MALI EPISODE 9

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 163

  • @ZashaTz
    @ZashaTz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo jamaa mjinga kamchoma mwenzake huku anataka msahada😂😂😂

  • @paulokemark7398
    @paulokemark7398 11 หลายเดือนก่อน +15

    Leo nimejaribu kufika mapema kwa series yetu pendwa "Mali" Benroyal Pictures mnafanya kazi safi sana. ❤

  • @HafsaAlikhamis
    @HafsaAlikhamis 11 หลายเดือนก่อน +2

    Duuh I love so much ukwel hii movie mtatobow nawaombea kwa mumg

  • @anthonylister754
    @anthonylister754 10 หลายเดือนก่อน

    Kamba jau sana 😂😂😂 kamchoma mwenzake

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 11 หลายเดือนก่อน +4

    Jamaa ni mnoko sanaa alidhan akimchoma mchiz ataharibikiwa 😂😂😂

    • @Mafimbajunior
      @Mafimbajunior 11 หลายเดือนก่อน +1

      Amini mshkaji kama huyo unapiga chuma tu😂

    • @MgayaBabyShop
      @MgayaBabyShop 9 หลายเดือนก่อน

      Amezingua sana mwamba

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 11 หลายเดือนก่อน +7

    😂😂😂😂nyie huyo lafikiyake kamchoma mwenzie anasitoo yamkaa

    • @safarimedia
      @safarimedia 11 หลายเดือนก่อน

      Umekuwa makini sana jamaa yangu. Nadhani in the next episode. Watavurugana 😂😂😂. Amemuumbuwa mbele ya Mboko😂😂😂

  • @maxmilianimwakaniki2671
    @maxmilianimwakaniki2671 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana yakuelimisha jamii mungu Awasaidie mko vzr sana ila Hakuna kitu kinachokela kwasasa kama kukatika kwa umeme maana kama dar hapa umezd Nishida

  • @lumistarboy8499
    @lumistarboy8499 11 หลายเดือนก่อน +7

    Duh nikajua leo ni wa Kwanza kumbe tupo wengi ndani ya hii series mnatuelimisha sanq kazi nzuri

    • @samwelmazimba
      @samwelmazimba 11 หลายเดือนก่อน

      Hawa majama sirizi zao nazipenda sana

    • @samwelmazimba
      @samwelmazimba 11 หลายเดือนก่อน

  • @alcofumbo5516
    @alcofumbo5516 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mafunzo makubwa sana kwa serikali

  • @RamadhaniSwalehntagomora
    @RamadhaniSwalehntagomora 11 หลายเดือนก่อน +7

    Benny na vijana wake wote mnajua sana

  • @CollinsKamone
    @CollinsKamone 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pongez wakuu❤❤❤watching you from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MohamedHalake-cy8bh
    @MohamedHalake-cy8bh 11 หลายเดือนก่อน +1

    Am from Kenya mambo safi kabisa

  • @Abraahfx30
    @Abraahfx30 11 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉 Nice nawakubali san✌️🇹🇿

  • @Daudiyohana-ky6qv
    @Daudiyohana-ky6qv 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mnajitaid kuwaisha sana nakubali hvo hvo ma brothe

  • @TwaibaMuhidin
    @TwaibaMuhidin 11 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaah nawaombea sana muonekane kila Kona munafanya kazi nzuri sana

  • @davidmsembwa8812
    @davidmsembwa8812 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hahahaha😅 gesi elfu tatu wakuuu tusubiriee apo sio

  • @williamlichuma7540
    @williamlichuma7540 11 หลายเดือนก่อน +1

    Movie nzuri nimeipenda❤❤

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kupitia Wakina Cheetah Nimepata ELIMU kuhusu Misitu "MALI" BIG UP TO YOU #BENROYAL_PICTURE🔥🔥🔥🔥🔥

  • @CollinsKamone
    @CollinsKamone 11 หลายเดือนก่อน +1

    Elimu nzuri Nungu ❤❤❤love U guys🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @saadmotto965
    @saadmotto965 11 หลายเดือนก่อน +2

    Vijana kama kamba wanamchango mdogo sana kwa taifa

  • @angelogirumugisha6301
    @angelogirumugisha6301 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi nzuri from burundi

  • @EricLushekanya-zy8gt
    @EricLushekanya-zy8gt 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hakika mnaweza

  • @ShadrackEtyang
    @ShadrackEtyang 11 หลายเดือนก่อน +1

    Goood job boys lakini full episode ni lini juu nimefuata hii filamu kuanzia mwanzo kabisa

  • @ankojohn003tv7
    @ankojohn003tv7 11 หลายเดือนก่อน +1

    huu mwaka nahamia bongo kipaji ninacho ila benroyal mnaipiga mwing❤❤❤❤

  • @UrassaPaschal
    @UrassaPaschal 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri moja ya makala yangu Bora kabisa Mungu awajaalie maarifa na maokoto zaidi brothers...ila Kwa hii episode unaona tatizo letu la changamoto kama hizo chanzo ni serikali yenyewe viongozi wanashindwa kwenda na wakati kulingana na mahitaji ya jamii Yao...kama hapo makamanda wameeleza vizuri vijana wakaelewa issue inakuja kwenye lile swali kuwa lini??? Sasa hivi karibuni then unakuja miaka na miaka wakat jamii inasafa Lakini viongozi wakiwajibika na kuacha ubinafs mambo yataenda barabara kabisa Mungu waamshe viongozi wetu waamshe viongozi wa 🌍

  • @MadindaMwamba
    @MadindaMwamba 11 หลายเดือนก่อน

    Wanajua xana wna p1
    Kazi nzuri 1♥️

  • @kelvindendya3781
    @kelvindendya3781 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo kwenye gesi ya afu tatu hapo kwanza ncheke😂

  • @jamesmboneko2952
    @jamesmboneko2952 11 หลายเดือนก่อน +2

    Gesi 3000
    Kweli tumepigwa na kitu Kizito 😂😂

  • @abdullytorres5116
    @abdullytorres5116 11 หลายเดือนก่อน

    Jamaa mnajua sana nyiee🎉🎉🎉

  • @FrankBalaka-r6o
    @FrankBalaka-r6o 11 หลายเดือนก่อน +2

    Da hiingoma hatakama itafika 2050 mungu akinijaria nitafika nayo

  • @AnthonyMutinda-s7m
    @AnthonyMutinda-s7m 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ii muvie ni kali mnajua sana ako wapi nala mzalendo jaman

    • @Actionplusmov
      @Actionplusmov  11 หลายเดือนก่อน

      Inayo fata yupo

  • @kajsun5918
    @kajsun5918 11 หลายเดือนก่อน +1

    Itabidi tu serekal iwape tunzo mnafanya kazi kubwa sana ya kuelimisha raiya na ujumbe unafika

  • @Danielngoiva
    @Danielngoiva 11 หลายเดือนก่อน +1

    safi xana ❤❤😊😊🎉🎉

  • @HamzaKulewa
    @HamzaKulewa 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hii episode imekuwa ya baridi sana

  • @NassoNassorsalim
    @NassoNassorsalim 11 หลายเดือนก่อน +3

    Aaaah kwenye elfu tatu gesi tumepigwa na kitu kizito

  • @tituswafula9338
    @tituswafula9338 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi safi ❤

  • @selemanpaul2710
    @selemanpaul2710 11 หลายเดือนก่อน +8

    Much love 🎉

  • @ر.ج.ب
    @ر.ج.ب 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa kalegea usimpe kazi huyo

  • @JacksonMahenge34
    @JacksonMahenge34 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pana ujumbe hapo penye "umeme tupate kwa bei rahisi🎉🎉🎉"

  • @mudiAssan
    @mudiAssan 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kiukwel mmetisha sana

  • @karembo7082
    @karembo7082 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kitu kizito😂😂uko vzuri sana

  • @StephenLukumay
    @StephenLukumay 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nawa kubali sana mali mi ni msaliwa Arusha na niko Nairobi Kenya nawavatilia sa

  • @HappyKibure-iz9xk
    @HappyKibure-iz9xk 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaelemish sanaaaa ❤️❤️❤️❤️

  • @AlimaShabani-d3h
    @AlimaShabani-d3h 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimepat ilimu😂 nipeni like zang 🎉😅

  • @EdwardJasper-wk9yn
    @EdwardJasper-wk9yn 10 หลายเดือนก่อน

    Oya hii movie nibalaaa🙌

  • @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
    @BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mko vizurii

  • @KimisharMaduh
    @KimisharMaduh 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa mafuzo mazuri

  • @WillyKitambi
    @WillyKitambi 11 หลายเดือนก่อน +2

    Namm nawapenda san

  • @Trace_beiber2729
    @Trace_beiber2729 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nice one

  • @CaritasSimon
    @CaritasSimon 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli kazi nzur naninacho amin mm kilakizur kinakasoro so nimakosa madogomadogo tu nayanarekebishika pia

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 11 หลายเดือนก่อน

    Hii movie ni mzuri sana nawaombea muchukue tuzo inshaallah.

  • @PeterMajaliwa-c2v
    @PeterMajaliwa-c2v 5 หลายเดือนก่อน

    Bon unafanya kaz nzur sana nakupa pongez sio sili mnafanya kaz nzur,,

  • @NasraAlly-yx6gt
    @NasraAlly-yx6gt 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante nmeipenda

  • @yusuphpilion2465
    @yusuphpilion2465 11 หลายเดือนก่อน +5

    wanangu hii movie lazima tuchukue tuzo

  • @issacmunene8090
    @issacmunene8090 11 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri hii

  • @peterwaya5016
    @peterwaya5016 11 หลายเดือนก่อน +1

    Movie Kali sana

  • @TlsmsababKamugisha
    @TlsmsababKamugisha 16 วันที่ผ่านมา

    Ila uyo kamba mjinga sana kamchoma mwenzake ety ana store nying za mkaa😂😂😂

  • @SimonMburu-xx8lw
    @SimonMburu-xx8lw 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri from kenya

  • @selemanpaul2710
    @selemanpaul2710 11 หลายเดือนก่อน +12

    Wakwanza leo like zangu🎉🎉🎉

  • @YonaKaminyoge-or3xi
    @YonaKaminyoge-or3xi 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 daaaaaa kamba mwanaume wa hasara

  • @PhilemonKalipera-dl5nl
    @PhilemonKalipera-dl5nl 11 หลายเดือนก่อน +4

    Svp la suite, nous sommes toujours là pour vous, mais invité aussi le retard. Jusqu'à présent je besoin de suivre l'épisode 10 mais là nous entendons encore quels jours ??? Suis de la nationalité congolaise 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪💪

  • @SamwelKadoga
    @SamwelKadoga 6 หลายเดือนก่อน

    Hongereni kwa uelimixhaji

  • @ShadrackEtyang
    @ShadrackEtyang 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ni lini Mtatoa full episode ya hii kazi Mali full movie

  • @FrankSimwaka
    @FrankSimwaka 11 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana

  • @mussaBokelo-i3p
    @mussaBokelo-i3p 10 หลายเดือนก่อน +1

    Umesha ona wap asikal anabdlsha nguo akibadl kavaa ojiiiiiiiii Kama n Kombat ni kila siku

  • @RamadhaniMakiya
    @RamadhaniMakiya 11 หลายเดือนก่อน

    Sare huwa moja tuu😂😂😂😂😂

  • @hamadshaaban-iz1sc
    @hamadshaaban-iz1sc 9 หลายเดือนก่อน

    movie nzur sana

  • @JamesSheckylegy
    @JamesSheckylegy 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ushawai ona jeshi akibadilisha uniforms

  • @abdullikadiri
    @abdullikadiri 9 หลายเดือนก่อน

    hapo umeongea ukweli sana bro

  • @alikobrown5933
    @alikobrown5933 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wapewe mauwa yao washkaj wak pow

  • @EmanuelAmuravu
    @EmanuelAmuravu 11 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda.wa.bongo.sana.

  • @mohanawaza8769
    @mohanawaza8769 11 หลายเดือนก่อน

    Mbn mwisho ni hapa to next lini

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimewah jaman mmsinitenge na mm

  • @SteveJames-j8m
    @SteveJames-j8m 11 หลายเดือนก่อน +2

    Lets support benroyar

  • @phido047
    @phido047 11 หลายเดือนก่อน +1

    Leoooooo ❤❤❤

  • @mzenjiikram3026
    @mzenjiikram3026 11 หลายเดือนก่อน +7

    Hawa askari hawabadilishi nguo au

    • @ShadrackEtyang
      @ShadrackEtyang 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe io nguo rasmi ya kisanaa

    • @Salumfaki
      @Salumfaki 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ss ww ushawaita askr ss badalishe nguo vp

    • @hisanmwakijungu10
      @hisanmwakijungu10 11 หลายเดือนก่อน

      Unaakili ndogo sana

    • @iddriskiponda3688
      @iddriskiponda3688 11 หลายเดือนก่อน

      Unataka wavae combat

    • @chogomodel2729
      @chogomodel2729 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂mtoahoja nazani hajamaanisha

  • @maswagadickison8990
    @maswagadickison8990 11 หลายเดือนก่อน +1

    Oy mbona mnazingua huyo jamaa Kuna mda anonekana Hana mgongo mala anayo mbon humuelwek

  • @Peaceman-S
    @Peaceman-S 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ndio Aina za movie ambazo zinatakiwa kuwekwe kwenye jamii kwa wingi na zipewe tuzo.

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 11 หลายเดือนก่อน +1

    Best

  • @thobiaspeter3860
    @thobiaspeter3860 11 หลายเดือนก่อน

    Mbona mnachelewesha kuachia episode

  • @Sportycorner
    @Sportycorner 10 หลายเดือนก่อน

    Hili kamba ni famba sana 😂😂😂😂

  • @barakamateru7615
    @barakamateru7615 11 หลายเดือนก่อน +3

    👍

  • @meckmahengeyes3110
    @meckmahengeyes3110 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mko vyema

  • @abdallahnasso216
    @abdallahnasso216 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi Nzuri Nawaomba Ongezeni Spend Ya Kutoa

  • @FrankKengwa
    @FrankKengwa 11 หลายเดือนก่อน +1

    Good job

  • @samsonpeleka3630
    @samsonpeleka3630 11 หลายเดือนก่อน +1

    Gesi 300
    Kujaza 100

  • @rehemakazungu6945
    @rehemakazungu6945 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani 😅😅❤❤

  • @nuhujuma2530
    @nuhujuma2530 3 หลายเดือนก่อน

    Mko makin nawakubal

  • @wigeasanyerere6451
    @wigeasanyerere6451 11 หลายเดือนก่อน

    Leo hakuna mlipo niangusha,elm mmetoa na Kaz nzr

  • @bamkalidollar777
    @bamkalidollar777 11 หลายเดือนก่อน +1

    Movie iko saw ila jitaidini kufupisha maneno mana scene ikicukua mda mref tuna boeka ni ushauri tu sisi ni shabik zenu

  • @wasomitv8487
    @wasomitv8487 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naitaji huu wimbo

  • @yaahnamwete4594
    @yaahnamwete4594 11 หลายเดือนก่อน

    Benroyo kuna kitu xjakuelewa ep ya 8 nimeona jamaa hana magongo halafu ep ya 9 magongo yamerejea tena vp au me nimeona vby

  • @SalminiMaulidi-e9f
    @SalminiMaulidi-e9f 11 หลายเดือนก่อน +1

    Muvi tam wakngeze baajeti kidg waiboleshe zaidi

  • @Joseemkatoliki-h1o
    @Joseemkatoliki-h1o 11 หลายเดือนก่อน

    Aise movie nzuri sana kama ile SISI . ila director naomba ikiisha movie kama mtutaarifa kwamba ((itaendelea......) Aise nal mzaledo yukwap ??? mfanyieni mpago akuwepo

  • @NovathDauson
    @NovathDauson 11 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba mwendelezo

  • @BenjaminMatofali-hs8di
    @BenjaminMatofali-hs8di 9 หลายเดือนก่อน

    aisee mkoo good

  • @SuperdollGuard
    @SuperdollGuard 11 หลายเดือนก่อน +2

    ❤🎉

  • @daddyarfaksadi
    @daddyarfaksadi 11 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx 11 หลายเดือนก่อน +1

    Point 👉 tupuuu 😂😂😂

  • @NshomaSayi
    @NshomaSayi 11 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉