For real dayo ame reform ni ariff yangu she's now a good girl ni vile maisha Kwa sahii imekuwa ngumu kwake she needs support she is Avery hardworking lady
Dayo mamaa be strong Jikaze jitume usifikirie eti Baba mtoto ako hawa wanaume mambo yao ni ngumu .. we changamkia watoi wako watakusaidia...Eddy tafta mamake,siz yake na Bro ubonge na wao wamsamehe
Mi huskia uchungu, halafu tena mi huskia utam. Mi hukaa kidogo,mi huamka. Mi hukimbia kidogo,mi hukaa chini. Si mi huskia utamu tena halafu mi hulia. Ed mac nini hii umeanza kutuletea mzae,?
Hajatupima...kama umestay Ocha anaweza Elewa...jua Yuwaka kwa village bt unaskia watu wakisema kwa Centre mvua inanyesha then mara hiyo hiyo unashtukia ishaanza
These are the effects of someone especially a woman growing without a fatherly figure in the home.I bet you 100% Baba yake angekuwa anaishi nao hange grow hivyo
@@nancylaura6039 Wewe hauelewi unataka tubishane hapa.Watch majority( 95%) of the cases on this page it's either Baba hakuwa ama he was an absentee father.It's very important for fathers to play their role in the upbringing of their children.
For real dayo ame reform ni ariff yangu she's now a good girl ni vile maisha Kwa sahii imekuwa ngumu kwake she needs support she is Avery hardworking lady
Ngeli-???????????
This lady has very beautiful smooth skin
Dayo mamaa be strong Jikaze jitume usifikirie eti Baba mtoto ako hawa wanaume mambo yao ni ngumu .. we changamkia watoi wako watakusaidia...Eddy tafta mamake,siz yake na Bro ubonge na wao wamsamehe
Mi huskia uchungu, halafu tena mi huskia utam. Mi hukaa kidogo,mi huamka. Mi hukimbia kidogo,mi hukaa chini. Si mi huskia utamu tena halafu mi hulia.
Ed mac nini hii umeanza kutuletea mzae,?
ata mimi nashangaa hii tweng ni gane?🤣🤣🤣
😂😂😂😂🤣😂😂🤣😂😂🤣😂😂🤣😂😂🤣😂😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣😂😂
Yeah its good tumerudi studio..sound iko perfecto❤❤❤
Kweli...Situation ukam,hakuna msee ujitakia..
We just have to learn through it
🤣🤣🤣🤣umetupima apo kwa mvua joh......ati hujuii mvua ikitaka kunyesha
Hajatupima...kama umestay Ocha anaweza Elewa...jua Yuwaka kwa village bt unaskia watu wakisema kwa Centre mvua inanyesha then mara hiyo hiyo unashtukia ishaanza
I thought huyu dame ni very innocent until akafunguka sasa hapo katikati 😂😂😂😂😂😂😂😂
akuna story ya Ugangster/reformed apa ni vurugu za marital na family rejection tu
moral of the story umahuru kwa madem hailipiii kabisaaaa
Hiyo kitu ya sister yake still hurts her to date, amemention hiyo kitu mara kama saba
But she had a choice to stop the thug relationship after the rape 😢pole Amillo Make peace with mummy God ni mwaminifu ❤
Mi namini Dayo amechange forgive and forget fom nikurefom
She is remorseful,may they find a place in their hearts to forgive her.
try utafute siz na madhake pia waongee.
Chanzo Cha uharibibu n mama yenu maana upishi wa Chang,aa
I dont think alimdunga wakitoka,maybe walimuendea kwao juu no judge will jail a sister and mother hivo tu
she just lacked parental guidance from the word go, maybe due to circusmstances but she really lacked it
Just a question, why is she talking in past tense?
Tense ya ghetto 😅
Lugha ya mtaaa boss
She has a beautiful skin
Hiyo ni tense gani?
kanyagia bora unaelewa
🤣😂
Ndio nashangaa
Never judge anyone..But I think she is really trying to improve herself.
Mi hu..ye hu..mi hu..si hu..
Present continues tense ..
Ungali unafanya izi ma vitu
Hii sheng sio poa
Yea wewe ni kichwa Ngumu tu,but uko sawa
Ma mbona waizi huongea in present continius tense..mii hudunga..mii husemaaaa.....miiii toka ..ukape
Inafanya story ikue very boring ati ye hufanya ma nikitu past tens..nkt
@@nellywanjiru5796 labda bado ywafanya🤣
Eti mi hu mi hu yy hu
The same sister that hate and doesn't talk to her went to make peace between her and her husband wow wow.....(story za jaba)
Yote ni sawa.
But kiswahili haieleweki
Hio story ni moto sanaa
kifunyula ni kabila gani😂😂😂
Ki luhya
Walihya busia
@@nancylaura6039 ooh
Good tv back ground advert
Mtoto wa sonko please take over
Hii kiswahili n ya wapi😂😂
These are the effects of someone especially a woman growing without a fatherly figure in the home.I bet you 100% Baba yake angekuwa anaishi nao hange grow hivyo
Hao vijana huiba na wako na baba mwizi nkt
This is a white lie,good morals is from God.
@@nancylaura6039 Wewe hauelewi unataka tubishane hapa.Watch majority( 95%) of the cases on this page it's either Baba hakuwa ama he was an absentee father.It's very important for fathers to play their role in the upbringing of their children.
Unaongea kiswahili gani km teenager. Mama mzima
Hiyo ni Lugha ya ghetto.
Mama mzima n mamako
@Saralabda mamako fala wewe. Mi niko Seattle utanido? See ur life msee wa dagger
Kwela pangaaa❤❤❤❤❤❤❤
Na vile ni kwela panga
Kiswahili ni tamu
Wah 1998 😢God remember your people
Hiki kiswahili present continue sentence
sound jo!!!
Itugi tv
such a chaotic soul