MAOMBI YA WAJAWAZITO by Innocent Morris

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • MAOMBI YA WAJAWAZITO by Innocent Morris
    Innocent Morris
    +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    TH-cam Link:
    / holyspiritconnect

ความคิดเห็น • 352

  • @rehemastephano2985
    @rehemastephano2985 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nashukuru sana maombi haya nmejifngua salama nilmaliza kusikiliza tu nikaenda leba nmejifngua salama mtoto wa kiume Asante sana Mchungaji kwa kuleta maombi haya Mungu akubaliki

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ameen ameeen. Mungu ni mwema sana sana. Haleluya 👏 👏 👏 👏

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hongera sana sana

  • @FausterPeter
    @FausterPeter 5 หลายเดือนก่อน +5

    Nmebarikiwa sana kwa maombi mtumishi wa Mungu.
    Maombi haya yakawe ushuhuda kwa mke wangu mpendwa aliye labor.
    Mwenyezi Mungu na amtendee wepesi aweze kutoka salama yeye na mtoto mtarajiwa.
    Ninaomba na kushukuru kwa jina la Yesu... AMEN

  • @EsnathGodfrey
    @EsnathGodfrey วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki sana nina imani Mungu atatenda kwa ajiri yang tumbo lang halitakuwa wazi tena🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @gabrielkapwaka9184
    @gabrielkapwaka9184 หลายเดือนก่อน

    Najikabidhi kwako eeh yesu wng ..uwe Nami adi mwisho ameen

  • @gracemanzi4864
    @gracemanzi4864 9 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Sana kaka Innocent kwa Maombi haya, Nilikuwa nikisali kila siku kipindi cha ujauzito wangu naye Mungu mwaminifu akanijaalia kupata uchungu wiki moja kabla ya due date na wakati ilidhaniwa sitapata uchungu hadi nifanyiwe induction..Mungu ni mwaminifu sana sana na nimejifungua salama kwa njia ya kawaida mtoto wa kiume Sifa na utukufu ni kwake YESU KRISTO👏🏼👏🏼🙏🙏🙏

  • @divahairshow7646
    @divahairshow7646 ปีที่แล้ว +8

    Nimepoteza mtoto wa kwanza mwaka 2019 kwa tatizo la pressure na protein kwenye mkojo.... sasa nina ujauzito mwingine wa wiki 23 lakini pia nimegundulika nina protein kwenye mkojo...lakini pia nina maumivu makali sana upande wa moyo, natamani sana nijifungue salama mtoto huyu, naomba kupitia maombi yako Mungu akanifute machozi haya niliyonayo... aniondolee maradhi yote yanayonikumba kila ninapobeba ujauzito... namuomba Mungu kupitia maombi yako nimalize hii safari salama kwa mafanikio na ushindi mkubwa! Amen🙏🏽

  • @cesiliamsei3335
    @cesiliamsei3335 2 หลายเดือนก่อน

    Unitangulie Yesu 🙏 ehh Mungu wangu najikabidhi kwako Amen 🙏

  • @malengamsombwa3115
    @malengamsombwa3115 2 ปีที่แล้ว +6

    Nashukuru sana baba yangu kwa maombi haya ulio ya weka kwa njia ya mtandao nimeyaweka nikiwa leba nimejifunguwa salama

  • @siedeogratius4708
    @siedeogratius4708 25 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu nione na mimi, nijifungue salama nakataa roho za operation kwenye mwili wangu , Amen 🙏

  • @hawaomary1641
    @hawaomary1641 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu asifiwe ninakila sababu ya kumshukuru MUNGU na kushuhudia Kwa maombi haya nimejifungua salama

  • @RoseMapunda-pd6vg
    @RoseMapunda-pd6vg หลายเดือนก่อน

    Amen iwe baraka kwangu mimba ikue nijifungue salma MUNGU aniweke mbali na mauti

  • @elizathomas2392
    @elizathomas2392 2 หลายเดือนก่อน

    Naamin kwa jina la yesu mwanangu atakuwa salama kwa uwezo wa Mungu Baba na Mwana Na Roho mtakatifu Amen 🙏🙏🙏

  • @NeemaMbena-u1e
    @NeemaMbena-u1e 2 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa mung kwa jina la yesu kristo ninaamini mimba yangu itakua salam ninaweka ulinzi wako damu yako takatifu ikamkinge na hatar zote

  • @upendochegeni9816
    @upendochegeni9816 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa jina la Yesu Kristo. Maombi haya yakawe ushuhuda kwa Binti yangu Caroline, aliyeko labour ward akisubiri kujifungua. Amina

  • @FatmaFarijala
    @FatmaFarijala 2 หลายเดือนก่อน

    Nimepokea kujifungua salama kwa jina la yesu

  • @Faines-qj1nt
    @Faines-qj1nt 3 หลายเดือนก่อน

    Huwa nafatilia sana maombi yako nashukur sanaa kwa maomb yako usituache sisi wanawakee wajawazito ameen🙏🙏🙏🙏

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 2 หลายเดือนก่อน +1

    Pokea nguvu mke wangu Mage ujifungue salama katika jina la yesu Amen 🙏

  • @fatumaekabe9464
    @fatumaekabe9464 ปีที่แล้ว +1

    Naamini nimepokea baraka katika uzao wangu kwajinalayesu christu aminaaaaaa.

  • @MariamMariba
    @MariamMariba ปีที่แล้ว +2

    Asante sana mchungaji Mwenyezi Mungu akubaliki Nina mimba ya miezi saba nanusu Mwenyezi Mungu akanibariki mtoto wa kiume Amen🙏🙏🙏

  • @KinyasiniOrbit
    @KinyasiniOrbit 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mwenyezi mungu anifungulie njia zangu mwanangu akuekatika njia salama bila shida mungu nione

  • @rachelhassanary4091
    @rachelhassanary4091 ปีที่แล้ว +1

    Asantee sana mtumishi wa mungu nimefatilia maombi yako nimeona mkono wa bwana yaan nimejifungua salam kabisa bila shida yoyote

  • @LeniaEliamin
    @LeniaEliamin ปีที่แล้ว

    Ntajifungua salam na mtoto wangu atakuwa salam kila mtu alie sema siku ya mm kujifungua ntakufa mm na mtoto wangu kwa jina la yesu kristo ntajifungua salam mm na mtoto wangu

  • @MartinSinkonde-m4q
    @MartinSinkonde-m4q 18 วันที่ผ่านมา

    Napokea kujifungua Kwa uchungu wa kiebrania Kwa jina la yesu,

  • @bensonmwadime-pc1cy
    @bensonmwadime-pc1cy 8 หลายเดือนก่อน

    Kwakijina la yesu cristo maombi haya yawe kwa mke akiwa ward akisubiri kuzaa yawe yake in Jesus name amen

  • @SinEphel
    @SinEphel ปีที่แล้ว

    Asante pastor kwa maombi ,niko na ujauzito wa miezi mitano ninaomba mtoto Wangu nijifungue vizuri,nitaomba na pia nitafwatilia haya maombi hadi dakika ya mwisho nifurahi kushika mwanangu mikononi mwangu.

  • @EsnathGodfrey
    @EsnathGodfrey วันที่ผ่านมา +1

    Nina iman katika yeye anitiaye nguvu

  • @jacqulinendugulile7614
    @jacqulinendugulile7614 2 ปีที่แล้ว +2

    Maombi haya yakawe ushuhuda LEO kwa mdogo WANGU aliyepo leba wodi anayesubiri kujifungua.
    MUNGU wa mbinguni pekee akamsimamie. AMEN

  • @priscamahiga7839
    @priscamahiga7839 ปีที่แล้ว +1

    Ndo mara ya kwanza nimesikia maombi yenye mpangilio yalibeba isia Kwa jina la Yesu yewe uponyaji Kwa sisi wajawazito Dunia nzima Kwa jina la yesu

  • @hobokelaMwansisya
    @hobokelaMwansisya 3 หลายเดือนก่อน

    Nmepokea maombi ya kujifungua salama na mtoto kuwa salama amen

  • @PhilomenaRoman
    @PhilomenaRoman 24 วันที่ผ่านมา

    Nashukuru haya maombi yalinisaidia sana🙏

  • @NaxyPius
    @NaxyPius 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe xana docta mungu akupe maixha marefuuuu nilivoxikia maombi yako najikuta moyo umetakasikaa

  • @esthermasase7114
    @esthermasase7114 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 mtumishi wamngu kwamaombi yako naiman mngu atanisaidia mda wangu wakujifungua ntajifungua salama kabisa na mtoto wangu atatoka akiwamzima waafya nzur kabisa katika jina la yesu alie haii

  • @purityelias4825
    @purityelias4825 ปีที่แล้ว

    Amina nami naamini kwanguvu ya Rohomtakatifu nitajifungua salama, barikiwa Mtumishi wa MUNGU.

  • @MweshMwesh-dr5lp
    @MweshMwesh-dr5lp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Naamini katika jina la yesu Kristo ntatoka salama na mtoto wangu atatoka salama kwa jina la yesu Kristo 🙏🙏

  • @AlfaSila-vv5cy
    @AlfaSila-vv5cy 2 หลายเดือนก่อน

    Amen baba ubarikiwe unapatikana wap

  • @barakakibona-s8m
    @barakakibona-s8m 5 หลายเดือนก่อน

    Napokea mimi na mwanangu nanitajifungua salama katika jina la yesu amina

  • @danielkihiyo5491
    @danielkihiyo5491 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki san Mchungaji wew ni yule umeagizwa na Mungu kusema n watu wake kwani tangu juz nahangaik mguu unaniuma sana nashindwa hata kunyanyua kitu kwa bahati nzuri naingia youtube nkutana na maombi haya naamni ni kwa neema ya Mungu na kwa mapenz yake mimi nipone na naamni kupitia maombi haya hii hali inakwenda kuacha kwa damu ya yesu.
    Lakini na mimi piah napenda nitamke baraka juu yako mtumishi wa Mungu, Mungu akakubariki wew na familia yako akabariki kazi ya mikono yako na akaongeze pale ulipopungukiwa na uchumi wako ukakue kwa damu ya YESU Amina.

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  6 หลายเดือนก่อน +1

      Ameen ameeen ameeen. Napokea kwa jina la Yesu Kristo, tena kwa unyenyekevu mkubwa. Mungu akubariki pia

    • @danielkihiyo5491
      @danielkihiyo5491 6 หลายเดือนก่อน

      @@holyspiritconnect Amen Amen 🙏🙏

  • @annacharles1900
    @annacharles1900 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu napokea kijifungua salama kwa jina la Yesu

  • @sarahjamaly8017
    @sarahjamaly8017 10 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa mungu namuombea mwanangu uzima na nikapate kujifungua salama kwa siku chache hizi zilizobakia 🙏🏾

  • @happybajuta9769
    @happybajuta9769 ปีที่แล้ว

    Thanks mchungaj nimeomb n wew nimesikia faraj ndani moy wangu n nin mimb chang bado endelea kutuombea n tutaomb pmj n wew🙏

  • @LeniaEliamin
    @LeniaEliamin ปีที่แล้ว

    Nakataa magonjwa ya kuridhi kwa mtto wangu mtoto wangu atakuwa sawsaw na nitajifungua salam katika jina la yesu kirsto

  • @PhilomenaRoman
    @PhilomenaRoman 4 หลายเดือนก่อน

    Namshukuru Mungu nilisimamia maombi haya nikatoka salama mimi na mwanangu 🙏

  • @godlivagabriel
    @godlivagabriel 5 หลายเดือนก่อน

    Nimepokea nguvu mimi pamoja na mwanangu aliyeko tumboni naamin kila kitu kitaenda vzuri,asante Mchungaji

  • @nsaryEdna22
    @nsaryEdna22 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidieee nikajifunguee salama kama wamama wakiebraniaa

  • @hosianamazengo7685
    @hosianamazengo7685 ปีที่แล้ว

    Asante sana MTUMISHI mungu akubariki damu ya YESU imuzunguke mwanangu ktk jina la YESU kirsto ninaamini nguvu ya roho mtakatifu inatumika saa hii

  • @clarasamwel7845
    @clarasamwel7845 8 หลายเดือนก่อน

    Aimen napokea nikajifungue salama ktk jina la yesu

  • @ElvidahGerlad
    @ElvidahGerlad ปีที่แล้ว

    mungu ni mwema maombi yalinisahidia sana namshukuru sana mungu nipo na binti yangu

  • @LIEVINBUKASA
    @LIEVINBUKASA 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtsungaji mungu aku bariki piya

  • @RenathaRajabu-p7v
    @RenathaRajabu-p7v 8 หลายเดือนก่อน

    Kwajina la yesu aniokoe Mimi niendapo reba nijifungue salama

  • @GundelindaNgowi
    @GundelindaNgowi 7 หลายเดือนก่อน

    Napokea nguvu ya roho mtakatifu nikajifungue salama na mwanangu awe baraka kwa jina la yesu

  • @vanessamangowi8922
    @vanessamangowi8922 ปีที่แล้ว

    Asantee Mchungaji , Nina mimba ya miez minne naamini nitajifungua salama na mwanangu atatoka mzima akiwa Hana shida yoyote

  • @LeniaEliamin
    @LeniaEliamin ปีที่แล้ว

    Ninamimba ya wk mmoja naomba mungu wangu ukae na mm kpndi chote na unilinde wakat wa kujifungua nijifungue salam mm na mtot wangu

  • @SyliviaJohn-ou9ig
    @SyliviaJohn-ou9ig 6 หลายเดือนก่อน

    Napokea kwa jina la yesu kristo nijifungue salama

  • @victoriarehema7183
    @victoriarehema7183 2 ปีที่แล้ว +10

    On behalf of my dota who dropped from school because of pregnant, natarajia this December' or Jan. Nasimama kwa ajili yake katika Jina LA Yesu Kristo. Atajifungua kwa Amani.

    • @maurarespich9245
      @maurarespich9245 ปีที่แล้ว +2

      Kuna wengi wameacha shule kwaajili ya ujauzito. Lakini sio mwisho, akijifungua anaweza kuendelea na shule bila shida. Tunamuombea Mungu ajifungue salama na kama ni umri mdogo asipate complications za kujifungua. Tunakuombea na wewe nguvu za kumtunza atakapojifungua.

  • @HidayaMansour-y2d
    @HidayaMansour-y2d 8 หลายเดือนก่อน

    Nakaribia kijifungua naomba mungu nijifungue salaam amin nirud nyumbn na mwanangu dam mung anisimamie

  • @NeemaJafari-mv7xd
    @NeemaJafari-mv7xd 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba Mungu nijifungue salama na mwanangu awe salama

  • @mercylemnge163
    @mercylemnge163 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu naomba nijifungue salama🙏🙏🙏🙏

  • @RadhiaOmary-v5n
    @RadhiaOmary-v5n 7 หลายเดือนก่อน

    Asante mchungaji naomba uniombee nina mimba nimepitiliza siku zakujifungua mbili

  • @rehematesha9799
    @rehematesha9799 2 ปีที่แล้ว +24

    Asante sana mchungaji nilipitiza siku za kujifungua lakini nikakufatilia ndani ya wk 1 nilisikiliza maombi yako kwa Imani mwenyezi mungu akanisaidia nimejifungua sala kwa njia ya kawaida mtoto wa kike kiukweli mungu akubariki sana

    • @luciametuselah5164
      @luciametuselah5164 ปีที่แล้ว

      Ongela mama tuombei na cc tujifunguwe salama

    • @gselafrenki3827
      @gselafrenki3827 ปีที่แล้ว

      Mungu a shukuriwe na bwana wetu yesu kristu .Pasta nina ujauzito naomba uniombee .nijifungue salama

    • @hawaomary1641
      @hawaomary1641 10 หลายเดือนก่อน

      Ninaamini Kwa maombi haya nitajifungua salama Kwa jina la Yesu na Kwa damu ya Yesu kristo wa Nazareth

    • @BakariSemboko
      @BakariSemboko 10 หลายเดือนก่อน

      naomba mimba yangu isitoke Kwa jina layesu roho zote zashetani nanguvu zagiza naziaribu kwa damu yayesu

    • @mariamarwa6871
      @mariamarwa6871 7 หลายเดือนก่อน

      Amen😊😊😊

  • @lukaspatrick476
    @lukaspatrick476 ปีที่แล้ว +2

    Npo leba naomba maombi yko nijifungue salama

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  ปีที่แล้ว

      Mungu yu pamoja nawe utajifungua salama katika jina la Yesu Kristo

  • @DevothaNakupa
    @DevothaNakupa ปีที่แล้ว

    Amiiina mchungaji nimefarijika saana baada ya kusikiliza maombi haya

  • @LeylaMalaji
    @LeylaMalaji 6 หลายเดือนก่อน

    Napokea kwa jina la yesu nijifungue salama

  • @jessymabula8867
    @jessymabula8867 ปีที่แล้ว

    Eee Mungu mwenyezi nisimamie baba nimalize mwendo salama

  • @alinedembo6506
    @alinedembo6506 ปีที่แล้ว

    Asante sana mtumishi wa mungu kwa maombi mungu akubariki saana 🙏

  • @SkederMwanjala-ig3ug
    @SkederMwanjala-ig3ug ปีที่แล้ว

    napokea kwa jina la yesu

  • @MbogolinyoJp
    @MbogolinyoJp 6 หลายเดือนก่อน

    Amina mungu anisaidie nijifungue salama
    8:26

  • @suzykomba6191
    @suzykomba6191 ปีที่แล้ว

    Mungu anisaidie kwa kipind hki cha ujauzito

  • @bellemarie3081
    @bellemarie3081 ปีที่แล้ว

    Asante pasta tuombeye kbisa Ninaoga mimba zotezinatokaga sinamtoto ninamtoto tumboni myezi 3 natak nione mkono wamungu namimi nizale kawangine

  • @rehematesha9799
    @rehematesha9799 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeumwa uchungu na kupoa ni wiki sasa naamini mwpanangu atageuka,njia zitafunguka na nyonga pia nitaumwa uchungu na nitajifungua salama Amen 🙏

  • @AgnessGeorge-gm8cc
    @AgnessGeorge-gm8cc 4 หลายเดือนก่อน

    Naomb mungu anisaidie nijifungue salama mwez uu

  • @ansirandunguru
    @ansirandunguru 7 หลายเดือนก่อน

    Amina Mungu anisaidie nijifungue salama

  • @luciametuselah5164
    @luciametuselah5164 ปีที่แล้ว

    Wawooo ninamimba ya wik 30 cjawai kukutana na maombi kama aya pokea uzma mwanangu yesu nisalidie nijifunguwe salama bila tatizo lote, mungu akubalik sana mama mungu mtumishi wamungu

  • @juxghambuna
    @juxghambuna ปีที่แล้ว +1

    Ameen mungu anijalie nijifungue salama bila uchung wa adhabu mung mlinde mwanang kwa damu yk

  • @magrethwilliam1436
    @magrethwilliam1436 ปีที่แล้ว

    Amen, Mungu akubariki Pastor kwa maombi

  • @eugenezamda3230
    @eugenezamda3230 ปีที่แล้ว

    Eee mungu wangu na amin kwa jina la yesu nitazaha salama amen amen amen amen amen

  • @RechelPiusy
    @RechelPiusy 5 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji naomba maombi presha yangu iwe sawa na nijifungue salama

  • @edwardmsanjala4376
    @edwardmsanjala4376 ปีที่แล้ว

    Namuungamanisha mke wangu usiku huu akiwa Labour katika JINA LA YESU KRISTU NJIA IFUNGUKE NAKATAA URITHI WOTE WA MAGONJWA YOTE

  • @MbogolinyoJp
    @MbogolinyoJp 6 หลายเดือนก่อน

    Amina mungu anisaidie nijifungue salama

  • @marrymarko3473
    @marrymarko3473 ปีที่แล้ว

    Na iwe heri kwangu Mtumishi wa Mungu, Kutoka 23:26
    Hapatakuwa na mwenye kuharibu mimba, wala aliye tasa, katika nchi yako; na hesabu ya siku zako nitaitimiza.

  • @AnaMauricioPatricio
    @AnaMauricioPatricio 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba nipate miba yesu

  • @anithapol5341
    @anithapol5341 ปีที่แล้ว

    Namuombea mwanangu yaliyo mwema ee mwenyezi mungu msimamie, muwekee mkono wako aweze kuwa salama🙏

  • @FestoKp
    @FestoKp 7 หลายเดือนก่อน

    Amina siku ikifika nikajifungue salama mwanangu

  • @rachelrichard1091
    @rachelrichard1091 ปีที่แล้ว

    Mtumishi ubarikiwe nimejifungua salama utukufu Kwa Mungu

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  ปีที่แล้ว

      Wooow! Haleluya 👏 👏 👏 👏 👏

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  ปีที่แล้ว

      Hongera sana sana. Mungu awafunike kwa damu ya Yesu Kristo

  • @hosianayalomba1217
    @hosianayalomba1217 ปีที่แล้ว

    Nina ujauzito wa miezi mitatu kasoro lakini nimeambiwa mimba inatishia kuharibika, naomba mungu anisaidie tatizo ili lipotee na niwe mzima na mimba yangu ikue na nijifungue salama. Ameen🙏

  • @RehmaAllyjuma
    @RehmaAllyjuma หลายเดือนก่อน

    Nimepokea mtoto wangu utaishi hutokufa

  • @hawaomary1641
    @hawaomary1641 10 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Asante Yesu

  • @eugenezamda3230
    @eugenezamda3230 ปีที่แล้ว

    Eeeee mungu wangu baba nina imani mimi na mtoto aliye tumboni mwangu tutakuwa wazima

  • @FatumaNgole
    @FatumaNgole 11 หลายเดือนก่อน

    Asante mchungaji nimepokea maombi yako

  • @victoriarehema7183
    @victoriarehema7183 2 ปีที่แล้ว

    Natamka mema katika jina LA Yesu Kristo. Amen Amen. Naamini katika Jina LA Yesu Kristo. Junzi amekua Clinic akawa na shida ya upungufu wa damu. But now I trust in God ako sawa kabisa namushukuru Mungu kwa yote.

  • @latifaradjabu3949
    @latifaradjabu3949 2 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe mtumishi wamungu mm nilikua Naomba naww naninaujauzito wamiezi 8 nanusu gafla nimepata kichefu chefu nakuanza kutapika naimani kunauponyaji nimepokea kupitia maombi Yako mwenyezi akubaliki sana n'a Pia mm nimwenyeji waburundi naitaji kuendelea kusaidiwa naww kwamaombi

  • @lilianmoraa3112
    @lilianmoraa3112 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏 nasimama kwa ajili yangu na sister yangu baba tubariki bless the fruit of our womb in Jesus name🙏

  • @ReubenDonasian
    @ReubenDonasian 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ameni Mungu anitendee nijifungue salama

  • @victoriarehema7183
    @victoriarehema7183 2 ปีที่แล้ว +1

    Baraka katika maisha yangu. Namutakia mema katika Jina LA Yesu Kristo. Amin Amin Amin. Barikiwa zaidi Mtumishi wa Mungu aliye hai.

  • @JoselyneNahimana-rb4wo
    @JoselyneNahimana-rb4wo 3 หลายเดือนก่อน

    Asante san mcungaji

  • @GodfreyKaberege
    @GodfreyKaberege ปีที่แล้ว

    Nina omba bwana yesu Abariki mke Wang swaumu mbwana Aman watoto mapacha wawili wakiume

  • @AnnaCharles-mr2tx
    @AnnaCharles-mr2tx ปีที่แล้ว

    Amen kwajina la yesu kristo nitajifungua salama🙏🙏

  • @maurarespich9245
    @maurarespich9245 ปีที่แล้ว

    Namshukuru Mungu kwa kuniongoza kuipata sala hii

  • @neemakikove7135
    @neemakikove7135 ปีที่แล้ว

    Amina nakataa roho ya kuharibika mimba

  • @ScolaStephano-e5i
    @ScolaStephano-e5i ปีที่แล้ว

    Naomba Mungu nijifungue salama

  • @RenathaRajabu-p7v
    @RenathaRajabu-p7v 8 หลายเดือนก่อน

    Damu ya yesu inifunike iliniweze kujifungua salama