nyimbo na mnavyo cheza vitu viwili tofauti,yani mna imba maneno ya mungu ila mna cheza kama sio wana wake,watu wana angalia nyinyi kama vielelezo vile vile kupitia nyimbo zenu mna ubiri injili yake lakini mnavyo cheza wala ata aviendani jaribuni kubadilisha ilo.🙏🏿
Nyimbo ninzuri sana ila tujaribu kufanana na injili tunayotangaza , namaan ninyi niwaubiri mfanan sasa wainjilisti , yani mko kama watu wadunia yani wasani wa dunia jaribuni kutengeneza mavazi kama na densi kama wainjilisti
Siyo nizuri mwanamke kuvaa durange kichwani iyo inasadiya wanaumetu Duuuu au mdo fashion zamkabi ila mwanamke aki vaa durange siyo isharazuri ni shauritu

Tuta lifanyia kazi 🙏
Tuta lifanyia kazi 🙏
Kazi nzuri sana. Mungu awe pamoja nanyi.
Nyimbo ninzuri sana ila tujaribu kufanana na injili tunayotangaza , namaan ninyi niwaubiri mfanan sasa wainjilisti , yani mko kama watu wadunia yani wasani wa dunia jaribuni kutengeneza mavazi kama na densi kama wainjilisti
Asante sana maoni mazuri 🙏 next time tuta fanya vizuri 🙏❤️
Asante 🙏 kwa ushauri tuta rekebisha
God bless 🙏 u keep going and don't give up
Ongereni kwa wimbo mzuri lakini mnje na maadili ya wokovu
Asante sana kwa maoni yako na tuta ya fanyia kazi 🙏
Mubarikiwe sana vijana wa yesu
Saf sana
Emen!!!!!!!! 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Niko pamoja na wewe kwa hilo swala unalozungumziya
Wow video nimeipata o nilisubiri sana mbarikiwe jamani 🙏🙏🙏🙏
Lazima kieleweke
Ninao uzima kweli
Mbarikiw
Mpo sawa sana vijana
Tuna wafuata hapa Texas, San Antonio
poa san ❤❤❤❤
My people wimbo wangu pendwa ❤️
Naombeni like zangu jamani 😂😅
Yaaaani ni 🔥🔥🔥🔥🔥tu
Siyo nizuri mwanamke kuvaa durange kichwani iyo inasadiya wanaumetu Duuuu au mdo fashion zamkabi ila mwanamke aki vaa durange siyo isharazuri ni shauritu
Asante sana, tuta lifanyia kazi 🙏
Asante sana kwa ushauri by king
Mungu azidi kiwatumia
Mubarikiwe sana kwa kazi nzuri 🙏👌❤️
Asante sana 🙏
Vue par baba boys 🔥🔥🔥
Feby Øg ameikubali KAZI yenu banduliste 🎤🎙️💪
Ommy D on top💥💥💥💥
Best Song Ever❤❤
Mubarikiwe
Nice
New favorite😂❤
Saf San
Mungu awabariki
Amen🙏🙏🙏
❤😂❤😂 amina
Kwanini nyota avae durag kichwani hahaha mambo yawa gangster ayo jamani, ila yote fresh awe anavaa vitambaa
Next time tuta fanya vizuri 🙏
@@happygospelog981 That's awesome I'll be appreciate you guys I really love your gospel music ❤️
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🏽
Amena
❤❤
Saf San 3:08
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🙌🙌🙌🙌🙌❤ just subscribed. You have the lyrics in English?
❤👍
Mungu wambinguni awatunze dahima
🎉🎉
❤
🎉🎉🎉🎉😂
Amen
Seen by Dj Dasly 😂
Wow Asante sana watu wangu💪
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂❤❤❤❤
😅😅q
Hi
Saf San
Amen