Msanii akiachana na huyu jamaa lazima afeli kwa sababu ukizoea maisha expensive kwa gharama za mtu siku ukigombana nae You have to pay your bill tayari umezoea maisha ghali na jamii inakujua hivyo kama haujajipata vizuri utasurvive kwa mda mfupi tu na mwisho utafeli coz utataka kuishi maisha yale yale na uchumi wako hauruhusu So anguko lako litakuwa kupitia life style
Anapenda sana attention huyo..musically will never be on Harmonize level
Kweli
Harmonize kama sio kutisha watu na Uchawi wa Popo....Hana Hela nyimbo zimebuma 💯🤞😭
Msanii akiachana na huyu jamaa lazima afeli kwa sababu ukizoea maisha expensive kwa gharama za mtu siku ukigombana nae
You have to pay your bill tayari umezoea maisha ghali na jamii inakujua hivyo kama haujajipata vizuri utasurvive kwa mda mfupi tu na mwisho utafeli coz utataka kuishi maisha yale yale na uchumi wako hauruhusu
So anguko lako litakuwa kupitia life style
Bugaha hako sawa kabisaa
Tumekataaa
😂😂😂😂huyu kijana aki...mcheshi kabisa
Krg anaongea kweli kabisa
Your Fan from Tz
Team konde
Konde the goat
Mwizi uyo woshwosh
Bughaa ni boss hamuwezani
Krg ameamua kufake mpaka kiswahili. Mpumbavu sana😢
Inaitwa camouflage kwani hukusoma
😂😂😂
Hajafeki bro,, TZ ni kwao pia,,
@@wanjalajesse1694 oyah namjua krg mpaka kwao hana hata tone ya damu ya nje ya kenya
Krg hamna kitu huyo
Ahahhhh nimegundua kumbe ata watangazaji hawana akili nzuri ila ni sauti tu wanachoringia
Bughaaaa
Ujaulizwa baba ww ndo unafake alafu
😂
Fake
Ni buga anapenda chocha san wa tz watakujua