USIPIME MARTHA MWAIPAJA NA JOAN WASEPA NA KIJIJI NCHINI CONGO, KAULI ZAKE ZITAKUSHANGAZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @rizikilubula4078
    @rizikilubula4078 8 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni Mungu ahitwe Mungu
    Ubarikiwe Dada Solange na Dada Martha. Mubarikiwe!

  • @AugustinMfaume
    @AugustinMfaume 8 วันที่ผ่านมา

    Tunakupenda dada yetu tukopamoja❤

  • @rizikilubula4078
    @rizikilubula4078 9 วันที่ผ่านมา +2

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu!

  • @AugustinMfaume
    @AugustinMfaume 8 วันที่ผ่านมา

    Acheni Mungu aitwe Mungu dada Mungu azidi kukupiganiya

  • @SheilaTabu
    @SheilaTabu 8 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤ amen mum love

  • @emmanuelmwakyoma5746
    @emmanuelmwakyoma5746 8 วันที่ผ่านมา +3

    Hata Kama arajaza watu mpaka mbinguni atashushwa mpaka chini kwakuwa amemgomea mama yake hadharani kiburi Ni kibaya shetani alianguka milele

    • @sifaortence
      @sifaortence 8 วันที่ผ่านมา

      Mungu anajua zaidi...Usiukumu usije ukaukumiwa...Biblia inasema.Huwezi kumushusha wewe sio Mungu.Mama Martha alisema mwanae alikua namsaidia the rest wanajua walla upande wa Martha atujausikia...Mungu anajua zaidi niyeye pekee mwenye ukumu maana akuna mkamilifu

  • @ChristopheAmani-t1o
    @ChristopheAmani-t1o 9 วันที่ผ่านมา +2

    Muache Mungu aitwe Mungu
    Congo ni kwambo Martha
    Tanzania waliacha Ku muombea Martha Congo bakamuombea Mungu mukifunga milango Mungu anaifunguwa sehemu ingine
    Mukipambana Na Mutu Wa Mungu munapambana Na Mungu
    Mukimuzarau Na kumutesa munyonge Mungu anamuinuwa zaindi

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mwaipaja congo 🇨🇩 we love we are with you

    • @GermainNyakarhanazi
      @GermainNyakarhanazi 8 วันที่ผ่านมา +1

      Tunawapeda me hamupedanake nyie munavita ya bakristu nyiepeke m'achete❤❤❤❤❤

  • @NdayishimiyeAgnes-of2tn
    @NdayishimiyeAgnes-of2tn 9 วันที่ผ่านมา +2

    Martha njoo Burundi tunakupenda pia❤❤

  • @frickchristina6175
    @frickchristina6175 8 วันที่ผ่านมา +1

    #injili na usagaji haviendani

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 9 วันที่ผ่านมา +1

    Binadamu wakikushusha Mungu anakuoandisha,Na Mungu anaangalia haki,haangalii maneno ya watu

  • @vicerocky
    @vicerocky 9 วันที่ผ่านมา +3

    Nguvu ya freemason mbona hamsaidi mama mzazi ila anajali Joan Tu hayo yote ni bure

  • @sunmona6823
    @sunmona6823 8 วันที่ผ่านมา

    Wa Kongo wa mji wa LUBUMBASHI wana suburi dada Martha

  • @TerezaHenry
    @TerezaHenry 9 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani awezi kukata tamaa kwa sababu ya maneno ya watu nyinyi mlimwangusha ila Mungu kauinuwa unavyo mwaziya mwenzio ubaya juwa Mungu amamuinuwa tukbs

  • @lovek6593
    @lovek6593 8 วันที่ผ่านมา +1

    Roho yangu inamchukia kwa yaliyotokea.ata akajaza uwanja vip

  • @frickchristina6175
    @frickchristina6175 8 วันที่ผ่านมา +1

    #wamemfunika uchi kidooogo tuu

  • @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
    @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 9 วันที่ผ่านมา +2

    Amuulize Ross muhando hiZ levo lazim afike situmeona makafara yake mam analalama

  • @SylviaMatindoBackupAccount
    @SylviaMatindoBackupAccount 8 วันที่ผ่านมา

    Amevalishwa nguo nzuri leo

  • @InesRubakare
    @InesRubakare 9 วันที่ผ่านมา +1

    Ni mkowa siyo kijijini

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 9 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo unaongea sana

  • @SylviaMatindoBackupAccount
    @SylviaMatindoBackupAccount 8 วันที่ผ่านมา

    Kenya ndio kusema not congo