Unachanganya! We zingatia vipimo! Ila kwa lishe ya mtoto kama unataka uweke karanga nakushauri unga wa karanga andaa pekeyake, na uchanganye unapopika tu!
Ndugu! Mtoto akifikisha miezi sita anatakiwa kupata chakula cha ziada! Huku akiendelea kunyonya hadi miaka miwili. Lishe ni aina ya chakula ambacho kimebeba virutubishi muhimu katika mwili. Hivyo ni muhimu kwa lika zote. Sema uandaaji tunatumia formula kulingana na umri na afya ya mtu
Asante Sana nimebarikiwa je unavitabu vya mafunzo iliniweze kununua nakujifunza zaidi
Pamoja sana kaka
Somo Zuri sanaaa
By Mwl Kimaro... S/M Itongowa
Asante kwamafundisho
Nimekuelewa sana kiongozi
Hongera sana kaka
Asantee
Habari, ukitaka kutumia ufuta badala ya karanga, ni asilimia ngapi ya ufuta utatumia, ukitaka kutumia mbegu za maboga?
Kaka Soma nzuri Sana naomba namba yakutengeneza unga wa mtoto kuanzia miezi 6
Naomba kujua namna ya kuandaa unga lishe kwa kutumia mchanganyiko wa mahindi, uele, soya na ufuta
halafu kuna mjinga mmoja alisema somo la hesabu halina umuhimu 😂
Jamani naomba mnisaidie... hii nafaka ya ulezi ni ipi?
Heloo naomba contact nahitaji somo private asante
Nimekuelew mnoo barikiw sanaaa duuh
Je naweza kuchanganya vitu vyote kwa pamoja?
Unachanganya! We zingatia vipimo! Ila kwa lishe ya mtoto kama unataka uweke karanga nakushauri unga wa karanga andaa pekeyake, na uchanganye unapopika tu!
Formula namba ngapi au lishe namba ngapi ndo nzuri kwa biashara
Ninahìtaji kutengeneza unga wa lishe kwa mtoto mwenye miaka 2.na miakà 5.
Ila hawatumii soya lishe
Yaani mfano mahindi mtama ulezi karanga soya na mhogo
Naweza weka nini unga Wa lishe usiharibike haraka
Hivi lishe za faa kwa mtoto wa umri gan?
Ndugu! Mtoto akifikisha miezi sita anatakiwa kupata chakula cha ziada! Huku akiendelea kunyonya hadi miaka miwili. Lishe ni aina ya chakula ambacho kimebeba virutubishi muhimu katika mwili. Hivyo ni muhimu kwa lika zote. Sema uandaaji tunatumia formula kulingana na umri na afya ya mtu
Hapa kwenye hesabu sasa oho
Mahindi ni yale meupe au ya njano?
Ya njano ni mazuri zaidi, ila ukikosa hata meupe yanafaa tu
Asante. Inafaa kwa mtoto pia?
Yes
Mtoto wa miez kwanzia 6
Habari yako
Je soya sio nzur kwa mtoto wa kiume????
Naomba unisaidie apa
Ngano ni nzuri sana
Samahan naweza kupata nmba ako
0.75 ndo kilo ngap?
Robo tatu
Nikitaka kuongeza nafaka
Nahitaji kutengenexa unga wa uji weny virutubisho vifuatavyo
Mchele
Ngano
Soya
Almond
Pumpkin seeds
Karot
Natumia asilimia ngap kweny hivo vitu
Mzima Kaka naomba kuongea na wewe kunakitu nataka kujifunza vzr