HEKAHEKA: Mpangaji kaiba mume wa mama mwenyenyumba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 77

  • @mariamkombo5325
    @mariamkombo5325 8 ปีที่แล้ว +7

    mmm hiyo kokoro!!Ila chozi la mnyonge malipo kwa mungu!!asante kwa ayo tv kwa habari

    • @mwanaishamzee4606
      @mwanaishamzee4606 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaaaa yani kama niwe mimi we weee Wanatoka waooo

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว +2

    Mama mwenye mume achana na uyo mume anza upya ili mradi umeachiwa uhai anza maisha yako usipambane na ao wapuuzi
    Mshukuru Mungu, na wasamehee, kisha peleka shida yako mbele za Mungu uone atakavyokutengenezea watu.

    • @africandarling6925
      @africandarling6925 3 ปีที่แล้ว

      Julieth Upo sahihi kabisa Yani ma Fatma cha muhimu apige magoti na kumuomba mungu ajalie uvumillivu na ujasili Insha Allaah MACHUNGU yote Yataesha tu kwa uwezo wa Allaah

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 ปีที่แล้ว +3

    daaah imeniuma hii hira wanaume wakipata mwanamke mwengine ashindwi kukukinai ata kama ujamfanya kitu chochote maana mm hilinitokea sema siyo mpangaji mtu simjui hira baba wa mtt wangu linichenjia bira ya kosa walhai sitasahau hii kitu inaumaga kuachwa na mtu unae mpenda pia ujamkosea lolote inauma pole mwanamke mwezangu na yeye yanatamkuta na atarudi tu kwako kuomba msamhaa lnshallha

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 8 ปีที่แล้ว +7

    Mh! huyo baba amelishwa dawa maskin huyo Mama mwenye nyumba 😢 ila mapenz ya daw ua hayadum Mungu atamlipia huy Mama mwenye nyumba 🙏. shukran san millard Ayo kw kastory.

  • @bongoteamten4725
    @bongoteamten4725 8 ปีที่แล้ว +1

    wanadam wadhahifu sana nimeumia sana kuhusiana.na hii abari daaaaah eeee mungu muhumba yako wape mapenzi ya dhat

  • @fabihunter5240
    @fabihunter5240 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani inadikitisha sana mm pia mwanamke nafsi inaniuma sanaa

  • @fettymkiny5680
    @fettymkiny5680 4 ปีที่แล้ว

    Daah...usilazimishe mapenzi Dada sahau anza upya

  • @niachiemahehee2523
    @niachiemahehee2523 4 ปีที่แล้ว +1

    Yalinikuta Mimi hayo😭😭😭

  • @sharifahamisi9091
    @sharifahamisi9091 6 ปีที่แล้ว

    Aisee,nimeumia sanaaa,ningekuwa Mimi,hakyamungu wangekuja uona moto.

  • @alsalhmohdsuleiman2851
    @alsalhmohdsuleiman2851 8 ปีที่แล้ว +1

    chezea muhogo ww wa maganda.meusi..uwiiiiiiiii mbavu.zangu

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว

    Subuhanallah zinaa imekua kawaida kwa binaadam, Hana aibu huyo mwanaume MUNGU atamlipa na anazini kakukuzalilisha usijali futa mchozi utalipwatu

  • @sharifajanqabari4731
    @sharifajanqabari4731 6 ปีที่แล้ว +1

    kheeee namtoaa kisimi mamaee ndani kwangu arafu unajiiiaminiii

  • @audiomas2050
    @audiomas2050 8 ปีที่แล้ว +1

    asilazimish aache tu mungu anaon agns from oman mascat

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว +1

    Kung"ang"ania mume mimi huyu...duuuh hata kama nimekupenda vipi nitalia ili kupunguza maumivu...pia siachi kumuomba Mungu.

  • @funsupadatestourists9256
    @funsupadatestourists9256 8 ปีที่แล้ว +2

    aiseee bora Kuwa single

  • @sabinaaloyce5407
    @sabinaaloyce5407 5 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh kumaniner walahi mm huyo dada namtoa kishipa cha kisimi huyo dada hatokaa asahau maisha yake weeeeee

  • @shamumaabdala6341
    @shamumaabdala6341 3 ปีที่แล้ว

    Mungu Atamjibu mama tulia

  • @aminaomari9794
    @aminaomari9794 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyo baba hajielewi mshenzi sana

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 8 ปีที่แล้ว +10

    I will never fight for a man, akiamua kuniacha let it be. tsss.

    • @margaretkanina6247
      @margaretkanina6247 5 ปีที่แล้ว

      KANIWACHA JUU YA MWANAMKEEE MWENGINE, KANIEPUSHA NA MENGIII.

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 4 ปีที่แล้ว

      Wanaume kama hawa, wakijitiaga kuacha wake wanaishiaga pabaya alafu wakipata shida wanajitia tusahau yaliyopita, tuna watoto yaani wanaume washenzi sana

  • @jamilarajabu99
    @jamilarajabu99 4 ปีที่แล้ว

    Mwanaume akikochoka 😭😭😭😭

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 8 ปีที่แล้ว +2

    huyo baba mungu atamuona na huyo mpangajii atadawa ziikiisha atajua umuhimuu wa mkewe

  • @florabaruti8032
    @florabaruti8032 4 ปีที่แล้ว

    Mama muachie mungu tu kama kakuchoka ata huyo atamchoka pia hakuna mapenz hapo ni tamaa tu

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 5 ปีที่แล้ว +1

    huyo dada angeenda na wanaume wa kazi wakafurumushe vumbi, ubaya ubaya tu.

  • @mwanashafatuma8719
    @mwanashafatuma8719 8 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh yani tz na kenya mbona mwashindana kwa vioja na viroja asante millad kwa news safi sana

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 8 ปีที่แล้ว

      +Mwanasha Fatuma, mmmmh Tanzania imezidi timbwili

  • @mariamhadija7236
    @mariamhadija7236 8 ปีที่แล้ว +5

    ndy maana kwastairi hii ndy wanaume wanageuzwa Ng'ombe

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 6 ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 4 ปีที่แล้ว

    Duuh,, mpaka shemeji anamkana 🤔🤔🤔 makubwa binaadam bwana tunavisa

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 3 ปีที่แล้ว

    Mmhh we ba FATMA utakuja kujuta mbele ya safari wewe Ba Fatu Eeee mungu uwa ajalibiwi

  • @sharifajanqabari4731
    @sharifajanqabari4731 6 ปีที่แล้ว +2

    naiyo saut inaonekana kama janamke lenyewe kama shamngupee mi nyumbani kwangu nataka wapangaj wakiumee

  • @tumainpeter3805
    @tumainpeter3805 5 ปีที่แล้ว

    Duh ukiona hivi bora tu ujiondokee maana unaweza kufa

  • @mwnaidibushuti9958
    @mwnaidibushuti9958 4 ปีที่แล้ว

    Husana wasema hutaki kupigiwa mfano🤣🤣🤣mungu akuhifadhie ndoa yako usiachwe

  • @David-k1d2b
    @David-k1d2b 8 ปีที่แล้ว +1

    sawa tu pataaamuuu apo

  • @ziadasalim8807
    @ziadasalim8807 5 ปีที่แล้ว +1

    ukiachwa achika usiwe king,ang,anizi sana nyie ndo mnaleta mauti

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว +2

    Wanaume ni washenzi kabisa, cna ham nao

  • @SaudaOmary-jr5tm
    @SaudaOmary-jr5tm 5 ปีที่แล้ว +1

    huyu shemeji hajielewi mapenzi yawaliozaa hawaachanagi ipo siku wanaweza ludiana akabaki na aibu

  • @nasranassor6796
    @nasranassor6796 4 ปีที่แล้ว

    Hapo kuna dalili zote za kuchokwa mpaka shemegi na mpangaji wamepewa power Kama ni Mimi ningeondoka bila kugeuka nyuma staki kuaibishwa.komaaa

  • @magretelias4746
    @magretelias4746 5 ปีที่แล้ว

    Mmmmmh wana ume nipasua kichwa ata ajali watt

  • @ndeshtkyok9387
    @ndeshtkyok9387 5 ปีที่แล้ว

    Sheria ni kua ukimwacha mkeo.Kisheria mali inagawanywa kwenu nyie wawili. Mama akibaki na watoto ndie atapewa sehemu kubwa zaidi. Ee. Sheria hiyo. Watz wengi hawajui

  • @sharifahamisi9091
    @sharifahamisi9091 4 ปีที่แล้ว

    Mi nakwambia mume busha, huyo mwanamke atakiona cha mtema kuni

  • @tabithahenry1057
    @tabithahenry1057 6 ปีที่แล้ว

    uyo dada anaingilia ndoa ya watu! atalipwa sawa na ujila wake

  • @sibawayhisalum2707
    @sibawayhisalum2707 8 ปีที่แล้ว +1

    looh mwanaume pia hana haya

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 8 ปีที่แล้ว

      Hahahaha"ndoa za karne hii zimekuwa pingu za kamba ya ndizi"mda wowote kamba inakatwa

  • @hailatyhamissi3114
    @hailatyhamissi3114 5 ปีที่แล้ว

    baadae wanakujaga muomba msahama na hilo likahaba linaraka hela tu kwanza mwanamke mwenye akili huwez lala ndan kwa mwanamke mwenzio

  • @nasranassor6796
    @nasranassor6796 4 ปีที่แล้ว

    Mume aibiwaje jamani.

  • @mimifulani948
    @mimifulani948 8 ปีที่แล้ว +1

    kazi ipo kwa wenyenyumba ss masikin yeye huyo mama ndo atkuwa mpangaji😭😂😂😂😂😂😂

    • @marypaul2178
      @marypaul2178 6 ปีที่แล้ว

      SAFIA OMARY .hahaaaa

  • @neziali6992
    @neziali6992 6 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe hyo mwnmke kaachwa analazimisha ndoa aondoke kw usalama wake tu

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

    jamaniii kwani patrol zimeisha sheli??

  • @msaniimpyaBMW
    @msaniimpyaBMW 8 ปีที่แล้ว +1

    #OnlyInBongo

  • @paschaenos5291
    @paschaenos5291 8 ปีที่แล้ว

    daaa jaman

  • @anthonitemba1519
    @anthonitemba1519 5 ปีที่แล้ว

    Mwanamkemwenye mdomo dawayake niiyo inauma san mwanamke anafoka foka bila aibu

  • @mariamawadhi4363
    @mariamawadhi4363 6 ปีที่แล้ว

    Makubwa

  • @tabithahenry1057
    @tabithahenry1057 6 ปีที่แล้ว

    uyo shemeji watakuja kuludiana abaki na haya.unaambiwa wanandoa wakigombana ww shika jembe ukalime

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 8 ปีที่แล้ว +3

    mnatutisha wanaume tuogope ndoa c wengne ambao bado hatujaolewa

    • @TheSalma1999
      @TheSalma1999 5 ปีที่แล้ว

      افلح السريرس yani wanaume wakatili jamani dah

  • @hailatyhamissi3114
    @hailatyhamissi3114 5 ปีที่แล้ว

    mwanaume muuaji

  • @chynabongoo405
    @chynabongoo405 4 ปีที่แล้ว

    Uyu baba kalogwa nyie

  • @farijiincredibleezekiel4211
    @farijiincredibleezekiel4211 8 ปีที่แล้ว

    hoooo hatar tupu....!!!

  • @soniafashion3258
    @soniafashion3258 5 ปีที่แล้ว

    Mama mwenyenyumba mpya (musa)

  • @azizaahmed2219
    @azizaahmed2219 8 ปีที่แล้ว

    Mmmmh

  • @joycesaninga2672
    @joycesaninga2672 6 ปีที่แล้ว

    huyo shemeji nae chizi yatamshinda

  • @precishamis8156
    @precishamis8156 5 ปีที่แล้ว

    Hahaha tena

  • @niachiemahehee2523
    @niachiemahehee2523 4 ปีที่แล้ว

    We shemeji acha usenge mbwa wewe

  • @munaseif9769
    @munaseif9769 6 ปีที่แล้ว +1

    mm naona sio dawa ila huyu mpangaji mpole san lakini mwenye nyumba mkali labda mkali adi kwa mumewe mana mmm mh ila mm sijilazimishi kwa mwanaume ningeondoka tu mana aibu unakataliwa mbele za watu kisha unasema sijaachwa mmm mi siwezi kwa kweli

    • @azizmohamedi5466
      @azizmohamedi5466 5 ปีที่แล้ว

      muna seif Kweli

    • @ziadasalim8807
      @ziadasalim8807 5 ปีที่แล้ว

      umeonaee huku kung,ang,ania ndo chanzo cha mauaji

  • @sifacycy_bby8827
    @sifacycy_bby8827 8 ปีที่แล้ว +2

    Mh! huyo baba amelishwa dawa maskin huyo Mama mwenye nyumba 😢 ila mapenz ya daw ua hayadum Mungu atamlipia huy Mama mwenye nyumba 🙏. shukran san millard Ayo kw kastory.

  • @paschaenos5291
    @paschaenos5291 8 ปีที่แล้ว

    daaa jaman