Ebu lakin kwa uadilifu tu tafakari lau mtume na maswahaba wangalikuwa hivi...dini ingalifika hapa. Labda utasema hatukuwa na vinanda na giita hizo zama lakin pia kulikuwa na madufu ngoma za kucheza
Pamoja na Allah na mtume wake kukataza haya mambo ya muziki lakini watu wameweka pamba masikio arafu ndo shekhe huyoo😂😂😂😂 anapanda mimbari kukataza uovu subuhana llah, Allah nifiishe katika sunnah na mwendo sahihi wa mtume niepushe na twarika potovu kama za hawa masufi walopotea na kushika njia ya sheitwani aamin
Ebu lakin kwa uadilifu tu tafakari lau mtume na maswahaba wangalikuwa hivi...dini ingalifika hapa. Labda utasema hatukuwa na vinanda na giita hizo zama lakin pia kulikuwa na madufu ngoma za kucheza
Masha allah
Mtihani mkubwa sana Allah amuongoze huyu kijana
❤❤❤❤❤❤❤ ustadh wangu
أللهم ابعث محمدا مقامًا محمود الذي وعدتة ALLAH nakuomba nkutanishe na Mtume kabla ya Kufa kwngu
Sasa mtakutania wp na mtume kasha tangulia???!
Hehehehe, sina usemi
@@OTHUMANMANOZA Hata kwenye ndoto
@@abk1127 😂
Maashaallah 🎉🎉🎉
Watu wa aina hii et ndo waonekana mashekhe msiba huuu😢
Haujuwe kitu wy mpenge kwa dalili si maneno tu
جزاك الله خيرا
Mashaallah
Heeeeeeee nashangaaa kweli ndoww au ndoto
Naona mashaallah nyingi Sasa cjui kinachofanya msema mashaallah ni kipi kwa huu upuzi wa DJ SAID akicheza vinanda Allah subhannahu wa taala atuongoze
😅
Pole sana
@issabaruani4433 cjaumia wanipa pole ya nn
Wewe hujui hata maana ya DJ
@Faraji-n6l kwani DJ hadi ujue maana wakati macho yanafanya kazi yake kuona akipiga keyboard 🎹
Mashallah
مصيبة العمر
Wanatetea vinanda , hakika litakapowekwa jambo mahala si pake kingojewe Qiyama
DJ NA MUZIKI WAKE
Ukiingia kichwa kichwa anakuoa dalili
Huyo ni Shekh mwenye dhamana Mombassa wanampenda kweli
Ebu lakin kwa uadilifu tu tafakari lau mtume na maswahaba wangalikuwa hivi...dini ingalifika hapa. Labda utasema hatukuwa na vinanda na giita hizo zama lakin pia kulikuwa na madufu ngoma za kucheza
Pamoja na Allah na mtume wake kukataza haya mambo ya muziki lakini watu wameweka pamba masikio arafu ndo shekhe huyoo😂😂😂😂 anapanda mimbari kukataza uovu subuhana llah, Allah nifiishe katika sunnah na mwendo sahihi wa mtume niepushe na twarika potovu kama za hawa masufi walopotea na kushika njia ya sheitwani aamin
Ahsant
kwenye usufi hii nayo ni Dini msishangae😂😂
Ni sahihi kabisa kaka
Kwakweli duh
Hhhhhh.....yaan kwenye utariiqa unasema hii pia ni dini
😂Ndiyo muliyobakia nayo Haya ya kupiga Music Kisha mwajiita mashekhe weyye ni Sheha sio sheikh pumbaaavvvv
Shida kbsa
Ety huyu naye sheikhe mtihani huu makhuraf siju wataelimika lini
Nataka unijbu wapi dini inaruhusu minand
mm naomba kuuliza tuu huumzika kwenye dini umeruhusiwa, cause sijuwi nataka kujuwa
Huumzka ndoo nn
Hata wakati mtume hayupo hapakua na Hadith Wala wakati wamakhalifa wanne hapakua na Hadith Leo zipo siobidaa hio someni kusoma nilazima
shangazi said 😂v
Khaaa 😂😂
Ndo shehe huyu tegemezi kwa masufi watu wa twariiqa. Akiswma twende kulia wanaenda kulia kushoto kushoto...