VIJANA WA CONGO WALIVYO UAWA KWA KUPIWA RISAS NA SERIKALI YA CONGO WAZIRI WA SHERIA ATHIBITISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 504

  • @DanielSafari-b9l
    @DanielSafari-b9l 14 วันที่ผ่านมา +50

    Nyinyi watanzania mnao sema kwamba congo wamekosea kuwauwa hawa vijana hamjuwii tumeteseka kiasi gani nahawa watuh msinge coment hivo hawa watu wanauwa wanabaka .wanafungwa alafu wanatoka mwisho wasiku wanarudia ualifu kwahiyo .sio watu wazuri hawa .imajine watu kumi wanambaka mtoto wanambaka mtoto wa miaka kumi na mbili .nakumkatakata makam nyama alafu unasema wafungwe kweliiii??wangekuwa tanzania ndo mgejuwa vizuriiii😢😢

    • @hamzaibrahimu
      @hamzaibrahimu 14 วันที่ผ่านมา +1

      𝗸𝘄𝗲𝗹𝗶 𝗸𝗮𝗸𝗮 𝘄𝗮𝘂𝘄𝗮𝘄𝗲 𝘁𝘂 𝗵𝗶𝘆𝗼 𝗻𝗱𝗶𝗼 𝗱𝗮𝘄𝗮 𝗽𝗼𝗹𝗲𝗻𝗶😢

    • @lynshamz
      @lynshamz 14 วันที่ผ่านมา +1

      @@DanielSafari-b9l duh poleni sana, hii ni mbaya kupiga maelezo.

    • @EnessiSosten-gd7yy
      @EnessiSosten-gd7yy 14 วันที่ผ่านมา

      Du poleeni sana jamani

    • @aaminaasljbgbvf745
      @aaminaasljbgbvf745 14 วันที่ผ่านมา +1

      Yaani wafe tuu ndugu yangu huku Tanzania. Kuna watoto waibilisi na panya rodi nambwa mwitu ikikutana nao umekwisha nijanatuu wamevamia mkaka wawatu na gari lake ccm wamekata Kongo na puwa vidole uyuko hoi sio watu hao wakuacha wafe tuuu 😭😭

    • @rosemarysulle9288
      @rosemarysulle9288 14 วันที่ผ่านมา

      Hatariii

  • @FareedaAbdallah-e6h
    @FareedaAbdallah-e6h วันที่ผ่านมา +1

    Daaah nimeiyona pisi ap0 😢😢😢

  • @EmanuelyTemba
    @EmanuelyTemba 7 วันที่ผ่านมา +6

    Hata kam wamekosea sio kuchukua hatua ya kuwaua jaman muwe na moyo wa huruma😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 mungu ailaze roho za marehemu mahal pema pepon amina😂😂😂😂😂

    • @theflyingpot-ur1bf
      @theflyingpot-ur1bf 7 วันที่ผ่านมา +1

      Wakiua wenzao inakua Raha ila wao huruma waonewe

    • @dativajohn9428
      @dativajohn9428 6 วันที่ผ่านมา

      Hujakutana na vibaka wakupige kwanza panga moja ndio utaelewa

    • @TishaniUlanga-bj3nx
      @TishaniUlanga-bj3nx 5 วันที่ผ่านมา

      Kama ni wahalifu washapoteza kusud la kuwepo dunian ,,hivyo kifo ni stahiki yao sahihi

    • @asumilesengokalonge9856
      @asumilesengokalonge9856 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe upo kwenye raha hujawahi kufikwa na matukio ya hawa watu, inawezekana wewe ungekuwa namba moja kutaka wewe ndo uwashoot na risasi.

    • @RuthMaina-j9z
      @RuthMaina-j9z 4 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅😅😅

  • @davidmarwasamwel.5948
    @davidmarwasamwel.5948 4 วันที่ผ่านมา +1

    madini yanachukuliwa na bado mnauana wenyewe kwa sheria... utumwa wa kisasa.. kosa nila selikali kushindwa kukontro mambo. congo igeni mfano mzuri ni tanzania.. aman na kazi zinasonga

  • @IssaHamad-qc7dg
    @IssaHamad-qc7dg 13 วันที่ผ่านมา +16

    Hongera sana waziri Tena wakishapigwa risasi wachomwe moto wametutesa sana Hawa watu wamagari toka TZ

    • @AishaAisha-w1v
      @AishaAisha-w1v 13 วันที่ผ่านมา

      Polen sana

    • @DavidRabison
      @DavidRabison 8 วันที่ผ่านมา +1

      Wanasumbua sana kanyaka na tank fngulume

    • @kangaluwaukae
      @kangaluwaukae 7 วันที่ผ่านมา

      Nyie wote mtakufa kikatili kama wao

    • @esuvatlukumay9587
      @esuvatlukumay9587 5 วันที่ผ่านมา

      Duu issa katili wewe ni mtakatifu issa

  • @upendomkuwele-m9m
    @upendomkuwele-m9m 14 วันที่ผ่านมา +9

    Mungu saidia CONGO tunahitaji AMANI Afrika

    • @SalmaSamweli-v8y
      @SalmaSamweli-v8y 14 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa matukio haya Congo haiwezi kuwa na amani daima

    • @farookddrae866
      @farookddrae866 14 วันที่ผ่านมา

      @@SalmaSamweli-v8y itakua nayo acha wasafishe uchafu

    • @TheMaquiN
      @TheMaquiN 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@SalmaSamweli-v8y unadhani amani inapatikana kwa mapambio??

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 13 วันที่ผ่านมา +8

    Mungu tuhurumie sana wewe unajua zaidi mimi siwezi kuwahukim ni wewe Mungu wa mbinguni unawajua kuliko mimi ninavowajua, ni wewe Mungu wa mbinguni itakavyokupendeza sifa na utukufu zikurudie Mungu wangu uliyewaumba

    • @IssaNasir-v2e
      @IssaNasir-v2e 13 วันที่ผ่านมา

      @@PendoMarco-x3u unajua mnapokosea wakristo kauli ya kusema mungu ndo atahukum..kwani mungu si ndo kasema jino kwa jino jicho kwa jicho...huwa hamuelewi hili somo..maana yake mungu atahukumu ni zile sheria alizoleta ktk torat na siku ta mwisho

    • @AbduL-l1m
      @AbduL-l1m 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@IssaNasir-v2e wewe unajuwa umekosea watu mangapi na wamekuvumilia

  • @AlexanderMtey
    @AlexanderMtey 14 วันที่ผ่านมา +46

    Kifo ni halali yao na huyu mutamba ni mwamba sana na Yuko sahihi namuunga mkono 🤝

    • @ChrisskillaMucian
      @ChrisskillaMucian 10 วันที่ผ่านมา

      Tupo pamoja sana kamanda kifo kinastahili hapo

  • @JoshuaSimon-y7z
    @JoshuaSimon-y7z 10 วันที่ผ่านมา +3

    Namuunga mkono kwa maana wakikuta kwenye 18 zao hawana huruma halali tu wauwawe👏👏

    • @calebokerio9533
      @calebokerio9533 8 วันที่ผ่านมา

      akii mm nko kenya so sijashuudia

  • @janetmanjemela8372
    @janetmanjemela8372 12 วันที่ผ่านมา +1

    I thank God am not from Congo! This is not normal! Watching from Zambia.

  • @SadaMkoka-l9x
    @SadaMkoka-l9x วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅 safi sana ndo wakome

  • @kitwanatemu8935
    @kitwanatemu8935 14 วันที่ผ่านมา +11

    Sisi tunaoenda congo nio tunawajua hao vijana ni hatar sana ukikutana nao yaan sio hata kuwaonea huluma

  • @sarahweston2708
    @sarahweston2708 8 วันที่ผ่านมา +2

    Waliokamatwa wadogoooo ona sasa nn hii😢 safi sana

  • @FatumaBalawa
    @FatumaBalawa 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ehm ni mtihan sana mim cwez kufurahia ila mumewangu akiniaga anaenda Kongo huwa nachanganyikiwa maana mmewangu ni dereva 🚚

  • @HajiMustapha
    @HajiMustapha 14 วันที่ผ่านมา +6

    Aliyeuw kwa upang nay atauliw kwa upanga.

  • @McNationComedian
    @McNationComedian 14 วันที่ผ่านมา +3

    Kuna jamaa nimemuona anavaa shati hadi nmeumia
    Angejua kama anaenda kufa hata asingevaa shati 😭😭😭😭😭

    • @فيصلالبادي-ح1غ
      @فيصلالبادي-ح1غ 14 วันที่ผ่านมา

      Mm naona tu wangewapa sumu katika chakula wafe talatibu kuliko kuwapiga risasi 😢😢 niwalifu kweli ila loho inaniuma

    • @jonepomsonmshuti6830
      @jonepomsonmshuti6830 13 วันที่ผ่านมา +1

      Wakati unaumia jiulize yeye kaua wangapi? Je aliowaua ndo walikuwa na haki ya kufa??

    • @MariaShehemba
      @MariaShehemba 12 วันที่ผ่านมา

      Haijalishi bado Mungu hafurahishwi na kifo cha mtu muovu anawapa muda waweze kutubu​@@jonepomsonmshuti6830

  • @SiyerKitambulio
    @SiyerKitambulio 13 วันที่ผ่านมา +3

    Safi sana ww ndo raisi wa kuingwa watu kama hao ni kupijwa bulet2 sio mna wapeleka gerezani kula vitu vya bure

  • @ChristandusPonela
    @ChristandusPonela 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 daaa jaman mungu awandangulie ase😢😢😢

  • @ElizabethKemunto-q1g
    @ElizabethKemunto-q1g 7 วันที่ผ่านมา +1

    Hapo kuna wakusuhudiwa uwongo na kuna wenye makosa jamani MUNGU wa Wanyonge tuzaidie utarudi rini MUNGU 😭😭😭😭

  • @BarakaJames-e6v
    @BarakaJames-e6v 3 วันที่ผ่านมา

    Hao vijana niwabaya xanatena sana waonetuivo lakini niwabaya xana wazili ongelaxana baba nakwahili namwomba mungu akupe maixha malefu wazili juu yamaamuzi yako

  • @SonBrown_og
    @SonBrown_og 9 วันที่ผ่านมา +2

    Dah noma sana

    • @FiveStar-uc5ec
      @FiveStar-uc5ec 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😅😢😢😢😢😢😢😢

  • @MaulaHussainMaula
    @MaulaHussainMaula 14 วันที่ผ่านมา +5

    HUYO WAZIRI KAMA KUNA UWEZEKANO TUBADILISHANE AJE TANZANIA MAANA PALE TANDIKA DOUBLE KIBIN WATU WANAIBIWA KAMA TANZANIA HAKUNA SERIKALI .

  • @SalimMwafujo
    @SalimMwafujo 14 วันที่ผ่านมา +5

    Kenya mombasa pia kuna mambo hayo, hawo watu kama hao dunia ndzima wanafaa athabu ya kifo .

  • @visualeffectstza1552
    @visualeffectstza1552 13 วันที่ผ่านมา +10

    Kama haujawahi Kuishi Huku Congo Usicomment chochote Tunafurahia sana Vifo vya vijana hawa🎉

    • @Classique187
      @Classique187 8 วันที่ผ่านมา

      toi tu es un fou eux même qui fonts la loi sont des voleurs l'argents qu'ils sont entrain de volé tu ne sais pas que ça peut faire tant d'entreprises pour amélioré la vie de cette jeunesse?

  • @ernestwanyoike2250
    @ernestwanyoike2250 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makosa sana!!vipi kuwa vikana mabarunaru kinyama.hivi!!!

  • @LaurentMawazo
    @LaurentMawazo 13 วันที่ผ่านมา +4

    Atleast na wao wamepanda ndege😂

  • @HajjyModdy-g8j
    @HajjyModdy-g8j 11 วันที่ผ่านมา +3

    Waziri ongela sana uwa ao madogo wametutesa sana sie tulio fika Kongo wametufanyia ukatili sana 😭😭😭😭😭

  • @AristidesMbyazi
    @AristidesMbyazi 9 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wa Bara letu la Afrika Hongereni sana. Mungu ana cha kufanya kabisa. Subirini muda si mrefu sana.

  • @Nassorjuma-g2k
    @Nassorjuma-g2k 11 วันที่ผ่านมา +2

    na bongo wafanye hivyo mana panya road na watekaji wanazingua sana

  • @RuthMaina-j9z
    @RuthMaina-j9z 4 วันที่ผ่านมา

    Hadi huyo dem yumo 😅😅😅😅😅

  • @LizzyMchomvu
    @LizzyMchomvu 6 วันที่ผ่านมา

    Poleni Sana jamam

  • @edinalubava
    @edinalubava 6 วันที่ผ่านมา +2

    duuuuh mumg wet nd huwa anatoa hukum sy sisi wadam.

  • @pmanpjjp
    @pmanpjjp วันที่ผ่านมา

    eh wapigwe risasi atulei wahini shuke wankimbia kazi awataki wanazulu watu wanauwa wanazulumu maisha ya watu ni mfano wa kuigwa

  • @JumaMkwanga-v3t
    @JumaMkwanga-v3t วันที่ผ่านมา

    Kutoka wao wakiwafanyia biaadamu wezao vitendo vya uhuni basi wasisamehewe na kama hukumu imepita hakuna budi kutekelezwa hiyo faida yao hao watoto kwani niwanyama hawakuwa na huluma hata kidogo hiyo ndo faida yao kwani ukifanya biashara unategemea kupats faida mm Juma mkwanga kutoka mbezi mpakani Dares..saalum Tanzania

  • @AjuwaeNakalala-m7v
    @AjuwaeNakalala-m7v 9 วันที่ผ่านมา +4

    Wapo sawa, inchi zisizo penda ujinga zipo hivo...

  • @jamiljamal5067
    @jamiljamal5067 3 วันที่ผ่านมา

    Sio vizuri kuwauwa

  • @jovinageorge-s2o
    @jovinageorge-s2o 4 วันที่ผ่านมา

    Sijui nisemeje ila tyu acha nimwachie Mwenyezi Mungu

  • @FridahRobiChacha-k4s
    @FridahRobiChacha-k4s 12 วันที่ผ่านมา

    Hii hukumu iletwe Kenya maana kutoka kwa raisi hadi wanaich ni wakorofi mno 🎉🎉🎉🎉

  • @JumaWill-t6t
    @JumaWill-t6t 13 วันที่ผ่านมา +1

    Wafe tu wanazinguwa sana awo tukiingia congo

  • @franqueMHD
    @franqueMHD 9 วันที่ผ่านมา

    wapo sawa kabisa 100% mahana wanacho kifanya Akiko poa .nawewe mwenye kuatetea akijakukuta ndo mahana una wa tetea borh wafetu

    • @kangaluwaukae
      @kangaluwaukae 7 วันที่ผ่านมา

      Kuma la mamaako bola usinge zaliwa Anna ulama kifo kianze nawewe ka ma ni sahihi

  • @fatimajuma3330
    @fatimajuma3330 14 วันที่ผ่านมา +5

    Mm naona hata tz wakae na kupitisha kunyongwa ulipatikana mtekaji jambaz

    • @mariamshibanda3358
      @mariamshibanda3358 14 วันที่ผ่านมา

      Vaa viatu vya wazazi wao Kisha ucoment upya

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 14 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@mariamshibanda3358Fkria wa2 waliouliwa ndg zao kuanzia watt wajane na vkongwe kwa kupoteza mategemez Yao.

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@mariamshibanda3358umevaa viatu vya wazazi wa walio uliwa?! Au walio uwawa hawana wazazi?!

    • @appstudiogarage
      @appstudiogarage 14 วันที่ผ่านมา

      @@mariamshibanda3358 siku ukikutana na panya road ndo utajua ni upuuzi umeandika hapa

    • @JoyceRobert-op6kv
      @JoyceRobert-op6kv 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@mariamshibanda3358we nae viatu gani kwaiyo wao kwao nisawa tu kuuwa wenzao

  • @DjkiddoTz
    @DjkiddoTz 11 วันที่ผ่านมา +1

    Laana aita Isha congo Kwan wangewafunga maisha wakatimikia serikali SI ingekua faida kubwa

  • @jivanwin2988
    @jivanwin2988 14 วันที่ผ่านมา +2

    Acha wawanyonge Hawa wasenge walivyo mfanyia kaka yangu mungu amejibu maombi🧎 Acha wafe too 🙏

    • @joharifarahani2739
      @joharifarahani2739 14 วันที่ผ่านมา +1

      Pole sana ...

    • @jivanwin2988
      @jivanwin2988 14 วันที่ผ่านมา +3

      @joharifarahani2739 Yani kaka yangu Kuna miezi 8 walimuuwa vibaya sana nikikumbuka Acha too 😭😭

    • @johnmalekea9151
      @johnmalekea9151 14 วันที่ผ่านมา

      Pole sana​@@jivanwin2988

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@jivanwin2988polen

    • @edithajohn9600
      @edithajohn9600 14 วันที่ผ่านมา +1

      Pole

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 12 วันที่ผ่านมา

    Sio sawa hata kidogo 😢atujafikia huku kuhukumu Binadamu wezetu

    • @moniazaninka540
      @moniazaninka540 12 วันที่ผ่านมา +1

      Kwahyo wao wanavyoua ni vizur

  • @IsihakaYonnaJoreme
    @IsihakaYonnaJoreme 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @alimraba
    @alimraba 10 วันที่ผ่านมา

    Naona kuna mrembo pia,duh Mungu waokoe ndugu zetu😢😢😢

  • @MariaKitonka
    @MariaKitonka 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watoto tuwafu dishe habari za Mungu hawa angetokea ht moja anajua habar za Mungu angebalisha wenzake

  • @magdalenemumbua4501
    @magdalenemumbua4501 14 วันที่ผ่านมา +2

    watu wanateseka sana congo wakife kabisaa.ata Kenya inafaa kua hivo

  • @liliangidion-p2h
    @liliangidion-p2h 10 วันที่ผ่านมา +2

    pole yao wazaz duh!! lkn liwe funzo

  • @FlowerDanford
    @FlowerDanford 13 วันที่ผ่านมา

    Bado wa Lubumbashi na pale kanyaka asiyepajua congo awaonee huruma tu hao mwamba Kaz iendelee

  • @shedrackDomissian-t6p
    @shedrackDomissian-t6p 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu atusaidie

  • @ShukuruMaleto
    @ShukuruMaleto 13 วันที่ผ่านมา +1

    Wasamehewe wote wafundishwe kazi za kujenga taifa la congo huku wakiwa kwenye ulinzi mkali asiwepo wa kutoroka

  • @monicahkiema7269
    @monicahkiema7269 9 วันที่ผ่านมา

    Wakimalima wacome kenya😂😂😂

  • @MateoSamohenda
    @MateoSamohenda 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mnao waonea huruma hajafika congo

  • @PatanoCibunga
    @PatanoCibunga 14 วันที่ผ่านมา +1

    Wale ni zaidi ya panya Rodin
    Yani Wale ni Sawa na M23 ambayo ina uwa maelfu ya wa kongomani 🇨🇩

  • @FrankMalata-c1l
    @FrankMalata-c1l 7 วันที่ผ่านมา

    Wapigwe chuma hao Congo iwe salama kidogo:

  • @hajially4527
    @hajially4527 12 วันที่ผ่านมา

    Tatizo Tanzania tunafuga uhalifu panya road walikata sana mapanga nakuua watu lakini wakachiwa wenzetu Congo wanafyeka hii safi sana

  • @Husseintitu
    @Husseintitu 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kuwauwa c haki wakatumikie kifungo

  • @kangaluwaukae
    @kangaluwaukae 7 วันที่ผ่านมา

    Kuma tu uyo kiongozi atakufa kwa gadhabu ya mungu

  • @mochataofficial
    @mochataofficial 3 วันที่ผ่านมา

    Ukiwa umepoteza ndg yako kupitia hao vijana au umepewa ulemavu uwezi kuwahulumia zaid y kumpongeza waziri w sheria kw maamuzi magumu hao vijana washaua sn ni haki Yao

  • @Willesimba
    @Willesimba 11 วันที่ผ่านมา

    Sisi kwetu tunawageuza skeletoni za kufundishia shuleni😂

  • @Masterdee1
    @Masterdee1 13 วันที่ผ่านมา

    SAFI SANA WANGEFANYA HIVI NA KWETU HUKU KWA PANYA ROAD ILI IWE FUNZO

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 13 วันที่ผ่านมา +3

    Sura zao mmmh😢 vijana wadogo sana taifa lenye mali nyingi wenye mali wanakua wezi

    • @CanjanSwix
      @CanjanSwix 13 วันที่ผ่านมา

      Vp wew mwenye madini pekee cy mwizi

  • @kangaluwaukae
    @kangaluwaukae 7 วันที่ผ่านมา

    Kongo rahana itawatafuna mpaka mwisho kuzimu ni arali yenu adi uyo waziri kuma simfagirii ao ndo wauwaji wenyewe

  • @Said-y8c
    @Said-y8c 5 วันที่ผ่านมา

    Kwa kweli wamefanya ukatili lakini wasipigwe risasi hatharani inauma sana tena Mimi nashindwa hata kula tukio hili naomba wafungwe maisha.

  • @RajabSudi
    @RajabSudi 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mie pia naomba wahurumien bas

  • @RuthMaina-j9z
    @RuthMaina-j9z 4 วันที่ผ่านมา

    Wenye wana kaa wahuni kweli 😂🤣🤣🤣🤣.r i.p

  • @EddiMbena
    @EddiMbena 7 วันที่ผ่านมา

    Yani apo walivyo tiwa kwenye gari ndio wana enda kufa😢

  • @YassinSaidy-x2j
    @YassinSaidy-x2j 9 วันที่ผ่านมา +1

    Yani hao jamaa ukiwa hapa tz unaweza kuona kama wameonewa ila sisi tulio safiri kwenda huko unaona hata uko kupigwa rusasi ni adhabu ndogo maaana wametunyanyasa sana hao watu tushayakimbia sana magari tushapoteza vitu vyetu yani hao walikua zaidi ya washenzi

  • @LevinaTimotheo
    @LevinaTimotheo 9 วันที่ผ่านมา

    ❤❤ naipenda hii Sheria Kuna kuluna wengine wanawauwa bodaboda Tanzania itumike na huku bongo

  • @AwamyLuambano
    @AwamyLuambano 13 วันที่ผ่านมา +4

    Sisi tunao enda congo ndo tunajua Asante waziri umefanya vzr sana tn mmewazika vzr tu ndo chakushukuru maan madreva wenzetu ata wazazi na familia zao awaoni maan mait kuisafirisha inabdi uikatie occ klb milion 2 Asante waziri

  • @HappyPatrick-t4p
    @HappyPatrick-t4p 8 วันที่ผ่านมา

    Mungu anatuona watu wanajichukuria sheria ya kimungu wamesha sahau kama yupo mungu

    • @mwakagarimwakipelelefi9738
      @mwakagarimwakipelelefi9738 8 วันที่ผ่านมา

      Hayaja kukuta Ndugu zetu madaleva Wanaoenda Congo wanatekwa na kuuliwa wanavamia magari na mapanga 😢

  • @katanabaya
    @katanabaya 9 วันที่ผ่านมา +1

    Daniel hivi kwa fikra zako unafikiri hio ndio suluhu? Myafte ni mwenyezi mungu hiyo ndio mmeharibu kabisa hio ni laana kwa taifa zima mungu anayaona yote Hilo nichukizo vijana wadogo kama Hawa! Raisi hpo hauja fanya sawa funga hao maisha si kuua damu itaongea jamani tumgeukieni hzi ni sku za mwisho lo!!

    • @evansmopao8022
      @evansmopao8022 8 วันที่ผ่านมา

      ataa maandiko yanasema ukiiuuuwa kwa upanga utauliwa kwa upanga sasa damu gani italiaaa apao

  • @JumanjiBoyka
    @JumanjiBoyka 10 วันที่ผ่านมา

    Daa nashindwa lakusema😂

  • @KhamisJumanne-q2l
    @KhamisJumanne-q2l 13 วันที่ผ่านมา +2

    Hadi wanawake wananyongwa kuna mdada nimemuona hapo mmoja

  • @JuliusSenyael-ej6hg
    @JuliusSenyael-ej6hg 13 วันที่ผ่านมา

    Wanyama sana Kongo damu ii itawala muogopeni MUNGU ndio maana mnapata magonjwa yaajabu na hamfai 23wana haki y kuwatesa

    • @YayaTuweri
      @YayaTuweri 13 วันที่ผ่านมา

      Kama wao waliuwa basi sahihi na wao kuuliwa mana sheri ya muuwaji nikuuliwa

  • @cathycharmym28
    @cathycharmym28 14 วันที่ผ่านมา +15

    Hee..had mwanamkee??tumbo had lnauma Mungu wangu🥺🙌🏻

    • @KassimallyKassim
      @KassimallyKassim 14 วันที่ผ่านมา +4

      ht waliouliwa hp nyuma mama zao matumbo yaliwauma

    • @EmilianJoseph-u5b
      @EmilianJoseph-u5b 13 วันที่ผ่านมา

      Huyo kashaua watoto wadogo toka 2006 usiangalie sura

    • @jamilmwinge3695
      @jamilmwinge3695 12 วันที่ผ่านมา

      Congo uisikie tu .

    • @VictoriaSamson-x5p
      @VictoriaSamson-x5p 3 วันที่ผ่านมา

      Asa uyu mwanamke nayeye anabaka watu 😅

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 14 วันที่ผ่านมา +2

    Iko vizuri sana fundisho kwa wengine

  • @iddiyrashid1682
    @iddiyrashid1682 14 วันที่ผ่านมา +2

    Hikumu hiyo ni sahihi hata kwa Mungu muuwaji nae auliwe

  • @DolikasiYusufu
    @DolikasiYusufu 10 วันที่ผ่านมา +2

    Jamani nyuma yavijana kunaviongozi

  • @cosmasmahinda9764
    @cosmasmahinda9764 8 วันที่ผ่านมา

    Naona sawa tu kwakuwa kwasisi tunaoenda Congo ndio tunaokumbwa na kero za Hawa jamaa hasa miji ya Likasi bungubungu fungulume na maeneo mengine kuanzia hapa boda kasumbalesa mpaka kanyaka ni kero tupu hawa Bora wawaue tu

  • @JoshuaSimon-y7z
    @JoshuaSimon-y7z 10 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa kipindi wanafanya hayo maovu/ukatili watu wana lia selikari iwasaidie na selikari imechukua hatua ya kuwa hukumu wananchi wanaanza kuwa tetea wapewe nini sas wanchi bhana......

  • @SadaMkoka-l9x
    @SadaMkoka-l9x วันที่ผ่านมา

    Natamani hata tz wangefanya kama congo nchi inaharibiwa na watu kama hao

  • @MichaelJoseph-t6r
    @MichaelJoseph-t6r 3 วันที่ผ่านมา

    Mambo ya kutisha, hivi kweli wore wamehusika na uhalifu?

  • @rovinakanje-iq8wj
    @rovinakanje-iq8wj 3 วันที่ผ่านมา

    1:21 😮😮

  • @DoriceSemwenda
    @DoriceSemwenda 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu tusaidie

  • @marcellinoasanteyangamarce9557
    @marcellinoasanteyangamarce9557 14 วันที่ผ่านมา +1

    Wafe wote 😊😊

  • @samuelkeya
    @samuelkeya 7 วันที่ผ่านมา

    Ata Hawa wako Kenya Ndio walifunza gz kua kiburi

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 8 วันที่ผ่านมา

    Kama umewahi kuibiwa huwezi kabisa kumuonea huruma mwizi. Hata Tz wauwawe tu.

  • @rovinakanje-iq8wj
    @rovinakanje-iq8wj 3 วันที่ผ่านมา

    Jamani wangefungwa to kifungo cha maisha kuliko kuua

  • @MelishaAchieng-m5c
    @MelishaAchieng-m5c 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    I think that's the best thing to

  • @fikirinimahamudu6488
    @fikirinimahamudu6488 8 วันที่ผ่านมา

    Wanasumbua sana

  • @ondieckotoyo1143
    @ondieckotoyo1143 6 วันที่ผ่านมา

    Damu uongeza damu ukosefu wa utawa sheria haitaji mahakama wala ushaidi yawezekana siyo wote wanahusika walikamatwa kwenye kumbakumba maamuzi haya ni kufeli kwa utawala

  • @AshrafuAdam-l4g
    @AshrafuAdam-l4g 9 วันที่ผ่านมา

    Acha waone raha ya kifo nao hongera

  • @honoratusmodest285
    @honoratusmodest285 14 วันที่ผ่านมา +6

    Safii sana yani wakiua nao wauwawe hii safii

  • @JilaniSumwa
    @JilaniSumwa วันที่ผ่านมา

    Anaye ua kwa upanga na yeye auawe kwa upanga kwhyo wafe tu maana wanazulumu maisha ya watu

  • @mwambatherock3820
    @mwambatherock3820 13 วันที่ผ่านมา

    Inasikitisha sana vijana kama hawa kupotea kabla yakutimiza ndo zao

  • @Mtumweusi35
    @Mtumweusi35 13 วันที่ผ่านมา

    Safi Sana hiii adhabu ifke na apa tanzania

    • @AngelWilly-f5o
      @AngelWilly-f5o 10 วันที่ผ่านมา

      Haiwez fika tz make uku sio kuluma ni wasio julika

  • @MwantumJuma-x9f
    @MwantumJuma-x9f 8 วันที่ผ่านมา

    Kongo mlivo waua hao vijana bila huruma jamani kweli mungu hatumwogopi inauma sn

    • @Bahatimngongo
      @Bahatimngongo 6 วันที่ผ่านมา

      Mungu atukumbuke hukumu sio juu yetu ni ya Bwana

  • @bwashiwiliam
    @bwashiwiliam 9 วันที่ผ่านมา +1

    Muwenahuruma jamani mungu yy ndio anasitahili kututoa dunia