tu hiyo.ni dini ya mwenyezi.mungu

  • @mirandarafael5994
    @mirandarafael5994 7 หลายเดือนก่อน

    Kama ni dini ya kweri kwanini wewe uritoka uko

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 9 หลายเดือนก่อน

    magaidi kuna watu wa kila aina tena hadi wazungu na sio waislamu wanafanya hayo ili waonekane waislamu tunawajua wazungu ndo wafadhili wakubwa wa hayo makundi

    • @allysalimu338
      @allysalimu338 7 หลายเดือนก่อน

      Masha Allah,, jamaa yetu Allah akuomgoze siku moja uje katika haki