Eti watambe na elimu zao ...si Kila elimu yakutambiwa ...elim naafia inaoombwa na Kila muislam na hiyo sikila mtu hujaliwa...so kuwa makini ukijigamba...walatuzakuu anfusakum....Musa a.w.w alijamini yuu na elimu Allah akampelekea mja...so waeza fikiri wajuwa kumbe ujui...ukajitambia Kwa kitu kumbe ujahili kwakutofahamu...na Allah ndie mjuzi.
Huyu sh saidi muonekano wake na ile elimu aliyonayo no tofauti kwa kweli watu wa Kenya Allah kakubarikini Karibu Tanzania Zanzibar sh saidi tunakukaribisha
Elimu gn uliyoiona ww pale? Km kuna mwenye elimu hapo atoke ajibu hoja 19 za Muhammad Bachu kw kutumia dalili za kisheria, uckubali kua mtumwa wa walichokifanya juzi hawa watu n ubabaishaji tu
@hafidhwajina6718 ewee .. na wala hamtaelewa kwakutotia nia ya kuelewa... tushaskia hadith hio iko .na ni munkar ... sasa ustaz Said ashamaliza mchezo wake ..ilikuwa bachu ndio awaambie ya kwamba munkar haitumiki coz ni uwongo .. khalas hakusema mpka mda huu na wala hatosema
@@m7.mmd_ haha mimi nimejifunza ktk barzanji kuna jambo la uongo amesingiziwa mtume na wafuasi wa barzanji wanalishabikia walikuwa hawajui,ila sasa wamejua ni uongo na wameling'ng'ania je wewe umejifunzani?
Mapenz Kwa Mwenyezi Mungu na Mtume ni nin? Tuwe makin saaana ikiwa tunawapenda Allah na Mtume wake bas tufanye ambayo Allah anayapenda, na Mtume aliyotufundisha lakn si katika kumzushia Mtume mambo ambayo haifai waislamu kufanya tuwaachie makristo na mayahud Kwa madai yao Kwa watu wao
Mimi nataka niwaulize hawa matwarika Mtume Muhammad SAW ameelekeza vipi kuhusu kusherehekea maulidi? Ni hivi mfanyavyo au kuna njia nyingine nakama ipo ni vipi na hivi mfanyavyo mmepata wapi?
Wapumbavu wakubwa, wapotofu na waovu mnaofurahia uovu wa kuzusha ndani ya Dini ya Allaah!!! Nyinyi mmelaaniwa kwa hakika. Kwaio endeleeni kukumbatia laana ya Mola Azza Wajallah
Bachu kaja kufunua yalio finikwa tunakushukuru bachu.hawa drama zao zimejukikana dunia mzima.kina bachu wameinuka kwenda kuswali.nawao wameinuka na fujo lao swala kwa watu wa maulid simuhim kwao.dunia imewashudia
Uatakapo kuwa wa Salii chukuwa mdaa wako dani ya sijda ya mwisho umwombe ALLAH akupe mambo mawili la kwanza akuzidishiye elimu na akuruzuku Kwa ufahamu wa elimu yake . Ili usiwe mzigo ndani ya waislamu na uwislamu kama sheikh lako M.bachu .
Ndugu yangu swali hilo halijibiwi mpaka qiyama, kwanza mtu mwenye akili yake lazima ajuwe kuwa, mtu pekee aliyekuwa na miujiza ya kuweza kuwasikia wanyama wakizungumza kupitia wahyi au nji nyengine alikuwa ni mwenyewe mtume muhammad s.a.w. namaanisha katika zama zake mtume s.a.w. Swali la msingi ni kwamba, wakati mtume yuko tumboni ni mtu gani aliyewahi kuwasikia wanyama wakizungumza hadi na yeye akaweza kuwasimulia wengine mpaka kuwafikia kina barzanji? bila shaka hakuna mtu huyo, na kama yuko walau wa uwongo, je atakuwa ni mtu ambaye atakuwa na miujiza ya kuweza kuwasikia wanyama wakizungumza? Kwahivo basi ni nani aliyewasikia wanyama wakizungumza na mtume mwenyew hajazaliwa? watu wa twariqa musinitukane naomba mnijibu kama nyinyi ni wakweli.
Haja kojoa bachu Muna msingizia Ile nguo nadhani imepata baridi ya (A C )nanyinyi ni washamba wa (AC) lakini Kila alomsingizia na alofurahikia hilo asubiri malipo natutashudia hapa hapa kwenye mitandao..hii nikusingiziana mambo machafu nayaso husu katika dini.jibuni masuala ya barazanjini yauwongo wacheni kuwapumbaza na kuwadanganya wasikuwa na ilmu.hingera bachu Kwa kazi yako ya kueneza ukweli.tuko pamoja kuiyeneza haqi na sunna ya bwana mtumi
@@akambi482umeulizwa swali vizuri jibu, manake nyinyi makhurafi ndivyo mulivyo, mkishindwa na hoja mwakasirika na kutukana watu. Swali langu ni, kuna sheria gani gani katika dini iliyoruhusu watu kwenda makaburini kuomba, kusoma maulidi, kupiga matwari na kucheza? kwani yale maulidi yanayosomwa makaburini pamoja na kelele nyingi za za matwari humfaidishia nini yule maiti? Naomba mtu yeyote wa twariqa anijibu kielimu sijauliza kwa kejeli bali nimeuliza ili nijuwe ukweli.
Chunga usije uka kojoa wewe twaaghuut mpingaji kumbuka huyu ni ustadhi sayd paswad za vibofu vyenu anazijuwa sasa wee endelea kuwa na mdomo mrefu ukojoe mbele ya mkwewako ndo utieakili😂😂😂😂
Asante sana Ustadh Said, kwa kumnyoosha yule Makelele wetu. Karibu Zanzibar💖💖 💖
Na bado akitaka tena tutamfata mpaka zanzbarrr.
Chei chei maalim bachu....😄
Mpenda mziki Kama ww ndio mana wampongeza..
Mashaallah
Bacha yuko wapi asikize MAPENZI YA BWANA MTUME SAW
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MOHAMMADIN WAALI SAIDINA MOHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM.
Wacheni wenye ELIMU zao watambie elimu yao shukran sana sh.said ALLAH akuhifadhi.
Eti watambe na elimu zao ...si Kila elimu yakutambiwa ...elim naafia inaoombwa na Kila muislam na hiyo sikila mtu hujaliwa...so kuwa makini ukijigamba...walatuzakuu anfusakum....Musa a.w.w alijamini yuu na elimu Allah akampelekea mja...so waeza fikiri wajuwa kumbe ujui...ukajitambia Kwa kitu kumbe ujahili kwakutofahamu...na Allah ndie mjuzi.
kitabu gani hiki
@@sss3s867 ukiwa hujui ndio utakosoa maandishi ya kiarabu yaloandikwa kiswahili,ila wasomi wanajua kimeandikwa nini
We umejifunzani?
Wanatetea bahasha na mpunga tu...ndio mana wanayatetea kwa nguvu zote...
MASHAALLAH WALLAH NAPENDA SHEKHE SAID KWA AJIR YA ALLAH AKIWA ANASOMA MOYO WANGU UNAPATA AMANI SANA
Yani ukimuona. Kama mtoto kumbe kichwa kina makubwa❤❤❤❤❤❤
Akifika wanyama walipeana habari mwambieni uongoooo
Akifika wanyama walipeana habari mwambieni uongoooo
@@hafidhwajina6718na ww Kama upo tyr muombe munaqasha ukapate lako na ww😂😂
Mpole. Sana shekh said mashall ah ❤❤❤❤❤
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚. ALLAH akuzidishiye elimu ili tufaidi kutoka kwako amin amin YARABI amin 🤲🤲🤲🤲
Mashaalah Mashaalah mungu akujalie afya njema usitadh SAID
Mashaallah Mashaallah simba
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى اله وصحبه وسلم اجمعين❤❤❤
Mashaa Allah TabarakaAllah simba wetu
Maa Shaa Allaahu
Rahaaaaaaaa tupu
Aswaliwe mtumeeeeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Allah akuhifadhi
Masha Allah ❤
Mashaallah ustadh said.
Swalluuuu ghalannabiyyyyyy💓💓💓💓💓
Mashaaaallllahh shekh wetu,Allah umrr tawilllll inshaallah
Maashaallaah allaahumma swalli wasallim wabaarik alayhi
Allah akupe himma uwanyooshe wengine vihere here hata hapa kenya wapo Ust. Ali nawengineo
Sauti mbaya dj saidi njoo usomeshe Kur,ani na sheikh Muhammad bachu hodari
Acha chuki ww Gunia
Maashaalah sheikh said
Huyu sh saidi muonekano wake na ile elimu aliyonayo no tofauti kwa kweli watu wa Kenya Allah kakubarikini Karibu Tanzania Zanzibar sh saidi tunakukaribisha
Elimu gn uliyoiona ww pale? Km kuna mwenye elimu hapo atoke ajibu hoja 19 za Muhammad Bachu kw kutumia dalili za kisheria, uckubali kua mtumwa wa walichokifanya juzi hawa watu n ubabaishaji tu
Inshaallah tutakuka na twariiii
Allah akupe elimu ya kuijua haki nauifuate ewe shekh said munkar
Akupe na wewe illmu ujijue uliko insha'Allah
@@salmaali7080 aamin ila mimi nikiona jambo lina ubidaa kidogo tu hua silifuati namuogopa katakana na kauli ya mtume saw
MashaAllah akhii
Sauti tu inalipa❤❤❤❤❤❤
Lau angesbitisha wanyama kuongea ingelipa zaidi
@hafidhwajina6718 ewee .. na wala hamtaelewa kwakutotia nia ya kuelewa... tushaskia hadith hio iko .na ni munkar ... sasa ustaz Said ashamaliza mchezo wake ..ilikuwa bachu ndio awaambie ya kwamba munkar haitumiki coz ni uwongo .. khalas hakusema mpka mda huu na wala hatosema
@@m7.mmd_ haha mimi nimejifunza ktk barzanji kuna jambo la uongo amesingiziwa mtume na wafuasi wa barzanji wanalishabikia walikuwa hawajui,ila sasa wamejua ni uongo na wameling'ng'ania je wewe umejifunzani?
@@hafidhwajina6718Muongo wa kwanza wewe, tokeni zenu yuacheni na maulid yetu
MashaAllah BarakaAllah fik ❤
Jazzakallahu khair
Masha Allah Ustaadh Said
Mashallwha shekhe said
❤❤❤ Masha’Allah
Muhibunaaa Masha Allah
❤mashaLLAH
Wenye elimu hawajikwez shkh said nakuelewa sana kaka
Mashaallah ❤
Mashaallah
Endeleeni kuwapoteza hao wasiojielewa ukweli tushaujua.... matwarika hamumuwezi bachu hata mkiungana...
Umeshindwa😂😂😢
Masha'Allah
Maashallaah simba wa twarika sauti nzuri
Masha Allah tabaraka rahman
Mashall ah
Dj Said
MaashaaAllah
Kiboko cha Bachu....😂
MashaAllah ni nzuri ila hakujibu lile swali la Ust Bachu
We uko dunia ya pili😂
doh mtaenda chomwa inalilahi wainnalilahi rajiun mwazusha mambo hata maswahaba wamtume wakina abubakar hawajawahi yafanya
Simba wa nyika mwambaaaaa
Ahal Al Bidaa
Mpuzi Sana huyu Hana kitu..hvi ndio mushahalalisha maulidi Na hadithi maudhui Na munkar.pole yenu watu wameona ukweli uko wapi....
Sheikh said Somo upo vizuri lakini ningefurahi kama ungejibu Swali na mimi ningefaidika kwa ilmu kwa Swali al akh sheikh muhamad bachu
vichwa maji vimekutana kwenye uzushi
Sheikh said kama wewe ni kidume kweli bas jibu ile hoja ya bachu maana bachu anatupa maneno ya hovyo
Bouncer wa Mtume SAW huyo!
Acheni uzushi huko si kumpenda mtume kupiga ngoma na kucheza
Walicheza wahabeshi mbele ya mtume si wa kwanza wao kucheza una jengine
Mapenz Kwa Mwenyezi Mungu na Mtume ni nin? Tuwe makin saaana ikiwa tunawapenda Allah na Mtume wake bas tufanye ambayo Allah anayapenda, na Mtume aliyotufundisha lakn si katika kumzushia Mtume mambo ambayo haifai waislamu kufanya tuwaachie makristo na mayahud Kwa madai yao Kwa watu wao
Mawahabi wastaarabu bwana.hawanaga vishindo.umuhim wao watu waiyone haqi.
Exactly!!
MashaALLAH twashkuru mumeona haqi na mumekuja kuangalia Mowled.
Baaraka ALLAH feekoum.
Huyu hata mumkweze vip hamjajibu hoja 19 ndizo tunazitak msigeuze mada 😂😂😂😂😂imba tu ila hoja hujazijibu
Je, aukuona sheikh lako alivyo papatika Kwa kukosa Jibu la nukta Moja ama asili yenyu niya ujahill wa luga ya kiarabu na tafsiri za wana zuoni?
Mie nataka namba zake jamani nimtuze. Katupunguzia. Mikelele. Kwenye mtandoa 😂😂😂😂😂😂kalibu tanzania
Wewe una lako
Hujui lolote sis wafuata upepo pole sana.
Mwambie bachu ajibu
Swali 😂😂😂😂
Uko na sauti nzuri ya usanii kweli lakini hadi kuitwa sheikh walikosea sana.Msanii hoyeee
Mimi nataka niwaulize hawa matwarika Mtume Muhammad SAW ameelekeza vipi kuhusu kusherehekea maulidi? Ni hivi mfanyavyo au kuna njia nyingine nakama ipo ni vipi na hivi mfanyavyo mmepata wapi?
Wapumbavu wakubwa, wapotofu na waovu mnaofurahia uovu wa kuzusha ndani ya Dini ya Allaah!!!
Nyinyi mmelaaniwa kwa hakika.
Kwaio endeleeni kukumbatia laana ya Mola Azza Wajallah
Mpumbavu niwewe muovu niwewe
Bachu kaja kufunua yalio finikwa tunakushukuru bachu.hawa drama zao zimejukikana dunia mzima.kina bachu wameinuka kwenda kuswali.nawao wameinuka na fujo lao swala kwa watu wa maulid simuhim kwao.dunia imewashudia
😂😂😂
Asante kuskiza Mowled. BaarakaALLAH feekoum 😊
Uatakapo kuwa wa Salii chukuwa mdaa wako dani ya sijda ya mwisho umwombe ALLAH akupe mambo mawili la kwanza akuzidishiye elimu na akuruzuku Kwa ufahamu wa elimu yake . Ili usiwe mzigo ndani ya waislamu na uwislamu kama sheikh lako M.bachu .
MWAMBIENI AJIBU KUHUSU KAMA WANYAMA WALIONGE AU LA
Na wew mwambie bachu aseme hajui kuhusu lile swal
Mwambie bachu akujibie
Ndugu yangu swali hilo halijibiwi mpaka qiyama, kwanza mtu mwenye akili yake lazima ajuwe kuwa, mtu pekee aliyekuwa na miujiza ya kuweza kuwasikia wanyama wakizungumza kupitia wahyi au nji nyengine alikuwa ni mwenyewe mtume muhammad s.a.w. namaanisha katika zama zake mtume s.a.w. Swali la msingi ni kwamba, wakati mtume yuko tumboni ni mtu gani aliyewahi kuwasikia wanyama wakizungumza hadi na yeye akaweza kuwasimulia wengine mpaka kuwafikia kina barzanji? bila shaka hakuna mtu huyo, na kama yuko walau wa uwongo, je atakuwa ni mtu ambaye atakuwa na miujiza ya kuweza kuwasikia wanyama wakizungumza? Kwahivo basi ni nani aliyewasikia wanyama wakizungumza na mtume mwenyew hajazaliwa? watu wa twariqa musinitukane naomba mnijibu kama nyinyi ni wakweli.
Kwnz hujuwi hta kusoma ikisha sijaona cha kusema nikupe sifa
Kama wao nyani. Wewe kima😂😂😂😂😂😂
Simba. Wa kukojolesha😂😂😂😂
Haja kojoa bachu Muna msingizia Ile nguo nadhani imepata baridi ya (A C )nanyinyi ni washamba wa (AC) lakini Kila alomsingizia na alofurahikia hilo asubiri malipo natutashudia hapa hapa kwenye mitandao..hii nikusingiziana mambo machafu nayaso husu katika dini.jibuni masuala ya barazanjini yauwongo wacheni kuwapumbaza na kuwadanganya wasikuwa na ilmu.hingera bachu Kwa kazi yako ya kueneza ukweli.tuko pamoja kuiyeneza haqi na sunna ya bwana mtumi
Alikojoa mtu asee, kumbe ndo mana alikuwa hatulii kwa kiti😂
hii kutingika ni nini?ama thawabu zinakua maradufu?
Wewe myahudu tulia
nimeuliza swali naomba kujibiwa sio unikufurishe na kama mm si yahudi basi uyahudi utakurudia ww
@@akambi482umeulizwa swali vizuri jibu, manake nyinyi makhurafi ndivyo mulivyo, mkishindwa na hoja mwakasirika na kutukana watu. Swali langu ni, kuna sheria gani gani katika dini iliyoruhusu watu kwenda makaburini kuomba, kusoma maulidi, kupiga matwari na kucheza? kwani yale maulidi yanayosomwa makaburini pamoja na kelele nyingi za za matwari humfaidishia nini yule maiti? Naomba mtu yeyote wa twariqa anijibu kielimu sijauliza kwa kejeli bali nimeuliza ili nijuwe ukweli.
Tulia wewe
tulia ww ndio jibu?
3:38 Team biryan😅😅😅😅
Mashaallah al akh سعيد بن عمر
Nyie acheni uzushii kwenye ulislamu hayo hayapo kuweni wakweliii
Ikiwa kumsifu mtume MOHAMMAD (S.A.W) izushi basi ni jambo lamuimu sana sana sana
labda kula mirungi na ubaradhuli
Huo mlango wa mbele au wa nyuma
Utajaza ww
Me nilitarajia kujifunza haya maulid uhalali wake na nguzo zake
Njoo upige magoti wallahi utafundishwa bure bila pesa au gharama yoyote.. Elimu hutafutwa, haiji peke yake
Sumba kama simab
Ndio simba wew ni benchi la ufundi ,yule first 11 mwache akauze supu darajani zanzibar 😂😁
Hayo maneno ya kunsingizia mtume twataka dalili yake ...
Bida'a
Naona wanaifanyia kazi hadithi munkari kwenye jambo ambalo ni munkari
Hahahaha,,,
Utajiju😂
Kama alivofanyia kazi Hadhithi Dhwaif Ibn Taymia😊
Mshachanganyikiwa nyinyi
Mulitanguliya😂
Kama mtu ajiamini ajitokeze kielimu Ndio mujue kama hamujui kitu
Sijawai kuona kijana mpumbavu kama huyu said
Wivu huo😂😂😂
kitabu gani hiki
MJINGA HUYU
Bachu kamleta said mjini
Miwahabi yazidi kuauma
Mtume wetu yupo mbali na uzushi wenu uo
Ule wa kumgawa Allah mara 3 sio 😂😂😂😂😂
Uzushi up uo
Huyu ndio mtu pekee anaeshikilia paswad ya mkojo wa alhabyb bachu 😂😂😂😂😂😂😂sasa tuna rudi kwa kipenzi chatu
Wahabi hawezi kugusa hapooo
Ujinga mtupu Mtume angekua na vikao vya kijinga kama hiv uislam ungeishia huko usingetufikia
bidaa khurafaat tupu
Ushirikina mtupu apo
Hata wew pia kma wtka mjadala ingia kiwanjani
Muache aingie na yeye atokwe mikojo
wakidhani wako katika haki kume wapo maabaina lmashrik walamghrib na haki alla akuongoweni isije ikafikia siku mukaambiwa سحقاسحقا لمن بدل بعدي
Kwaakiliako kumfurahia mtume niharam wewe zuka kweli humo
Myahudu unaumia sana
@@akambi482 mm siumi ila nawsikitikia sana 2 acheni kuzusha katika di ya allah
mtakwenda kuteketea
Weweee acha wivu na wasomi wachamungu wanaompenda mtume nyie mawahabi chimbuko la najidi hamumpendi mtume kwavile hakuiombea dua najidi
Chunga usije uka kojoa wewe twaaghuut mpingaji kumbuka huyu ni ustadhi sayd paswad za vibofu vyenu anazijuwa sasa wee endelea kuwa na mdomo mrefu ukojoe mbele ya mkwewako ndo utieakili😂😂😂😂
Mfono wa hichi kikao ni kama kikao cha nyani. Upuuuzi mtupu wa makhurafi.
Hhhhhhhhhh roho yakuuma pole SANA
Swala za Mtume wasema kikao cha nyani subhaanallah atakama ni chuki sio kwa namna hiyo ndugu yngu
Haqiri ww
Ndipo ilmu yako ilipokufikisha hapo,kikao cha kumswalia mtume ni kama kikao cha nyani😢kweli mwalimu wako ni bacho
Myahudu unaumia
MashaAllah