28.january 2024 hii Ngoma nilikuta mwana anacheki movie ya mtu#jina,nikasikia hii dunia si yakwetu parmernent👊 dah yan mwanangu hisia zilikwenda mbali sana mana nikagundua hii Ngoma kali sana na hii nndo ngoma yangu pendwa kuanzia leo mm ni shabiki yako namba1🙏🙌👊
Bonge moja la ngoma before skujua ila baadaya ya kuchek movie ya sisi nikajikuta namfuatilia huyu jamaa really this nigga is something else in this generation oya fanya mpk wajue unafanya mwanangu🔥🔥🔥
WHATSAPP 0719568535
haina noma
Damu yetu
Checked
nala inakuaje
Nakukubali sana meja angu pambana we jamaa
Oyaa hii ngoma makini sana.🔥🔥🔥🔥
28.january 2024 hii Ngoma nilikuta mwana anacheki movie ya mtu#jina,nikasikia hii dunia si yakwetu parmernent👊 dah yan mwanangu hisia zilikwenda mbali sana mana nikagundua hii Ngoma kali sana na hii nndo ngoma yangu pendwa kuanzia leo mm ni shabiki yako namba1🙏🙌👊
Nala mzalendo nakubal mm beka apa mzee wang kaza
FANYA MPAKA TONE LA MWISHOOOOOOOOO USHINDI MZALENDO
Noma sana
watakupigia makofi ukijitahidi,watakuchukia ukiwazidi👊🏿
Sana sana jamaa
Kaziii nzurii ankol
ASANTE ANKOO🥰🥰
Vibeeeeee n kubwaaaaaa umeuwaaa kaka🗣🗣🗣
Mkweeeeee
Nala nakuona mbali Sanaa siku zijazo👏👏👏👏👏🔥🔥🔥
Man Diego👌💪 Hip hop 🔥🔥🔥🔥🔥nakubali saana from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kazi nzuri hongera sana nala mzalendo nakubaliii sana
Nala mzalendo ww ni Moto brother nakubali Sana we endelea kufanya Kama kesho hautokuwepo
Njiaa kuu yakujitesa nikutafuta pesa namwnye pesa🙌🙌🙌🙌
Mdogowangu
Madini sna jamaa🙌🙌
Noma Jamaa🙌🙌
Kaza mwanangu nala nakuelew sana
Asante sana
Pambana kama kesho haipo, Fanya mwanangu Nalla mzalendo💪💪💪💪👍👍🚨🚨
Sana
Jamaa ni full package bhana.. amewazidi wengi Sana kwenye industry.
#njia juu ya kujitesa ni kutafuta pesa na mwenye pesa
Shukrani sana
Fanya,Nala mzalendo,I appreciate you maniga.
Ipo sawaa kaza jamaaa
Sana
Darasa tosha. 🤝 Ngoja tufanye kama kesho atuta kuwepo tena
Sana Mdogowangu
Ngoma zako ni darasa tosha keep it up mwam
💣💣💣💣 sio kabsa makazi yetu
Naaam
Njia kuu ya kujitesa, ni kutafuta pesa na mwenye pesa🙌🏽
Unaweza ukawa na maumivu alafu ukacheka😰😁
Jamaaa unajua sana jamaaaaa.... hatuuzi tena mitumba Jamaaaaa🙌😃
🤣🤣🤣
Unyama sana mze we ni zaidi sana
Asanteee sanaaa
🙌🙌🙌😀
Kwel jamaa ✌️
💪
NALA NALA NALAAA ni Laaaaaaaaana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎵🎶🔥🙌🙌🙌
Oiii
Tisha sana kaka nala
💪💪💪
Loml❤️you do better always..thing that makes me happy is the way ngoma yako mwenyewe inavo kuinspire ukiwa disappointed😅Nala banaaa
Sema tu unanipenda sana Mke Wangu😀♥️♥️♥️
Nala mtu
Maandiko yenye Baraka kwa kila mtu mwenye imani na upambanaji katika kutafuta ndoto ya maisha yake Barikiwa Jamaa🙏
Shukrani sana
Oi oi Nitakua naumwa siku hiyo Eenh Kausha!!!
Nakubali boy, aminia chama lang on📸📸
Braza Nala unaupiga mwingi soon utang'aa Zaidi Kazi zako zote hazina baya
Utakupigia makofi ukijiitaaid
Ila watakuchukia ukiwazid 🇿🇦🇹🇿 noma sana boy
kali sana mzee
Shukrani sana mzee
Nakufatilia kk zidi kutukumbusha wana
Fanya mpaka tone la mwisho
🙌🙌🙌🙌🙌
💥💥💥ngoma Kali kinoma
Mdogo wangu una Moto unaishi ndani ya moyo wako nilianza kukubali toka since day one unakitu kikubwa Sana kipaji ni maisha yetu
NASHUKURU SANA KAKA. barikiwa sana💪💪💪
Man diegooo fanya nakubali
Pamoja sana Mwanangu wa Kidato
Wee mwamba haujawahi koseaa🔥🔥🔥🔥🔥
Shukrani sana
Unahatarisha uzima kwa kufurahisha watu💔
🙏🙏🙏
🔥🔥🤟 Watakupa Dili Kama Gwea
Utasafiri watangojea... UTAJIRI
Fanya ni 💥💥💥🙌🙌
Asante kaka machata
nakubali mzee baba @more love
Sana
we jamaaaaaaaaa💪
Naam jamaa
Kazi nzuri bro hujawahi kuniangusha✊🏿✊🏿✊🏿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Pamoja
Njia kuu ya kujitesa ni kutafuta pesa na mwenye pesa
Naaam babu
@@nalamzalendoo sawa kaka
Kaka tuna fanya kama kumalizaa Tena na Mziki
ALWAYZ BEST RAPPER NALA DIEGO GHOST
Nala mzalendo mwanangu sana🤜 Ngoma imepenya pande hizi za Umangani Qatar🇶🇦
Shukrani sana
Kazi imenyooka sana kwa hippop umeishi kwenye misingi
Shukrani sana
Duuuuuuh bonge la msg
Nakubali broo ngoma kaliiiiiiiiii
Braza la minyooshoo🔥🔥🔥. Tunaendelea kufanya
Nishashiba maparachichi hapo
@@nalamzalendoo 🤣🤣buku mti mzima unachuma mwenyewe🙌
Nakubali kazi yako faasa,hata movies
"Utaishi na ndoto mpaka lini"🔥🔥🔥💙
Fanya SASA
Oyaaa broo unaweza sana asee hongera utafika mbali sana
Shukrani
mwanangu Diego hili darasa kubwa Sana 🔥
Noma
My brother nala mzalendo one love sama
Noma
This is my Best 2022 HIPHOP song. Keep doin ma man 👊 #FANYA #IAMBIEDUNIA
💪💪💪💪
*Naelewa harakati zako za hiphop Nala Mzalendo*
BARIKIWA sana
Tanzania iko mikono salama san, hii ndo hip hop inafundisha🙌🙌🙌🙌
Naaam
Much respect mtu mfupi mwenye mistari mirefu
Naaam🙌🙌🙌
🔥🔥jamaaa
🔥🔥🔥
Nakubali brooo
Endelea kuiambia dunia 🦾
Bila kuchoka mdogowangu
👊👍 Umegusha uhalisia wa maisha yetu.Heshima sana nakuona mbali.
Pamoja sana kaka
Naladona, fundi sanaa
nala this is dope mdogo wangu.....
Shukrani sana
Fanyaaaaaa ....ngoja nifanye ma gee
Noma
Ndo kwanza unaanza Ila fanya Kama unamaliza
Noma
Ongela snaa kwa kichupa kizur mc nakuombea mafanikio mema kila cku endelea kukazaa ipo cku tutafika
Shukrani sana
Dah kaka nalaeeee,unajua sanaaa kaka
Shukrani sana
Wajina☄️☄️☄️☄️
🙌🙌
Niii mnooo babuuuu
From South Africa mwamba
Unaweza sana sarut kwako kwa mabahari
Shukrani sana
Hii ngoma ni kuiweka makumbusho 🔥🔥 FANYA
😀😀😀🙌🙌🙌
Dah nakukubali sahna kaka
Nom 0719568535 whatsapp
Kali Sana
Umekiwasha mzalendo
Shukrani sana
Man Diego maradona niatarish sana🔥🔥🔥🔥💯🔥🔥🔥
Bonge moja la ngoma before skujua ila baadaya ya kuchek movie ya sisi nikajikuta namfuatilia huyu jamaa really this nigga is something else in this generation oya fanya mpk wajue unafanya mwanangu🔥🔥🔥
Shukrani sana. 🙏🙏🙏 0719568535 WhatsApp
Mgodi wa madini...nala
Majiii🔥🔥🔥
💥💥💥💥💥tisha sana
keep it up nala until you meet harmonize
Asanteee
Kazi Kali sana mwanangu,
Nakubali Mwafrika 💥💥💥💥
Sana kaka Rama
Ngoma makini sana, #maisha_na_muziki
Shukrani sana
Nomaaaaa Buda
Damn Hisia Mingi Sana Humu Brother!! Miaka Tele Tuendelee Ku #FANYA 🙌🏿🙌🏿🙌🏿✊🏿
Sana kaka💪
Napenda kazi yako bro
ASANTE SANA
Kaka hii ngoma umeua kinyama yani❤ 2:52
Fanya 🙌🙌
🙌🙌
Fanya 🔥
Mpaka Tone la Mwisho Dingi 🔥
Umetisha sana mwanangu
Sana
Pamoja
Kazi nzuri naladona
Shukrani sana
Nakukubali dam yang ya mbeye
Sana
@@nalamzalendoo mbn Ile series ya mtu inachelewa kutok bro
Maamuzi sahihi ni kufanya, FANYA
Fanya
Mzalendooooooooooooooooo🌟🌟🌟🌟🌟
Oiiii
umetishaaa