Mwenzangu kama kuna mkoa wahindi wazungu aina zote waarabu weusi na weupe wanaishi ni Arusha na ndo maana ardhi Arusha ni ghali mnooo na wazawa sasa hakuna anaetaka kupnga nyumba muda mreru kila mtu anataka kiwanja ajenge Kwa hiyo maisha hapa sio marahisi
Nasi tuna sema kazi Iendelee 👏
Huo msafara hatar. Hongera Mh Makonda kwa kumpokea mheshimiwa 🎉🎉🎉❤❤
Mama na mtoto wake maashallah ❤❤❤
IRON LADY YUKO KAZINI ❤
MashAllah 👏🏾 Kazi Iendelee
Sk hizi mm.anatoa bahasha mwenyew safiiiiii.snajua walaji wengi😅
Culture❤🎉
Karibu sn mm arusha yetu
❤❤❤❤❤❤
Kuna Watanzania wameoa au wameolewa na wazungu, warundi wakongo warwanda waganda sasa watoto wao wooote Watanzania
Hawo waarabu wote watanzania?
Wazungu wale sio waarabu
asante mkuu...na mimi najiuliza hivyo,hivo-------shida..
@ wahindi jee pale Dar. Ubaguzi. Mbona wa Tanzania wakienda marekani wanakua wamarekani
Mwenzangu kama kuna mkoa wahindi wazungu aina zote waarabu weusi na weupe wanaishi ni Arusha na ndo maana ardhi Arusha ni ghali mnooo na wazawa sasa hakuna anaetaka kupnga nyumba muda mreru kila mtu anataka kiwanja ajenge Kwa hiyo maisha hapa sio marahisi
@@HellenLemilya mbaguzi huyu yeye mwenyewe wazazi wake hawatoki Tanzania. Ikienda generation 2 utakuta anatoka Burundi au Ethiopia