Wafanyabiashara wa magari wakae tayari kuitumia bandari ya Tanga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Ikiwa ujenzi wa mradi wa kupanua gati mpya ya Bandari ya Tanga ukiendelea, mkuu wa mkoa huo Adam Malima amesema serikali itaweza kuingiza shilingi bilioni moja kwa kila meli itakayoshusha mzigo.
    Mkuu huyo wa mkoa wa Tanga Adam Malima amesema hayo wakati apotembelea Bandari hiyo kujionea maendeleo wa ujenzi huo na kueleza kuwa meli za magari haziwezi kuja hapo ila baada ya marekebisho hilo linawezekana.

ความคิดเห็น •