Usipo Soma Vitabu Unakosa Mambo Mengi Sana.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 36

  • @sophyaloyce8836
    @sophyaloyce8836 6 ปีที่แล้ว +3

    kuna faida kubwa sana kwa kusoma vitabu hususani vitabu vya kaka Joel Nanauka nabarikiwa sana kaka MUNGU akubariki

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 6 ปีที่แล้ว +1

    hata mimi nasoma sana vitabu na nina softcopies ya kutosha

  • @peterlema3752
    @peterlema3752 6 ปีที่แล้ว +3

    Natamani kupata kitubu cha TIMIZA MALENGO YAKO

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 4 ปีที่แล้ว

    Ahxante kwa ktukumbuxha kuona utajili ulipo jificha

  • @abuuharuna4278
    @abuuharuna4278 6 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naitwa abuu haruna napatikana tabora wilaya ya nzega kitabu cha TIMIZA MALENGO YAKO kinaweza kunifikia nzega kwa bei ileile ya 15000 au itaongezeka kiasi gani

  • @raymondmgeni7587
    @raymondmgeni7587 6 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana Timiza Malengo kwa nafasi hii ya pekee sana. naendelea kujifunza zaidi

  • @theprovitionofnature9188
    @theprovitionofnature9188 6 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa kutokusoma vitabu ni changamoto sana

  • @kileleni7424
    @kileleni7424 6 ปีที่แล้ว +1

    someone who reads live a thousand lives, someone who don't live only one.

  • @paullubida3638
    @paullubida3638 6 ปีที่แล้ว

    Hii channel nzuri sana

  • @graceoisso3238
    @graceoisso3238 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera, mwalimu mi nataka unifundishe mambo ya ushairi.

    • @raymondmgeni7587
      @raymondmgeni7587 6 ปีที่แล้ว

      Inawezekana ni kiu na utayari wako wa kujifunza kila siku. Karibu

    • @graceoisso3238
      @graceoisso3238 6 ปีที่แล้ว

      Raymond Mgeni asante, sasa nitajifunza kupitia wapi? Au unalo darasa la online?

    • @raymondmgeni7587
      @raymondmgeni7587 6 ปีที่แล้ว

      +Grace Oisso Ni kwa njia ya darasa la mtandaoni kupitia KUNANI ( WHATSAPP ).
      Tuwasiliane kwa nambari hii +255 676 559 211

  • @gindagindamwenda4422
    @gindagindamwenda4422 6 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @kanudamanyangu4340
    @kanudamanyangu4340 6 ปีที่แล้ว +3

    Naweza nkakipataje hicho ktabu mwl.?

    • @raymondmgeni7587
      @raymondmgeni7587 6 ปีที่แล้ว

      Kitabu hiki cha The School of Money kinapatikana Timiza Malengo Bookshop na pia House of Wisdom unaweza kukipata

  • @kakapascal5090
    @kakapascal5090 6 ปีที่แล้ว +1

    uchambuzi yakinifu wa kitabu, hongereni wageni wetu wa leo. mme mwakilisha vyema ndugu Joel. This is recommended book japo sijawahi kisoma nimevutiwa na uchmbuz. hivyo nashawshka kukipata.

    • @raymondmgeni7587
      @raymondmgeni7587 6 ปีที่แล้ว

      Jitahidi kukipata na kukisoma ni moja ya kitabu kizuri sana kwa msingi wa kifedha na mafanikio

  • @kileleni7424
    @kileleni7424 6 ปีที่แล้ว +1

    money is a TOOL.(PERIOD)

  • @eugenfredrick2328
    @eugenfredrick2328 6 ปีที่แล้ว

    mungu akubariki kaka

  • @amosmkondokwa912
    @amosmkondokwa912 5 ปีที่แล้ว

    Sanks for your advise bro

  • @bukelasweya1894
    @bukelasweya1894 6 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza vingi hapa. Mungu awabariki sana.

  • @ediuskatamugora4052
    @ediuskatamugora4052 6 ปีที่แล้ว

    This is Awesome my brother from another Mother

  • @abashasad4152
    @abashasad4152 6 ปีที่แล้ว

    Sisi wengine tuna ham sana yakusoma vitabu lakini tunashindwa kusoma kwasababu levo yetu tulio ishia nitofauti nakinacho andikwa humo lugha andikwa

    • @raymondmgeni7587
      @raymondmgeni7587 6 ปีที่แล้ว

      Vitabu vipo hata vya kiswahili unaweza kusoma. hicho kisiwe kikwazo. pia siku hizi kuna chambuzi za vitabu unaweza kufaidika sana kujifunza
      naomba tuwasiliane kwa nambari hii +255 676 559 211

  • @gablesladyfashionanddesign1409
    @gablesladyfashionanddesign1409 6 ปีที่แล้ว

    Napata aje vitabu vyako bro

  • @ebspjoshua7980
    @ebspjoshua7980 6 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana Mwalimu, Dr. Raymond. This talk is very productive (ina zaa matunda). SALUTE

  • @salustianmlingi1561
    @salustianmlingi1561 6 ปีที่แล้ว

    Anko nina kushukuru na ubarkiwe

  • @raginauthor1881
    @raginauthor1881 6 ปีที่แล้ว +1

    nipo hapa

    • @Maulidfundi
      @Maulidfundi 6 ปีที่แล้ว

      Nipo ruvuma,(songea) napataje kitabuuu!!!!

  • @nicelemoTripleFive
    @nicelemoTripleFive 6 ปีที่แล้ว +1

    nisaidie kupata soft copy ya hicho kitabu kaka Nanauka

    • @raymondmgeni7587
      @raymondmgeni7587 6 ปีที่แล้ว

      Hiki kitabu kinapatikana kwa nakala ngumu ( hardcopy )

    • @nicelemoTripleFive
      @nicelemoTripleFive 6 ปีที่แล้ว

      +Raymond Mgeni ntajaribu kukitafuta mjini Dodoma nikikosa ntaomba nipate maelekezo sehemu ya kukipata hata Dar es salam nikija nikipate kaka