Unga Lishe Wa Kishua. Tengeneza unga lishe kama mimi ufurahi.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • Mahindi 1kg
    Ulezi 1kg
    Granola 750g
    mbegu za maboga na Nazi ( Coconut Flakes au nazi kavu) 500g ( unaweza kutumia kimoja wapo tu
    iliki 200g
    💜Ukimaliza kusaga Unga wako, hakikisha unauanika kwenye jua. uwe mkavu vizuri kabisa. Kisha uhifadhi au kupack kwa kuuza.

ความคิดเห็น • 54

  • @malkiafoods
    @malkiafoods  ปีที่แล้ว +7

    Ukitoka kusaga Unga, hakikisha unauanika ili uwe mkavu kabisa kabla ya kuhifadhi

    • @hazelbrown9299
      @hazelbrown9299 ปีที่แล้ว

      Thank you for this Tip👌 Be Blessed Dear

    • @rosemaryngowo2327
      @rosemaryngowo2327 ปีที่แล้ว

      Zidi kubarikiwa sana

    • @SarafinaHaule
      @SarafinaHaule ปีที่แล้ว +1

      Naomba uniandikie aya maitaji nikatafute sokoni dadaang ili ninywe afy yng mgogolo

    • @mathalaizer5571
      @mathalaizer5571 8 หลายเดือนก่อน

      Tuandikie haya mahitaji hapo chini malkia tafadhali saana

    • @believeclemence1077
      @believeclemence1077 5 หลายเดือนก่อน

      Hifadhi yake ili usiharibike ipoje mamy

  • @angelgideon1622
    @angelgideon1622 8 หลายเดือนก่อน +4

    Habari yako dada malikia food. Nimependa somo lako, ila naomba nikusauri kidogo, ukiwa unatoa masomo upende kutumia lugha ya kiswahili zaidi. Maana sio wote tunaoangalia masomo yako tunafaham kingereza my dear. Ila samahani kama nitakuwa nimekukosea ama nimeshauri vibaya.

    • @alexntahiraja2974
      @alexntahiraja2974 2 หลายเดือนก่อน

      Haujakosea kabisa. Ni kweli sio wengi wanaoongea kingeleza. Ilasa somo ni zuri sana kweli.

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 หลายเดือนก่อน +1

    Hujaeleweka unaeleza haraka haraka maneno ya vitu ulivyochanganya havijasikika vizuri ludia tena hiyo video

  • @NaimaNyau-qn2fc
    @NaimaNyau-qn2fc 3 หลายเดือนก่อน +5

    Samahan mamy hapo kwenye nazi kavu yaan nazi inatakiwa iwe kama zile zakukuna tu ama kavu ndo ikoje jmn?

  • @PaulinaMshana
    @PaulinaMshana 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uko vinzur dd sema lunga ulio tumia kwaajili yakuandaa sijaielewa naomba no yako

  • @mjairinyasatu9698
    @mjairinyasatu9698 หลายเดือนก่อน

    Jitahid kutumia lugha rahisi kwa Kila mtu kuelewa pia pangilia maelezo yako hatua by hatua kulingana na unachokiandaa itapendeza sana kama unataka kwel tujifunze.

  • @ellygloryraphael3832
    @ellygloryraphael3832 ปีที่แล้ว +4

    Napataje unga lishe wako .
    Maana nomekonda nataka ninawiri jamani

  • @juliethurassa1469
    @juliethurassa1469 ปีที่แล้ว +2

    Ratio plz za hiz ingredients tuambie

  • @marianyahenge9529
    @marianyahenge9529 4 หลายเดือนก่อน

    Granola ni nini plz na mbadala wake plz

  • @PpixStudio
    @PpixStudio 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona unachanya rugha kingereza na kiswahili

  • @besuramahenge6032
    @besuramahenge6032 หลายเดือนก่อน

    Unaelekeza harakaharaka hata hueleweki kwakweli

  • @nadirarizwan2410
    @nadirarizwan2410 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona hujaorodhesha vitu vyote

  • @nancyamos4734
    @nancyamos4734 2 หลายเดือนก่อน

    Jitahidi kuelezea vizr unaongea haraka haraka ata sijasikia chcht sijui nn zabibu? Ndo nn

  • @caprissamwemezi2512
    @caprissamwemezi2512 10 หลายเดือนก่อน

    Dada hapo mwishoni umeweka maziwa hayo?

  • @AggyUrioh-ok6jv
    @AggyUrioh-ok6jv หลายเดือนก่อน

    Jmn ndo natak nikasage naomb aliyeelewa aniorodheshee hivyo vitu

  • @anithafocus5030
    @anithafocus5030 5 หลายเดือนก่อน

    Unga huu unaweza kumpikia mtoto wa miezi 7?

  • @deboradavid7833
    @deboradavid7833 ปีที่แล้ว

    ❣️❣️❣️

  • @imanimwakinga4934
    @imanimwakinga4934 ปีที่แล้ว

    Hizi oats zinapatikana wapi??

  • @MunnahKanick
    @MunnahKanick 9 หลายเดือนก่อน

    dada na pataje huo unga

  • @Malaikakisseto
    @Malaikakisseto ปีที่แล้ว

    Nimependa ila nielekeze hapo kwenye nazi uliianika au?

  • @FaustinaMdemu
    @FaustinaMdemu 8 หลายเดือนก่อน

    @Malkiafoods Nazi unaianika au unafanyaje ikauke

  • @ZamzamAhmed-u5b
    @ZamzamAhmed-u5b 10 หลายเดือนก่อน

    Na mboga za mbegu zaitwa kwa kizungu

  • @christinangossi4669
    @christinangossi4669 ปีที่แล้ว

    Mtoto miezi sita unafaa???anayeanza kula

  • @Matimuaomari
    @Matimuaomari 8 หลายเดือนก่อน

    Dada mtoto pia atumia?

  • @ZamzamAhmed-u5b
    @ZamzamAhmed-u5b 10 หลายเดือนก่อน

    Ulezi kwa kizungu inaitwaje

    • @ladyphiri
      @ladyphiri 7 หลายเดือนก่อน

      Finger millet

  • @Amina-y7q
    @Amina-y7q 8 หลายเดือนก่อน

    Habari yako, nimependa naomba namba yako

  • @bbss8623
    @bbss8623 ปีที่แล้ว +1

    Thamahan dada wengine ni wagen hivyo ulivyovitaja sivijui ninaoujua ni ulez na mshindi ya chano km inawezeka hivyo vingine nitajie kwa faida ya wengi ili nikavitafute na je vinapatikana wap yoyote anayejua anisaidie

    • @malkiafoods
      @malkiafoods  ปีที่แล้ว

      Mbona nimeweka maelezo kwenye description box my dear

    • @ruthjelagat4748
      @ruthjelagat4748 7 หลายเดือนก่อน

      Hello ​@@malkiafoods

  • @badawyhaji9288
    @badawyhaji9288 ปีที่แล้ว

    😋😋😋😋😋

  • @HusnaKisebengo-sl9qv
    @HusnaKisebengo-sl9qv ปีที่แล้ว

    Glanora zinapatikana wapi my dear

  • @babymursal3998
    @babymursal3998 ปีที่แล้ว

    Jinsi ya kutengeneza granola jamn

  • @joliapantaleo349
    @joliapantaleo349 4 หลายเดือนก่อน

    Nazi unitumiaje inakaushwa au

  • @EvodearVenance-im8sz
    @EvodearVenance-im8sz ปีที่แล้ว

    Granol ni Nini? Dad

  • @zuhraibrahim7303
    @zuhraibrahim7303 ปีที่แล้ว +1

    Nazi umeikaushaje

    • @mammasud991
      @mammasud991 ปีที่แล้ว +1

      Tunaomba kujua nazi unakaushaje?

    • @christinangossi4669
      @christinangossi4669 ปีที่แล้ว

      Kabisa tusaidie nazi unakaushaje

    • @NeemaSiara
      @NeemaSiara 10 หลายเดือนก่อน

      Nazi inakaushwa vip jamani

  • @janeflorencesajjabi1545
    @janeflorencesajjabi1545 ปีที่แล้ว

    Nimekupenda Dada hicho chakula kwa Watoto na Wagonjwa na Wazee ni kizuri sana.Naweza kupata no yako nataka kuongea nawe.

    • @malkiafoods
      @malkiafoods  ปีที่แล้ว

      Unaweza dear. Utapata pale Instagram @malkiafoods

    • @anithafocus5030
      @anithafocus5030 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@malkiafoodssamahani dada huu uji naweza mpikia mtoto anae Anza kula I mean miezi 6 japo nw Ako 7 ?