Am I fan’s wa hiphop since 90z kweusi huko hzi ndio zile vitu tunaelewa haswa hapo kwny beat na zingine zinafuata hii kitu ya moto sana bro big up tupo watu wa kusikiliza vitu kaa hzi na sio hzo vurugu zao za siku hzi 🔥🔥🔥
Sounds like a sample of 2pac's pac's life original track. It has some elements of that track. Great piece you have put together brother. I'm one of the biggest Tupac fans from these sides of the globe and I'm proud to say that you're continuing his legacy with this type of tracks. Keep going. New fan from 254 🇰🇪
kaka bongo bado hawajajua unafanya ninh ila kaka kiukweli kibongo bongo kama wew bado sijaona wa kushindanishwa nae kistreet tunakukubali sana Kaka respect kwako broh
hakuna wanawake kukaa uchi hakuna mauno muno yakisesenge hakuna Moet hakuna henessy hakuna kuvaa makoti makubwa km kuna mvua na video kali. kudos kwako bino..... video kaliiiiiiii
Aahh uyu jamaa ni noma skia mistar dahh anachubua mistar Hii 🇹🇿 m ni shabiki yako tayar Nakuunga safar Mpaka ufike unapotaka Show them how you flow kama kodack black ,pop smoke ,da baby na lil baby Huyu jamaa nomaa Conboi🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌💰
Huh nipo kwenye zone I swear i feel this moment Luffa kwenye beat yea you know he's a coldest Gotta grind all day yea we keep recording Hakuna kupumzika mpaka siku we touring
dah its like EBWANA DAH"Mzuka"Hoi Hoi feeling zimenipeleka wayback i wish DPT,KU_Crew members who still livin Real Hiphop wangeisikia hii joint ya Conboi Cannabino wangeenjoy alot
Yaani Bongo mko na artist mzuri hivi wa Hiphop na huku wengine twamjua leo! Wallahi nyi wabaya sana. This talent should have like 10Million views by now! KALI SANA, LOVE FROM TEXAS
Con Boi mnyama mkali Unajua Sana Broo
over mwanangu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 2pac wa bongo 👂👂
Sema Tanzania ni nchi ya wanyama wakali sana
Uyu msee ni mzing.🇰🇪
Fans Of Cannabino inside & Outside Tanzania 🇹🇿 let's gather here ❤️
Rep zed
Tu pac wa tanzania huyu hapa joh
We here straight out a kibera kenya
Baada yaa Miaka 10
Watanzania watakuja kuelewa mziki wa Conboi
He deserve a crown 🙌
Mzigo kama shakur a.k.a pacs safi sana...
Hot sana
My favorite Rapper am living in Kenya 🇰🇪 brother big love
Bro ur in 2pac legacy smoking is what we do men
sijaona msaani wakufananishwaa na huyu dogo
RIP 2pac
Bongo kuna mrithi wako Conboi
The Tanzanian hiphop monster I know,, wanakuombea sana usivuke mipaka coz wanajua kitachowatokea
From kenya acknowledging the power of canabino.hes the African 2pac..big up 🇰🇪
Jamani tusichoke kuipaisha hii ngoma kali kinoma watu wangu najua mnaelewa
Keeeep it uuuuuup binnoh🙌🙌🙌
Mwambaaaaa
Nzuri
Stunner life style ____________________grind all day
Conboi Cannabino is a coolest rapper in TZ 🇹🇿
Like kwa kumpongeza conboi kufika 100k
Canabbino is the real deal in TZ...keep up bruh 💯💯🇰🇪🇰🇪
TUPAC WA TANZANIA🔥🙌🏿
Best rapper in Tanzania. Only time will tell but this dude is genius and know the rap game for sure 👌✊
Sure
noma up up
Naskia styles Kama za pac hvi but ni 🔥🔥
Mi ni shabiki yko mkubwa kutoka komoro 🇰🇲🇰🇲🇰🇲 Yan mzigo umevuka mipaka Big up bro
Cannabis 😤
Hakuna kupumzika binoo💪🏽🥇
Jiwe kubwa ma boy cannabino
Ushauri mmoja niliopewa nijue kukaza, Tisha sana con
Con Bwoy 🙌🏿🙌🏿🇧🇮
Conboi
msanii aliokamilika
Am I fan’s wa hiphop since 90z kweusi huko hzi ndio zile vitu tunaelewa haswa hapo kwny beat na zingine zinafuata hii kitu ya moto sana bro big up tupo watu wa kusikiliza vitu kaa hzi na sio hzo vurugu zao za siku hzi 🔥🔥🔥
Upo sw mfalume wa hip hop
Ngoma zako Kal usiwe unaweka viunganish matus ndyo weng atujii ngeli kna wanao juwa mbn unajuwa con boi nakuelewa Sana 💪 Ila t achana nakuweka mats kwenye ngoma zako
Canna 🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Sounds like a sample of 2pac's pac's life original track.
It has some elements of that track.
Great piece you have put together brother.
I'm one of the biggest Tupac fans from these sides of the globe and I'm proud to say that you're continuing his legacy with this type of tracks. Keep going. New fan from 254 🇰🇪
Mad🥶🥶
afu mtu anamfananish na mbuzi skza puch za mot connabin 🔥🔥🔥🔥
For the first time Tanzania natzama hip hop yakwel...usisahau harakati za kwel..mana jamii inataka ukwe5
My best rapper of this generation 🔥🔥🔥🔥🔥 keep going hommie there is alot of cash ahead ✌🏾💪
The streets gave you the crown 👑!!! I'm giving you your flowers... One of the best to ever do it 🐐
True story
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Conboi we unajua sana mnyamwezi wangu
i wonder why this masterpiece is not on trending
kaka bongo bado hawajajua unafanya ninh ila kaka kiukweli kibongo bongo kama wew bado sijaona wa kushindanishwa nae kistreet tunakukubali sana Kaka respect kwako broh
Life is not boring, ukituona hatuna worry! (Conference boy).
PAC huyu hapa
hakuna wanawake kukaa uchi hakuna mauno muno yakisesenge hakuna Moet hakuna henessy hakuna kuvaa makoti makubwa km kuna mvua na video kali. kudos kwako bino..... video kaliiiiiiii
Mzee, am your fan for life!!
Noma sana .. sana!@
Aahh uyu jamaa ni noma skia mistar dahh anachubua mistar
Hii 🇹🇿 m ni shabiki yako tayar
Nakuunga safar
Mpaka ufike unapotaka
Show them how you flow kama kodack black ,pop smoke ,da baby na lil baby
Huyu jamaa nomaa
Conboi🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌💰
More blessings to you Ma'Brother Bino
Tatizo uwezo wake ni mkubwa kuliko game la bongo.But I preciate this guy
Blood
Daaah nikajua 2pact mzee kaliiiii sanaaa
kwa mbali nasikia flow za BIG afu unaswitch kwa tupac afu unaua kama Conboy mwenyewe. ya killed it bruh
Tupac would be proud!
No cap
Hili dude tunabeba TMA✊🏿🎤🔥🔥🔥🔥
Light up for the good music
Dope. Feels like Ice Cube- Today was a Good Day. 😎
Mzeee binoo
Am your fan number one kwanza song ya till I die daah,, ni song noma sana inafaha Grammy
BINNO PAC🙌🏿🔥
I thought ni mimi peke angu niko na hiyo feeling 😁🫡
Ushindi mwingi sana mzee wng tutafika tu mziki mzr unaongeaaa✔📌💥💥💥
Hiki ndoo kituu tulikua tunakosa Tanzania conboi is icon✊
Unajua mze alafu ndio wanataka wakufananishee na mbuzi sijui mbuz oy we ni level nyingine binnoh
Huh nipo kwenye zone
I swear i feel this moment
Luffa kwenye beat yea you know he's a coldest
Gotta grind all day yea we keep recording
Hakuna kupumzika mpaka siku we touring
New Makaveli intown namuona 2 pac kwa huyu Homie Big up on ur self Mwamba
Mwenyezi Mungu akubless sanaa
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tunakuwakilisha brejin👊
the only tz rapper with great sound and lyrics CONBOI
Tupac vibes.
i thing we need a hit of Con boy and Yanga Chief i wish as a fun i salute you bro ur the king of TZ Hip Hop
Midondoko ya Tu pac💯
Wenyew mnajua tumeuchubua🤟...
Daaaad Daaad Daaad sema poa
Keep pushin' cannabino THE GOAT🦙🦙🦙
th-cam.com/video/5f6pquS1wRA/w-d-xo.html
Jessus 😮😮😮 huyu jamaa ana kitu kikubwa sana
dah its like EBWANA DAH"Mzuka"Hoi Hoi feeling zimenipeleka wayback i wish DPT,KU_Crew members who still livin Real Hiphop wangeisikia hii joint ya Conboi Cannabino wangeenjoy alot
Me sio fans wa hip hop ila ila huyu mwamba ana mitembeo ya mbele Huwa nakubali sana akiwa ana rap
Conboi canabino the realest ingia mtoni mzee upate collab wanna wa philli na detroit
my favority hip hop king con iki kipaji wa bongo wakioni mdogo wako nipo egypt nakufuata
we jamaa mdudu hatari sanaaa mwanangu conboi nakubali sana man 👊👊👊👊
New subscriber 💯💯💯 true craft, civilized hardcore 💯🍁... Video pia imenda shule
new hit in town 🔥💪🏾
Huyu jamaa anajua anajua tena❤
2pac wa bongo, Africa na dunia itaelewa tuu soon 🙌
Noma mzee Baba Hii ni Next Level mjuba Ila zidi kukaza man tutafika pale .. ni swala la mda tu. Never Give up!!
Hujawah kosea cannabino SEMA media za bongo zna utoto mwingi mno 👊👊
Goat 🐐
Noma Saaaana
Bino 🔥🔥🔥unyama san mzee wangu
Goat
Big fun ov you from 🇺🇬🇺🇬bro the lyrics and acsent amazing...really the 👑👑 of hiphop....
Key to the street mwamba unajua
You deserve a crown Bino nimezaliwa cjawah lutana n video kali y hip hop kam hii 💥💣
Hisia zangu kwenye kazi huwa naazia kwako brow kwanza mzuka baada ya god
Yaani Bongo mko na artist mzuri hivi wa Hiphop na huku wengine twamjua leo! Wallahi nyi wabaya sana. This talent should have like 10Million views by now! KALI SANA, LOVE FROM TEXAS
nakupenda sana mwamba wang
Jamaa anaskiza tupac sana. Na ni vizuri. Skuizi rap wameiongeza sana maji
Con boi nilichelewa sana kukuelewa unajua broh
Moja kati wa wana Hiphop wachache wanaoishi katika misingi ya Hiphop. Keep it real bro