Mo Music - Na wewe Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 105

  • @njeriblackkenya
    @njeriblackkenya หลายเดือนก่อน +1

    From kenya nakupenda Sana pamoja na nyimbo zako❤️❤️❤️

  • @KINGSHALA
    @KINGSHALA 2 หลายเดือนก่อน +10

    Unyama mkuu sana ume tisha vipi ma funs tuu fanye ku share hii ngoma ifike mjini maana hii ni unyama sana team TikTok au nyi Muna semaje......,👊🔥🔥🔥💫

  • @norbertnjali2862
    @norbertnjali2862 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana wimbo mzuri sana

  • @JordanhamadJuma
    @JordanhamadJuma 18 วันที่ผ่านมา

    naqbali kaka

  • @ttcomediantv8515
    @ttcomediantv8515 หลายเดือนก่อน +1

    Nan zaidi yako broo by
    King zachaa

  • @RackdonahRackpesa
    @RackdonahRackpesa หลายเดือนก่อน +1

    Keep up good song👏 hii inanafanya nianze kupenda sasa😂❤

  • @gabrielchilango1927
    @gabrielchilango1927 หลายเดือนก่อน +1

    Long time we be waiting 254msa big tune

  • @LonneyBreezy
    @LonneyBreezy 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kk umenambia najua kuimba thanks 🙏🙏🙏
    Najua najua ila kupitia wewe napata power mzee

  • @laxmajor
    @laxmajor 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kula chuma iyo mo music 💯💯

  • @alexselestine9827
    @alexselestine9827 หลายเดือนก่อน

    Ulikua wapi tulikua hatupati gud music kaka

  • @SamweliNgandi
    @SamweliNgandi หลายเดือนก่อน

    noma sana goma

  • @mudymuzungu1794
    @mudymuzungu1794 2 หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha sana man

  • @mickjizze
    @mickjizze 2 หลายเดือนก่อน +1

    Bonge sana la Video hili mzee baba umeua

  • @Luckystastytreats
    @Luckystastytreats หลายเดือนก่อน

    From tiktok ✌️

  • @Raymoo-v6n
    @Raymoo-v6n หลายเดือนก่อน

    Kaka unakua unakaa kmya sana duh! Tunakumis kpitiliza watu wa mwanza

  • @rashidally5177
    @rashidally5177 2 หลายเดือนก่อน +2

    Chuma yamoto saaaaaaaana hom boy

  • @shabbydaprince7311
    @shabbydaprince7311 2 หลายเดือนก่อน

    Wow more music that song iko poa sana nilikuwa mentar wako tangu siku za basi nenda you did good bro kip going

  • @MathieuLwebula
    @MathieuLwebula หลายเดือนก่อน

    Mo music Pamoja na spana ngoma kali san

  • @dolphin4791
    @dolphin4791 2 หลายเดือนก่อน

    Mtaalamu 🎉🎉🎉

  • @shakiruabdallah6985
    @shakiruabdallah6985 2 หลายเดือนก่อน

    Nakubaliiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉😊

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE 2 หลายเดือนก่อน +10

    Unajua sana ila wamiliki wa MEDIA ndo wale mashoga na wasagaji wa vyama, Alaf ADO ADO na BASI NENDA video ulizopandisha leo hazijakamilika

    • @mageletz
      @mageletz 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kazi kazi mziki og una dumu daima

    • @Abby_Shawn_KE
      @Abby_Shawn_KE 2 หลายเดือนก่อน

      @@mageletz itakaa vzuri akizipandisha kwenye channel yake hii zikiwa zimekamilika kama za mwenzake Baraka

  • @Coast-u7z
    @Coast-u7z หลายเดือนก่อน

    MAGIC BULLET SUITE IS UNLICENSED ..........😢Was it that necessary to have that whole signboard in this sweet video?

  • @AmosKube
    @AmosKube 2 หลายเดือนก่อน

    Nakubali kaka❤

  • @kijanayaaput8940
    @kijanayaaput8940 2 หลายเดือนก่อน +2

    Am happy to continue enjoying your music. Keep doing what you do best

    • @MoMusicTZ
      @MoMusicTZ  หลายเดือนก่อน

      Thanks

  • @Sadima_Swagger
    @Sadima_Swagger 2 หลายเดือนก่อน

    Wimbo wangu pendwa nice bro

  • @Jaystoneacapellah
    @Jaystoneacapellah 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naukubali sana huu

  • @miketez2160
    @miketez2160 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtu wangu wa power ❤

  • @SkyDeeKing
    @SkyDeeKing 2 หลายเดือนก่อน

    Ngoma Kali kakangu

  • @AminaRahim-u1z
    @AminaRahim-u1z 2 หลายเดือนก่อน

    ujawahi kukosea mo usikae mda mrefu sasa jmn utoage nyimbo shabik zako tupo😍

  • @Chunkie_Bwoy
    @Chunkie_Bwoy 2 หลายเดือนก่อน

    Ngoma hatari sana Mo.keep up my G .bidii mbele

  • @MomusicFunbase
    @MomusicFunbase 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ulichonifanya unajua ww nouna sana hii kitu

    • @AGREYKabume
      @AGREYKabume 2 หลายเดือนก่อน

      Nini tena

  • @kingsilvertz4346
    @kingsilvertz4346 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tujage katemi 🤴

  • @Mchinaphoneclinic
    @Mchinaphoneclinic หลายเดือนก่อน

    Kaka tukimtoa marlo wa Rita hakuna mwenye merodi nzur kukuzid tz nzima❤

  • @coolp3727
    @coolp3727 หลายเดือนก่อน

    Nani mwengine anasikia akiimba kama jux

  • @kenjaboy8070
    @kenjaboy8070 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka ueludi tena akika tulikusubil sana

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 2 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🎵🎵🎶

  • @Favoured_kelson
    @Favoured_kelson 2 หลายเดือนก่อน

    chuma hicho 🔥🔥🔥

  • @BienvenueMatoke
    @BienvenueMatoke หลายเดือนก่อน

    Hii ndo inaitwa bongo flavor ❤Asante mo kwakutupatia burudani nzuri ya mziki wamapenzi nilikuwa nimekumiss kinoma

  • @STARBORNHB
    @STARBORNHB 2 หลายเดือนก่อน +1

    KAZI NZULI

  • @laurent993
    @laurent993 หลายเดือนก่อน

    Kwa aina ya wasanii kama hawa hata wakitoa nyimbo utanikuta navist kuziwatch mapema maana najuwa dhahili kuna kitu ntapa
    Sio yale matakataka siju comasava, siju lulufemi, mamae

  • @mootown8191
    @mootown8191 2 หลายเดือนก่อน +2

    mmh bado kwa mziki wa sasa mashabiki atutaki uimbaji huo wa kitambo mashairi ya enzi hizo nikinywa maji nakuona kwenye glass mmh apana sisi TUNATAKA NGINJANGINJA NGINJA

    • @voiclove8153
      @voiclove8153 2 หลายเดือนก่อน

      Acha zako wew hujui mzik nini

  • @ronnamax238
    @ronnamax238 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi kazi bro

  • @JohnMuthii-y3e
    @JohnMuthii-y3e หลายเดือนก่อน

    Cool musiq althrough congrats mo but another day fast kidogo

  • @nkundastar999
    @nkundastar999 2 หลายเดือนก่อน

    Kitu faza

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Angalau hii iko poa kuliko ile ya zawadi

  • @DaniElimajutomdeteDaniElimajut
    @DaniElimajutomdeteDaniElimajut หลายเดือนก่อน

    Bro unajua aisee 🎉

  • @RukiaSuddy-k4f
    @RukiaSuddy-k4f 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vzuri Tajir

  • @GaudenceMatui
    @GaudenceMatui 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤ good video

    • @GaudenceMatui
      @GaudenceMatui 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka we hujawahi kosea

  • @zackmen-ol3yj
    @zackmen-ol3yj 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mo umeuwa kaka

  • @BrianMacharia-b9n
    @BrianMacharia-b9n หลายเดือนก่อน

    SHOUT OU TO LEVEL BABA BUT THERE WAS AN EDITING ERROR ON 2:29 (MAGIC BULLET SUITE) WATCH CLOSELY

  • @ombenimilinga3638
    @ombenimilinga3638 2 หลายเดือนก่อน

    Ulichonifanya unajua ww
    Brother unajua sana

  • @ombenimilinga3638
    @ombenimilinga3638 2 หลายเดือนก่อน

    Nizikwe na ww
    Hili neno sio geni hapa mjini

  • @TinahLamajo-xb9xe
    @TinahLamajo-xb9xe หลายเดือนก่อน

    Ungezo unyama na tuvionjo kwenye uandishi

  • @SebastianSalum-z7s
    @SebastianSalum-z7s 2 หลายเดือนก่อน

    hatujawahi kosea hatari sana familia..

  • @mickjizze
    @mickjizze 2 หลายเดือนก่อน

    Bonge sana la wimbo

  • @HappyHubert-p8b
    @HappyHubert-p8b หลายเดือนก่อน +1

    Video kali kama ya mbele kabisaaa.imetuliaaaa

    • @MoMusicTZ
      @MoMusicTZ  หลายเดือนก่อน

      Thanks

  • @FaizanSaifi-p1u
    @FaizanSaifi-p1u หลายเดือนก่อน

    Uko sawa mbaba

  • @ombenimilinga3638
    @ombenimilinga3638 2 หลายเดือนก่อน +2

    Brother unajua had unajua tena
    Ila usiweunakaa kimya muda mrefu unatunyima Burudan kama hiz

    • @MoMusicTZ
      @MoMusicTZ  2 หลายเดือนก่อน +1

      Sawa mkuu

  • @BRANDIAFRICA
    @BRANDIAFRICA 2 หลายเดือนก่อน

    Kaipambani nyimbo yako kwenye mitandao mingine kaka

  • @doyentv
    @doyentv หลายเดือนก่อน

    Moshi Katemi the Great💥💥

  • @flamohboy9251
    @flamohboy9251 2 หลายเดือนก่อน

    +254lit

  • @FaizanSaifi-p1u
    @FaizanSaifi-p1u หลายเดือนก่อน

    Uko Sawa mbaba

  • @NanaMilfath
    @NanaMilfath 2 หลายเดือนก่อน +1

  • @GREATTRADERSUNION_GTU
    @GREATTRADERSUNION_GTU 2 หลายเดือนก่อน +1

    From Kenya I always listen to your songs daily,❤ we love them in our family ❤❤

  • @Princebktanzania
    @Princebktanzania 2 หลายเดือนก่อน

    Kichupa kimechelewa sanq

  • @kevinexclusives3239
    @kevinexclusives3239 2 หลายเดือนก่อน +1

    Watching from kenya Swahili king Tanzania

    • @MoMusicTZ
      @MoMusicTZ  2 หลายเดือนก่อน

      Welcome

  • @AvrilGeofrey
    @AvrilGeofrey หลายเดือนก่อน

    Nzuri

  • @habaritvtanzania5562
    @habaritvtanzania5562 2 หลายเดือนก่อน +1

    We back brother kichupa kimenyooka❤❤❤❤like za kutosha kwa mo music fundi wa mziki

    • @MoMusicTZ
      @MoMusicTZ  2 หลายเดือนก่อน +1

      Thanks

    • @JordanhamadJuma
      @JordanhamadJuma 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@MoMusicTZ❤❤❤ sana naqbali

  • @dazoldaz6736
    @dazoldaz6736 หลายเดือนก่อน +2

    Hili goma linamkosa harmonize, remix ingekurudisha kwa ramani😂😂 uskie mwamba kasha kohoa mabange zake humu

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 หลายเดือนก่อน +1

      BomboClaaaaaaaaaa! 🤣🤣

  • @emmanottytz
    @emmanottytz 2 หลายเดือนก่อน

    Amen🎉

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 2 หลายเดือนก่อน +1

    nice❤

  • @AnastaziaJohn-vz5qk
    @AnastaziaJohn-vz5qk 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @BienvenueMatoke
    @BienvenueMatoke หลายเดือนก่อน

    Mo mtu wangu wazamani nafuraisana kukuona ukirudi bro.mi nimrundi anaekupemdasana pia anaekusapoti sana

    • @MoMusicTZ
      @MoMusicTZ  หลายเดือนก่อน

      🫡

  • @titojohn5852
    @titojohn5852 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @pkafrica
    @pkafrica 2 หลายเดือนก่อน

    This is a hit bro 🔥🔥🔥🔥
    But market your music

  • @AndikoMwito
    @AndikoMwito 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @rajybiznes4
    @rajybiznes4 2 หลายเดือนก่อน

    Moe🎉

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 2 หลายเดือนก่อน

    abbah katisha sanaaa

  • @raymondmhozya8894
    @raymondmhozya8894 หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @Zuleikhaahmed-gh1st
    @Zuleikhaahmed-gh1st 2 หลายเดือนก่อน

    ❤️‍🩹😍❤️‍🩹🥰💯💯💯

  • @BrianMacharia-b9n
    @BrianMacharia-b9n หลายเดือนก่อน

    EDITING ERROR ON 2:29 MAGIC BULLET SUITE

  • @cjesus9741
    @cjesus9741 2 หลายเดือนก่อน

    bro natoa ushauri kdg tu mana sio kosa , ipo hiv ukitoa ngoma kali kama hii jitahid kutoa na video ata baada ya week 2 au hata baada ya siku, au utoe vyt kw p1 ngoma yako inakua inatembea zaid tofaut na iv bit n ushaur tu 😢

    • @MoMusicTZ
      @MoMusicTZ  หลายเดือนก่อน +1

      Received

  • @javonymusic2931
    @javonymusic2931 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @MoMusicTZ
      @MoMusicTZ  2 หลายเดือนก่อน

      🙏🏻

  • @MiraclesHimself
    @MiraclesHimself 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥

  • @FaizanSaifi-p1u
    @FaizanSaifi-p1u หลายเดือนก่อน

    Uko sawa mbaba

  • @FrankMsuya-u7g
    @FrankMsuya-u7g 2 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥