CHEMBA YAFANYA BONANZA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024
  • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba leo tarehe 19 Oktoba 2024 imefanya bonanza la Kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
    Bonanza hilo limelenga Kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi tarehe 27, Novemba 2024,kupiga kura ili kuwachagua viongozi wa vijiji,vitongoni na mitaa wanaowataka ambapo lilianza kwa Washiriki kukimbia mbio pole ,na baadae michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu,mpira wa pete,rede,kukimbiza kuku, bao,Mashindano ya kula chakula, nk.

ความคิดเห็น •