Hii Hapa Simple Basic Vanilla Cake. The Best kati ya zoteee ulishawahi kupika au Kula

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 60

  • @alinamark2640
    @alinamark2640 11 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana unafundisha vizuri.

  • @cookingwithmimmo
    @cookingwithmimmo ปีที่แล้ว +1

    Vizuri sana, hii ina ladha ya kitamu sana

  • @YoungJoram-us5vq
    @YoungJoram-us5vq ปีที่แล้ว +4

    Maziwa kiasi gani dear ❤️

  • @zoey2635
    @zoey2635 ปีที่แล้ว +2

    Beautiful, je naweza kutumia prestige badala ya mafuta ya maji?

  • @jacklinejohngadiye2138
    @jacklinejohngadiye2138 ปีที่แล้ว +4

    My dear,kama nataka kupika ya nusu kilo hizo ingredients napimaje

  • @zailethomary4093
    @zailethomary4093 8 วันที่ผ่านมา

    Mi nimeweka keenye oven nasubiri majibu😊

  • @priscamshana1619
    @priscamshana1619 20 วันที่ผ่านมา

    Nmepika Malkiaaaa weee😅🎉🎉🎉

  • @AminaMsangi-gu9ib
    @AminaMsangi-gu9ib 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah 👌

  • @jazilambaji2789
    @jazilambaji2789 ปีที่แล้ว

    Naje umetumia measuring cups??au vya kawaida vya chai?

  • @dianarajab2387
    @dianarajab2387 ปีที่แล้ว +5

    Naomba vipimo kwa gram na kwa mls

  • @rebekazakayo-e3s
    @rebekazakayo-e3s 5 วันที่ผ่านมา +1

    Keki yangu imekuwa kama ugali please naomba unijibu nimekwama wapi??

  • @aminajaliwa6427
    @aminajaliwa6427 8 หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana

  • @Scarlett-m5x
    @Scarlett-m5x 9 หลายเดือนก่อน

    Can you share the ingredients of your home made mixed fruit essence?

  • @neemazame1658
    @neemazame1658 ปีที่แล้ว

    Hbr madam naweza kuweka maziwa ya unga halafu nikaweka na maji kidogo

  • @khadijaseif3897
    @khadijaseif3897 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi naomba vivimo kwa gram😋😋😋

  • @malkiafoods
    @malkiafoods  ปีที่แล้ว +3

    Dry Ingredients
    Unga/All Purpose Flour 2+1/2 cup
    Baking Powder 1tbsp
    Chumvi/Salt 1/4tsp
    Sugar/Sukari 2cups
    Wet Ingredients
    Mayai/Eggs 5
    Mafuta/ Cooking Oil 1 cup
    Vanilla Flavor 1tbsp
    mixed fruits flavour 1tbsp
    Maziwa 1+1/2 cup

    • @essykay30
      @essykay30 ปีที่แล้ว

      sorry baking powder ni 1 tsp au 1 tbsp?

    • @teddyjoseph6330
      @teddyjoseph6330 ปีที่แล้ว

      nataka kujua je ukubwa wa kikombe ulichotumia ni hicho hicho kwa kila kitu

  • @GetrudeMhagama
    @GetrudeMhagama 2 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji kujifunza live nakupataje?

  • @judithmongi6980
    @judithmongi6980 ปีที่แล้ว +1

    Hand mixer kwa Mbeya napata duka gani?

  • @isegealphonce7270
    @isegealphonce7270 ปีที่แล้ว

    Habari , nilijaribu kupika cake mara tatu ila haiumuki, na baking powder ninayotumia ni ile ya box yenye rangi ya blue bahari

  • @EstherJulian-h1v
    @EstherJulian-h1v ปีที่แล้ว

    Unga mzuri kwa cake ni upi adi cake iwe white ivo

  • @jazilambaji2789
    @jazilambaji2789 ปีที่แล้ว

    Ktk vipimo naona umeandika 2+1/2 inamaana vikombe viwil na nusu??

  • @TeddyMashayo
    @TeddyMashayo 5 หลายเดือนก่อน

    Maziwa kiasi gani

  • @levinamyemba5569
    @levinamyemba5569 9 หลายเดือนก่อน

    Hii Recipe inafaa kwa biashara???

  • @ZawadiSalum-o9v
    @ZawadiSalum-o9v 3 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @GudillaMarandu-pq8is
    @GudillaMarandu-pq8is ปีที่แล้ว

    Hello dear chumvi ikizidi kwenye mchuzi unaweka nini kipunguza

  • @monicanzali
    @monicanzali ปีที่แล้ว

    Ambao hatuna oven tunataman kupikia kwa mkaa mnatusaidiaje??

    • @monicanzali
      @monicanzali ปีที่แล้ว

      Na pia maziwa unachemsha kwanz au unaweka yakiwa mabichi??

  • @nataliamhina9583
    @nataliamhina9583 ปีที่แล้ว

    Asante sana. Unatumia unga brand gani dada.

  • @gloriakamwela5094
    @gloriakamwela5094 ปีที่แล้ว

    Nice❤maziwa kiasi gani dear

    • @malkiafoods
      @malkiafoods  ปีที่แล้ว +1

      Kikombe kimoja na nusu dear

  • @deboradavid7833
    @deboradavid7833 ปีที่แล้ว +1

    Waooooooooow,i will try this

  • @theresiashayo2147
    @theresiashayo2147 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye vipimo umeandika 1+1/1/2 cjaelewa,,, na je mbona mm cake zangu hazichambuki vizur ivo

  • @makhobiomondi4156
    @makhobiomondi4156 5 หลายเดือนก่อน

    Da malikia jaman hivi vipimo vya hii cake unaweza kutupatia kwa gram na mls maana hii ya 1+1/2 inachanganya wengine vipimo vyetu vipo tofauti tusaidie kwa g and mls ili walahu tupime kwa mizani na vile vikombe vyenye specific number dada🙏

  • @dianarajab2387
    @dianarajab2387 ปีที่แล้ว

    Tusaidie vipimo kwa gram na mls tafadhali

  • @SharifaYassin-vd9kb
    @SharifaYassin-vd9kb 5 หลายเดือนก่อน

    Ukisema kikombe kimoja ni sawa na mls ngapi
    Yan robo nusu au kiasi gani yan

  • @mwanaidmohamed3321
    @mwanaidmohamed3321 ปีที่แล้ว +1

  • @badawyhaji9288
    @badawyhaji9288 ปีที่แล้ว +1

    😋😋😋😋

  • @NAJATHMVULA-bh5hv
    @NAJATHMVULA-bh5hv ปีที่แล้ว

    Sorry vipimo hujatuwekea?

  • @faustawilliam1318
    @faustawilliam1318 ปีที่แล้ว +2

    Cake zangu haziumuki vizuri, naweza kuweka kwenye tin mmoja na isijae 😢 pia ku balance moto kwenye oven ni tatizo😂

    • @malkiafoods
      @malkiafoods  ปีที่แล้ว

      Pole, labda baking powder yako huweki kiwango cha kutosha. Pia moto, jitahidi kuisoma oven yako ujue inataka moto kiasi gani

  • @agabachristian6697
    @agabachristian6697 ปีที่แล้ว

    hzo cups in grams please 🙏

  • @Ibrahimandasonibwt6yb
    @Ibrahimandasonibwt6yb 20 วันที่ผ่านมา

    Naomba namba yako 🙏🙏🙏🙏

  • @gladysgeke3194
    @gladysgeke3194 ปีที่แล้ว +1

    Hii keki nilichotoaa 😂😂😂😂😂

  • @khadijahmndeme9239
    @khadijahmndeme9239 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa na nitajarbu ila nilkuwa napenda kujua hivyo vikombw ulivyotumia kupimia hizo ingredients

    • @malkiafoods
      @malkiafoods  ปีที่แล้ว

      Nunua vikombe vya kupima "measuring cups

  • @a.856
    @a.856 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @christerkilamlilo7013
    @christerkilamlilo7013 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kushare nitaijaribu kisha nitakupa feedback

  • @joycesemizigi5300
    @joycesemizigi5300 ปีที่แล้ว

    Asante