UNAJUA kumsikia Mungu Kuna gharama mnooooo..wengi watakubeza na kukuona umefanya uhamuzi.usiosahihi ..hao ni wanadamu TU hawajui mahusiano YAKO na MUNGU.... Good luck keep moving kama ni Mungu amekupa agizo mshukuru Mungu amekupa NEEMA ya kuitii Sauti ya Mungu na kufanya ulichoagizwa... Wanadamu Yesu Yu karibu sana kurudi na yupo kazini kufichua na kuokoa watu wake.... barikiwa mno.Mungu akutunze sana G
Et yatima wapewe gari ko yatima ndo wakula madhambi ya watu watanzania acheni kuona.kama mayatima.hawana kitu ni watoto wa Mungu.hawahitaji kupewa vitu na mafreemasoni
Martha mwaipaja afuate mfano wa huyu amechoma gari aliopewa na nabii wa kuzimu Davie ishara ametubi na hataki husiano Chochote na watu wa kuzimu hataki evil soul ties Martha avue hiyo mask ya eti amenyamaza Martha HAYUKO tayari kutengana na ushirika wa freemason na usagaji
Anayajuwa iliyo mupeleka achome,kwangu iko sahihi. Ikumbukwe kulikuwa kashesha munishi na nabii mukuu baada yakumupeya zawadi eti haja mushukuru ilivyo. Huyo sio nabii wa Mungu
Upendo wewe ni mnafiki mwenye imani hula vyotenapia hakuuchaw i walauganga kwaaliye okoka waimbaji hawaokoki wanajichanganyaa. Wenyewe kwawaganga sio nabii
Yeye aliyechoma anajua maamuzi yake wengine hamjui kama gari limempa mkosi hachomoki kimaisha na amepotea ktk kipaji chake .cha bure kina masharti na havidumu pi vina gharama zake
kwa wanao fuatili nyimbo za injili nikweli goodluck alipotea kabisa sio kupotea hatanyimbo zilikuwa hazina uwepo bloo bog up tusi mlaumu tusubuli tujue ninj kilisababisha alafu mjifunze sio mnaweka commnte za kulaumu
Nilimupenda saaaana kwa vile alivyo fanyaa,ameskiya voice ya Mungu, ingekuwa wote wana skia sauti ya Mungu
Mungu akubaliki saaana
UNAJUA kumsikia Mungu Kuna gharama mnooooo..wengi watakubeza na kukuona umefanya uhamuzi.usiosahihi ..hao ni wanadamu TU hawajui mahusiano YAKO na MUNGU.... Good luck keep moving kama ni Mungu amekupa agizo mshukuru Mungu amekupa NEEMA ya kuitii Sauti ya Mungu na kufanya ulichoagizwa... Wanadamu Yesu Yu karibu sana kurudi na yupo kazini kufichua na kuokoa watu wake.... barikiwa mno.Mungu akutunze sana G
Waliokuja kuona alichosema nkone na umemsikia nkone piga likee
Mungu wa Mbingun akupe nguvu za kushinda majarinu mshike Bwana Yesu ameaidi kuwa atakuwa pamoja nawe
Hongera mama kumsaport goodluck mr pia nimefurahishwa
Wengine mpaka jumapili watalifanya somo makanisani kwao
Ndio wawafybdushe wengine kumtegemea Mungu kwan unatakaje
Unataka somo uwe wewe
Et yatima wapewe gari ko yatima ndo wakula madhambi ya watu watanzania acheni kuona.kama mayatima.hawana kitu ni watoto wa Mungu.hawahitaji kupewa vitu na mafreemasoni
Nasubiri shusho na martha maana walienda wanamuita baba
Umbeya falisayo mkubwa wenyewivu Maisha yawatu
Martha mwaipaja afuate mfano wa huyu amechoma gari aliopewa na nabii wa kuzimu Davie ishara ametubi na hataki husiano Chochote na watu wa kuzimu hataki evil soul ties Martha avue hiyo mask ya eti amenyamaza Martha HAYUKO tayari kutengana na ushirika wa freemason na usagaji
Anayajuwa iliyo mupeleka achome,kwangu iko sahihi.
Ikumbukwe kulikuwa kashesha munishi na nabii mukuu baada yakumupeya zawadi eti haja mushukuru ilivyo.
Huyo sio nabii wa Mungu
Yesu awasamehe
Safi sana.
Pesa sizakishetani zimeisha hisha zinakaaga
Kutubu,ishala,nzuli
Wee itabidii. 2metubuu tw jamani 🙏🤭🤭🤭😔
Waimbaji wa nyimbo za injli hapa Bongo hakuna soja wa Yesu hata mmoja .
Upendo wewe ni mnafiki mwenye imani hula vyotenapia hakuuchaw i walauganga kwaaliye okoka waimbaji hawaokoki wanajichanganyaa. Wenyewe kwawaganga sio nabii
Yeye aliyechoma anajua maamuzi yake wengine hamjui kama gari limempa mkosi hachomoki kimaisha na amepotea ktk kipaji chake .cha bure kina masharti na havidumu pi vina gharama zake
Aliambiwa asimpe hata mtu kuendesha sasa mnataka alipeleke kwa nani
Akili emty
Wao wanaolalamikia gari kuchomwa kwani wanajua maelekezo aliyopewa huyu dogo?
Ngoja tuone kama ataskika si dawa imepatikana tuone sasa atakavyo tawala dunia
kwa wanao fuatili nyimbo za injili nikweli goodluck alipotea kabisa sio kupotea hatanyimbo zilikuwa hazina uwepo bloo bog up tusi mlaumu tusubuli tujue ninj kilisababisha alafu mjifunze sio mnaweka commnte za kulaumu
Tadhari watumisi wanajiita,majina makubwa, waifeso5:11,kuchoma nikuvuja angano lakifreemason,sio wote wamwitao bwana bwana sio wote wataridhi ufalme wake
Watu wanao sumbua sio wapagan bali ni hawa wadini za mapokeo na uelewa wa ajabu ajabu
Pendo umezeeka nahakili imezeeka tubu
Ww mbona ulienda kuimba Kwa chief goodlove wakat yule ndiye free mason live
alitubu lakin 😂
@RaheemaMosa hii dunia vituko sana
Aliomba musamaha baada yakutambuwa nywayo zake zilikanyaga pabaya
Upendo kweli alitubu kwa watu wote alisema yeye hakujua aliomba msamaha @@JescaMagesa-n5w
Angewapatia watu wasiojulukana.
Upendo amezeek akiriv atatushauli nn
Kwahyo mama yako akizeeka hawez kukushaur, Walimpa gar kwa matangazo acha nae achome kwa matangazo
Wewe ambae hujazeeka umeshauli nini unatete ujinga to nyie ndo mnao penda vya bule
Wee me sina say jamani watu wa MUNGU 😅😅😅😅 😊
Pendo umezeeka nahakili imezeeka tubu