Mashalah mungu azidi kukuweka swahiba wangu jk sio kosa lako ni mungu ndio alishakupangia njia zoote ulizopita your one of the most divine souls I've ever met
Hatuwezi kutengeneza engines lakini tunaweza kutumia hizo used engines na welding tukatengeneza vifaa vya kilimo na sio kutumia jembe la mkono. Efficient Hand tools za Kilimo. Hizi ndio kazi za vyuo vikuu.
Haya maneno ya mzee yamepitiwa na wakati. Lazima vyuo vikuu vi change mindset. Innovation and not writing papers. Japanese have targets of innovation every year. So you can see these things like Navigators, animations, electronic inventions etc. we can’t be just end user consumers forever. We have to be innovators and manufacturers
@@jacobsimkoko3096 , ,ni kweli we boya. Elimu ambayo umemaliza chuo kikuu after your graduation unadanga au kuendesha boda boda will you call it ni ufunguo wa maisha?
Hizi dissertations zisiwe za maneno tu wanafunzi wafanye dissertations za fabrication za vifaa vya usafiri ili magari ya ngombe na punda yaishe. Wheel barrows hizo. Ili Tanzania iwe young China.
Wajenge PILOT PLANTS ambazo zinafanya vitu halisi sio research za kuchapisha tu ili kupandisha ma-professors. Wafanye vitu. Watengeneze radio vifaa vya kilimo. Hata kisu hawawezi kutengeneza. Iwe mfano wa medical schools ni school na huku is wanafanya vitu halisi

Mashaallah, Good interview!
Good interview 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Hatuwezi kutengeneza engines lakini tunaweza kutumia hizo used engines na welding tukatengeneza vifaa vya kilimo na sio kutumia jembe la mkono. Efficient Hand tools za Kilimo. Hizi ndio kazi za vyuo vikuu.
Ila Mheshimiwa mm nlikuwa 1st year. Nilidhani Gelase Kanena ndo alikuwa Vice wako?
Una madini sana mh.
Msimamizi wa kipindi hiki mahili sana
Haya maneno ya mzee yamepitiwa na wakati. Lazima vyuo vikuu vi change mindset. Innovation and not writing papers. Japanese have targets of innovation every year. So you can see these things like Navigators, animations, electronic inventions etc. we can’t be just end user consumers forever. We have to be innovators and manufacturers
Daaah ingeandaliwa historia yoote hii
🙏
Shule zote zilikua za Katoliki.
Anatutoa kwenye madaya kuuliwa serikali kuua watu wetu analeta mambo ya elimu.
Kwani elimu bado ni ufunguo wa maisha ya mtu maskini?
Ndiyo mnayowazaga Hayo hayo
@@jacobsimkoko3096 , ,ni kweli we boya. Elimu ambayo umemaliza chuo kikuu after your graduation unadanga au kuendesha boda boda will you call it ni ufunguo wa maisha?
Hizi dissertations zisiwe za maneno tu wanafunzi wafanye dissertations za fabrication za vifaa vya usafiri ili magari ya ngombe na punda yaishe. Wheel barrows hizo. Ili Tanzania iwe young China.
They are not innovative especially ENGINEERING DEPARTMENT. Innovation of small machines for agriculture. Alot of theories no practical
Basi hata hivi ma Professor wote. th-cam.com/users/shorts02QA5oaZPD4?si=mW9vTqWmx7YAEiSV
Wajenge PILOT PLANTS ambazo zinafanya vitu halisi sio research za kuchapisha tu ili kupandisha ma-professors. Wafanye vitu. Watengeneze radio vifaa vya kilimo. Hata kisu hawawezi kutengeneza. Iwe mfano wa medical schools ni school na huku is wanafanya vitu halisi
kwanini wewe usifanye?
@@Burner_Acc usiwe mkali hamna mnalolifanya ni kuandika paper mpate u professor kiinua mgongo kizidi. Innovation
@@Burner_Acc th-cam.com/users/shorts02QA5oaZPD4?si=mW9vTqWmx7YAEiSV