DILI EPISODE 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 168

  • @dankirunda1796
    @dankirunda1796 9 หลายเดือนก่อน +1

    DILIII 🔥

  • @FerikoMpwage-c8y
    @FerikoMpwage-c8y 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lugano nimekuona leo

  • @JosephatSeronet
    @JosephatSeronet 11 หลายเดือนก่อน +3

    Ebwanaeeh nimemwona paster konokwa Atari sana mwamba namkubabli kwenye gold mamba

  • @ThobiasMashaul-i3q
    @ThobiasMashaul-i3q 11 หลายเดือนก่อน +9

    Nafulahi sana kuangalia picha hiii mbeya nawakubali sna

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @minnahloveiove1074
    @minnahloveiove1074 11 หลายเดือนก่อน +21

    Hamna baya hamna kazi mbovu yan nyie watu mna maua yenu hongereni kwa kazi nzr endeleeni kutuburudisha tupo kwa ajiri yenu

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน +2

      Asante sana karibu tena na tena

    • @vicentnjelwa2894
      @vicentnjelwa2894 11 หลายเดือนก่อน +1

      mbona mali hatujui imeishaje jamani

    • @jamessamson8285
      @jamessamson8285 10 หลายเดือนก่อน +1

      Njoo watsap

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h 11 หลายเดือนก่อน +5

    Nasikia raha sana kuangalia hii movie sababu ni nzuri sana😂😂

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏

  • @pierrefilm7078
    @pierrefilm7078 11 หลายเดือนก่อน +6

    Hahahahaha... nimependa Askari Miwani ameuvaa uhusika vizuri sanaaa

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @johnmasanja1413
    @johnmasanja1413 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nara mzarendoooo❤❤❤❤❤❤

  • @sadickmbuba1702
    @sadickmbuba1702 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hii kazi ni kazi kweliii

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Kazi kazi💪🏾

    • @sadickmbuba1702
      @sadickmbuba1702 11 หลายเดือนก่อน

      @@nalamzalendoo tuna wakubali sana yani hamuongei sana ila kazi zenu zinaongea zaidi ✅

  • @mikekassege8529
    @mikekassege8529 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hawa hapa tena. Mnaweza sana tunu ya Mbeya

  • @eliemoses138
    @eliemoses138 11 หลายเดือนก่อน +3

    dah! wakuu mmejua isee mpaka basi...
    wapinzani wetu Kwa sasa ni Nigeria hukoo

  • @shinjengasa3574
    @shinjengasa3574 11 หลายเดือนก่อน +9

    Kwan benroyal na action plus mna uhusiano gani,mana wahusika ni wale wale

    • @AmbrosePeter-sj3ys
      @AmbrosePeter-sj3ys 11 หลายเดือนก่อน +2

      hao ni watu wanao share kaz kwa kushirikiana kama wanavyo fanya Hollywood kampuni mbili kushirikiana kweny kaz moja ya movie had inatoka

    • @shinjengasa3574
      @shinjengasa3574 11 หลายเดือนก่อน +2

      @@AmbrosePeter-sj3ys sawa mkuu nmekusoma sas,Ila hawa watu ni shida,Wana balaa Sana,

    • @AmbrosePeter-sj3ys
      @AmbrosePeter-sj3ys 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@shinjengasa3574 hawajamaa ni balaa hakuna movie yao imetoka sijaona wanatufelisha t kuto maliza series zingne kwa wakat an wanachelewesha kinoma

  • @Aliko_na_arts
    @Aliko_na_arts 10 หลายเดือนก่อน +1

    nala mzalendo hujawah feli🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❄️

  • @Hanskapella
    @Hanskapella 11 หลายเดือนก่อน +1

    ..Nala kumbe police 😆😂😂

  • @KelvinTete-f8g
    @KelvinTete-f8g 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa konokwa apo mmetisha mambo yanazid kuiva

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila1109 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kali sana, mnajua sana, ila msituchelewesheeee jaman watu tunakaaaa tunawazia kifuatacho hadi sio poa

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 10 หลายเดือนก่อน

    Watu makini mnoo nawapa mauwa🎉🎉🎉 yenu mapemàaa.

  • @mbegebegetwahiri1220
    @mbegebegetwahiri1220 10 หลายเดือนก่อน

    Nyie jamaa mnajua Sana

  • @frankjackson4435
    @frankjackson4435 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mumtisha sana

  • @talamumboma5050
    @talamumboma5050 10 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri

  • @NasmaIlandu
    @NasmaIlandu 11 หลายเดือนก่อน +2

    Sema backvocal zinakuaga kali sana

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      🔥🔥🔥

    • @Allenhamaid
      @Allenhamaid 11 หลายเดือนก่อน

      mwanang nala tunazipataje izi back vocal ​@@nalamzalendoo

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie jamaa nawakubali sana,mnajuwaa ham bahatishi,na isitoshe episode zenu mnafanya chache. Lakin mnafanya kitu cha uhakika kinachoeleweka,huchoki kuzifwatiliwa,hongereni sana.

  • @FaustinNyalusi
    @FaustinNyalusi 10 หลายเดือนก่อน

    Nakubali Sana Nala mzalendo

  • @mzenjiikram3026
    @mzenjiikram3026 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi nzur saw ila kila cku wanatoa kaz mpya kisha zanyuma hawamalizii ndo 2naelewa nn mtu mpaka leo haijafika mwisho mna2rundikia2

    • @ombenidanieli1852
      @ombenidanieli1852 11 หลายเดือนก่อน +1

      mbona si tumemaliz kaka😅

    • @ahmadgoha-xe6co
      @ahmadgoha-xe6co 11 หลายเดือนก่อน +1

      Zote zimeisha kaka labda kwako huko, mtu imeisha Mali pia na zingine zimeishaaa zote

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน +1

      Asanteni Kwakusaidia kusambaza taarifa 💪🏾💪🏾💪🏾

    • @ZuwenaSaleh-vj9fs
      @ZuwenaSaleh-vj9fs 10 หลายเดือนก่อน

      Mali sijapata muendelezo ila mtu imeisha kwl nmeona

  • @howardbillionaire
    @howardbillionaire 11 หลายเดือนก่อน +1

    niko hapa kusema #moto bado unawaka sanaaaaa #fuegooo

  • @wasafi_charts1771
    @wasafi_charts1771 11 หลายเดือนก่อน +1

    Namkubal sanaa nala mzalendo sana yanii

  • @hassanidrisankingilea8827
    @hassanidrisankingilea8827 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nala karud tena kazi nzur,

  • @zuberymwenge6780
    @zuberymwenge6780 10 หลายเดือนก่อน +1

    Xjawai wping

  • @neemamwanjabala8147
    @neemamwanjabala8147 11 หลายเดือนก่อน +6

    ❤❤

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      🙌🏻🙌🏻

  • @Director_hinju
    @Director_hinju 11 หลายเดือนก่อน +5

  • @danielofficial255
    @danielofficial255 11 หลายเดือนก่อน +5

    Keep going guys

  • @omymsomal8922
    @omymsomal8922 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi safi

  • @HappynessDikwe
    @HappynessDikwe 9 หลายเดือนก่อน

    Penda Shana mmwaaaaa❤❤

  • @hythamshadrack2323
    @hythamshadrack2323 11 หลายเดือนก่อน +5

    First to see

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน +1

      Una zawadi yako hahaha

    • @hythamshadrack2323
      @hythamshadrack2323 11 หลายเดือนก่อน

      Hahahah sawa bhana

  • @MaludaSaleh
    @MaludaSaleh 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaboa sna movie zenu hazinaga mwisho mnakata

  • @nicokamily1749
    @nicokamily1749 9 หลายเดือนก่อน

    Nomaaa🎉

  • @MBANGA_NAME
    @MBANGA_NAME 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali Nakubali Nakubali familia

  • @nasirikuzigile9228
    @nasirikuzigile9228 5 หลายเดือนก่อน

    Move zako za viwango🎉❤

  • @baltazaljohn9958
    @baltazaljohn9958 11 หลายเดือนก่อน +3

    Waisheni mwendelezo

  • @sellemanbuddy4126
    @sellemanbuddy4126 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi kka

  • @tekashichannel
    @tekashichannel 11 หลายเดือนก่อน +10

    Like apa guys Wana mbeya na Tanzania kwa ujumla🎉🎉

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      🔥🔥🔥

  • @sammymutuamunyoki6291
    @sammymutuamunyoki6291 11 หลายเดือนก่อน +5

    Barida SAMMIDOH KE ❤❤

  • @wasafi_charts1771
    @wasafi_charts1771 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naona mmeleta usajir mpya

  • @Erickkiula
    @Erickkiula 10 หลายเดือนก่อน +1

    NALA NDANI YA POLICE NAMKUBALI SANAAAA MWAMBA UYO

  • @musicworldwide2625
    @musicworldwide2625 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hahahaha hamjawai kuniferisha nyie watu

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      💪🏾💪🏾💪🏾

  • @jamesmboneko2952
    @jamesmboneko2952 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa watu Pamoja na Benroyal Production hakika mna Viti vyenu Mbinguni 🎉🎉

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa sana

  • @greenboy_wizard
    @greenboy_wizard 11 หลายเดือนก่อน +7

    Levels

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      High kabisa

  • @Chifufilms
    @Chifufilms 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi ya Moto

  • @nasirikuzigile9228
    @nasirikuzigile9228 5 หลายเดือนก่อน

    Nala uhusika wa uhuni ndio unampendeza zaidi aisee

  • @sinjetz9704
    @sinjetz9704 11 หลายเดือนก่อน +5

    Hiii kali sana

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Utaona mwingi zaidi

    • @sinjetz9704
      @sinjetz9704 11 หลายเดือนก่อน

      @@nalamzalendoo
      Nakubali mzee NALA MZALENDO. Nakukubali sana mzee baba

  • @Trent17-s6g
    @Trent17-s6g 11 หลายเดือนก่อน +6

    Ndugu zangu mnajua lakini tunaomba mtuletee mwendelezo wa mali

    • @Actionplusmov
      @Actionplusmov  11 หลายเดือนก่อน +1

      Poa msimu wa pili upo jikon

  • @williamlenatus8198
    @williamlenatus8198 11 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama million 🔥🔥🔥🔥

  • @thinkfundi
    @thinkfundi 10 หลายเดือนก่อน

    Jaman nala mbona cmuon kwenye action

  • @edrichedward6404
    @edrichedward6404 10 หลายเดือนก่อน

    Unyama sana

  • @elastomwakipesile7731
    @elastomwakipesile7731 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mmetisha sana ndgu zangu

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Karibu sana

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 10 หลายเดือนก่อน

    Fantastic

  • @ismailkhalidi8200
    @ismailkhalidi8200 10 หลายเดือนก่อน +1

    saf sana uyo jamaa mlomuongeza ni moto nshamuona sana ila sjamuona Born jaman msinambie hayupo mwanang bang'usa na white nishaona tear roho kidogo imepoa ila born na wengine bado

  • @JoyceMwambona
    @JoyceMwambona 8 หลายเดือนก่อน

    Hamna baya haswa nara mzalendo ila kitu kimoja move kali lakini haziishi

  • @daudmwalusamba
    @daudmwalusamba 11 หลายเดือนก่อน +4

    💥💥💥💥

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      💪🏾💪🏾💪🏾

  • @rubenimajura
    @rubenimajura 10 หลายเดือนก่อน

    Ila kweny sauti Muna feli sana

  • @twinkleswebe3427
    @twinkleswebe3427 10 หลายเดือนก่อน

    Ohoo atali mnoo

  • @issayaabsony533
    @issayaabsony533 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nala mzalendo

  • @MUSSAJUMA-re5wo
    @MUSSAJUMA-re5wo 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanzo unakua mxiri sana ila kna mda mnazingua kwenye umaliziaji

  • @hashimjabiri7083
    @hashimjabiri7083 10 หลายเดือนก่อน

    Mmetisha san, ila iyo song nimeikubali sana, dili

  • @MUSSAJUMA-re5wo
    @MUSSAJUMA-re5wo 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwann mnatoa kazi nyengine hali yakua kuna movie nyengine hamjaximalixia

  • @sevystaronedancer1785
    @sevystaronedancer1785 10 หลายเดือนก่อน +1

    Leo nimewakubal kwenye hio location ya racing kama ulaya vile

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 11 หลายเดือนก่อน +1

    😊😊😊😊

  • @SharifuMzamilu-sc6fr
    @SharifuMzamilu-sc6fr 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri mno ila wangeweka na English subtitles ili iwe rahisi kuangaliwa na nchi zingine pia

  • @fortuneboat
    @fortuneboat 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yani hamjamaliza Mali mameanza na dili mnamanisha min

  • @kifimboThemaster
    @kifimboThemaster 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nice work 🎉

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Barikiwa

    • @kifimboThemaster
      @kifimboThemaster 11 หลายเดือนก่อน

      @@nalamzalendoo tuko pamoja sana kak

  • @BadiOmmy
    @BadiOmmy 8 หลายเดือนก่อน

    Mbeya city tunaweza jamani

  • @mr.sunvicky
    @mr.sunvicky 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mark me present

  • @ZuwenaSaleh-vj9fs
    @ZuwenaSaleh-vj9fs 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jungwa pia muendelezo sijaona

  • @EinsteinFromEastern-vh6lo
    @EinsteinFromEastern-vh6lo 10 หลายเดือนก่อน

    Mistari ya dili ina uzito kushinda punch za mayweather

  • @BarakaBarakakiula
    @BarakaBarakakiula 11 หลายเดือนก่อน +4

    Na nyie chanel yen weken move zieleweke nyingine haijaisha kuwen makin na kaz hatutak usumbufu

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Pole kwa usumbufu. Uta enjoy zaidi💪🏾

  • @AlnessWilly
    @AlnessWilly 11 หลายเดือนก่อน +1

    Fire

  • @MateoPaulo-s1r
    @MateoPaulo-s1r 10 หลายเดือนก่อน

    Achieni mwendezo please

  • @Abraahfx30
    @Abraahfx30 11 หลายเดือนก่อน +5

    Mbon ile movie mliokua mkii2m hajmliz na mna2m movie nyengin ha2waelew mnazngua mjue mna subscribe zet🎉

  • @MichaelDaniely
    @MichaelDaniely 11 หลายเดือนก่อน +1

    Napend kaz zenu pia ni mfuatiliaj mzuri wa movie zenu vp muendelezo wa mali sehem ya 11 na ffl

  • @MudruNgole-xm2iq
    @MudruNgole-xm2iq 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sema sauti hamna

  • @angelogirumugisha6301
    @angelogirumugisha6301 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mali jamani

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Usijali jamani

  • @EusebioNaungu
    @EusebioNaungu 11 หลายเดือนก่อน +2

    👀🇲🇿

  • @frankvicent3059
    @frankvicent3059 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nawakubali sana lkn kwahii jitahidi muongeze sauti hazisikiki vizur

  • @jubaidamiss2409
    @jubaidamiss2409 8 หลายเดือนก่อน

    🥰🥰🥰🥰🥰

  • @MudruNgole-xm2iq
    @MudruNgole-xm2iq 11 หลายเดือนก่อน

    Hata siinji sauti iko chini kabsa siangalii mpaka muongeze saut wazee

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Simu yako labla au

  • @devdyalphonce4926
    @devdyalphonce4926 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mi nikisoma comment tu najua dude lenyewe

    • @frankimgen
      @frankimgen 10 หลายเดือนก่อน

      Kazi kazi

  • @paulpaul380
    @paulpaul380 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mali mbona imeishaje au ndo kwa heli mnatufelisha

  • @jittamannicko9139
    @jittamannicko9139 10 หลายเดือนก่อน

    Dili hiko makini ongera yenu waandaaji Ety

  • @Paplick9
    @Paplick9 10 หลายเดือนก่อน

    Mzalendo nalla mtu mfupi mwenye mistari mirefu

  • @danielnangonga4256
    @danielnangonga4256 11 หลายเดือนก่อน +2

    Gud lkn mali haijaisha

  • @ilongachogo7564
    @ilongachogo7564 10 หลายเดือนก่อน

    Mnachelewesha sana izo series
    Wp ffl episode 6
    Dili episode 3😮😂

  • @onesmomasamaki1885
    @onesmomasamaki1885 10 หลายเดือนก่อน

    Jamn saut ip chin san

  • @petronsemwa5181
    @petronsemwa5181 11 หลายเดือนก่อน +2

    Waletee

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Mpaka Mlangoni TH-cam😂

  • @ZuwenaSaleh-vj9fs
    @ZuwenaSaleh-vj9fs 10 หลายเดือนก่อน +1

    Benroyal mtuungie grp la whtspp ebu tuzd kusapotiana kwa kz nzr na kupata mwendelezo kwa haraka

  • @SiyareoChiropractor
    @SiyareoChiropractor 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mali niliacha wapi

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      Msimu wa kwanza umeisha

  • @ellyjimmy22
    @ellyjimmy22 11 หลายเดือนก่อน +1

    🔥 hot 🔥

    • @nalamzalendoo
      @nalamzalendoo 11 หลายเดือนก่อน

      💪🏾💪🏾💪🏾

  • @HappynessDikwe
    @HappynessDikwe 9 หลายเดือนก่อน

    Penda sana nyinyi

  • @lameckymollel4792
    @lameckymollel4792 8 หลายเดือนก่อน

    Muendelezo wa mali episode ya 11 mboa hakuna?

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 10 หลายเดือนก่อน

    Series ya Mali imeishia wapi au serikali imewakataza?

  • @JeremiahSamwel-iq9iu
    @JeremiahSamwel-iq9iu 10 หลายเดือนก่อน

    Dili hupatikan kikatili

    • @Actionplusmov
      @Actionplusmov  10 หลายเดือนก่อน

      Dili lisizidi watu wawili