LEMA AWAPA KONGOLE WAKENYA KWA KUIPIGANIA NCHI YAO, AMVAA CHALAMILA KWA KUWADHARAU WAFANYABIASHARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @ponsianodamas5981
    @ponsianodamas5981 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo la WTZ wengi hawafuatilii Bunge lao, wala hawaijui Katiba vizuri. Wezesheni vijana.

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 4 หลายเดือนก่อน

    Wew lifisi yemu acha kutushenteka funia ya leo siyo ya jana na nyie. Subirin tena acha tumsikilize lema akil kubwa

  • @ponsianodamas5981
    @ponsianodamas5981 4 หลายเดือนก่อน

    CHADEMA elimisheni vijana ili wawe wazalendo.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 4 หลายเดือนก่อน

    Lema Wewe nimjinga unapongeza ujinga jiulize wangapi wamekufa nawewe unataka Tanzania wafe. Familia yako umeiacha nje .Wewe ni mhuni tu

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 4 หลายเดือนก่อน

      Ww Kuma funika tundu lko

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 4 หลายเดือนก่อน

      Comment zako zinashangaza sana ulimwengu hasa kutoka kwa kijana kama wewe. Point zako nyingi ni hasi kwa maendeleo. Ni kama mtu muoga asiyejijua na hajielwi. Babu zaku walijipigania na wengi walitoa uhsi wao kwa wewe kufaidi matunda ingawa elimu zao za darasani zilikuwa ndogo. Walikuwa wazalendo na mashujaa wakajitoa kujikomboa. Wewe unajibweteka . Fikra zako zote ximejibweteka, uvivu wa kufikiri inabidi zipigwe pump zijielewe. Ni kama mfu wa kufikiri. Zero. Hata uwe na degree kama huna mwamko ni sifuri. Wengi wape, mnaowadharau wajinga ndo wataikomboa Tanzania.Nanyi na usomi wote mtawekwa pembeni na ni mizigo katika Taifa hili.
      Inakuja hii. Imeanza Kenya hamkutarajia, watanzania wanaangalia msiwadharau. Si wale mnaowafikiria ni wale msiowatarajia wataleta haya magruzi. Mpende msipende. Watanganyika wanaona nchi yao inauzwa, madini yao, bandari zao, mbuga zao na vijumba vyao vinabomolewa. Wanapigwa, wengine wametrkwa, wameuawa, pesa zso viongizi wananunua magari ya kifahari, wanajenga majengo yasiyolingana na vipato vyao na kuingia ubia na waarabu na mataifa ya magharibi wao na watoto wao. Hao mnaowadharslidha sababu wameshapoteza, hawana tena la kulipoteza. Ni hao wataungana na kuleta vurugu Tsnzania. Huwezi kuwamnyima haki binadamu kila siku. Huwezi.