Tx Dilla mnyama mungu akubres wasio kiona hawawezi kuona nahata wakiona hawatokuona jibresi mwenyewe kwanza hakika nimeanza kukufatilia tangia unaanza ileya earport kumbe uko kwenye fuso mpaka Sasa niatali TU waache wenye kusema kwa maneno shujaa wakweli husema kwa vitendo 🔥🔥☝️☝️☝️💯
Madilisha mzee wa saves, madili ya dulla yakigeuka madilisha.. kilichobaki ni kocha wa TAIFA stars ampeleke Dulla awe striker mpeleka mashambulizi afu madirisha awe nyanda mzee wa kuzisave the AFCOrN cup will come home....(fun.joke😅).... HONGERENI tuna_enjoy, kazi yenu nzuri.🎉
Ndio raha ya kuwaaga masele haya mambo yenu ya kujifanya unaficha mambo eti sitaki ajue mtu kama na mm nafanya mapenzi mtakuja kufa waageni wakina madirisha ndio muende kuzagamua kapewa nafasi ya kuaga ndugu kamkumbuka mwamba madilisha noma sana
Hongela sana madilisha na pia naombeni muweze kunibustia akaunt yangu ndo naanza kujitafuta
Kila siku nawaambia Madirisha mmoja ni sawa na Kijiji kizima leteni likes zake hapa🤣
😅
Kabisa yaan
Pouw
Pouw
Kosa kubwa sana kumuachia jamaa ampigie mwamba simu😂😂
Kila sku madirisha anakuokoa sas tunataka kuona na wew ukimuokoa madirisha
Mmetisha kinoma siwezi acha kuwashabikia jamaa zangu pa1 na stive mweusi namkubali sana
Bro hiii nomaaaa tena
Hongeraaa
Aliyemshaur huy jamaa kusuka marast yamechanua hvyo Mungu anamuon😅
Leo kakutana na mwezake ambae ajawahi jidanganya 🔥🔥🔥💪 *333#
apo dulla umezingua wale wameenda jela ilitakiwa urudi ukakamie madirisha sasa umtie kwaasira😂😂
wa kwanza from moçambique 🇲🇿🇲🇿
Ambaye hajawai kudanganywa leo kadanganywa 😂😂I 😂😂😂 ila msinirekodi 🙌🙌🙌
Txdulla na madilisha mnafanya kazi nzuri sanaaaaaa
Hakika madirisha ni mwanaume😂😂😂, nahitaji rafiki wa hivo kwenye maisha yangu😅 nimekupenda bure madirisha ❤❤ from Congo 🇨🇩🇨🇩
Oya unajuwa mpaka Una kela 🔥🔥🔥
Madirisha 🎉🎉chukua mauwa yako
Umetisha kinoma tx dulla mnyaaaama... sema madilisha .. ni mwisho wa maelezo...
😂😂😂😂nacheka kabla maana huyu tx dulla ni nomaaaaaa😂😂😂
Wueh,,,acha leo npee madirisha maua ake aisee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Leo ndo nashuhudia maandiko😂😂😊😊
Dah mwanangu madirisha umetisha unastahili Maua yako ndugu yangu🎉🎉🎉umetisha sana kaka.
🫡🫡
Tx unawezaaa kaka. Unatumia ubunifu mkubwa sanaa
Tax dullah na Madirisha wanajua na wanajua tena🤣🤣🤣
Madirisha m1 ni sawa na shafiii 1000
Kaka maadilisha naomba niwe lafk ako😂😂😂😂
Asee hii series nikalii
Tx Dilla mnyama mungu akubres wasio kiona hawawezi kuona nahata wakiona hawatokuona jibresi mwenyewe kwanza hakika nimeanza kukufatilia tangia unaanza ileya earport kumbe uko kwenye fuso mpaka Sasa niatali TU waache wenye kusema kwa maneno shujaa wakweli husema kwa vitendo 🔥🔥☝️☝️☝️💯
Madilisha ni mtu m bad😂😂😂 sana
Aaah...weee,hpo umepigwa Mzee....
Madilisha mzee wa saves, madili ya dulla yakigeuka madilisha.. kilichobaki ni kocha wa TAIFA stars ampeleke Dulla awe striker mpeleka mashambulizi afu madirisha awe nyanda mzee wa kuzisave the AFCOrN cup will come home....(fun.joke😅).... HONGERENI tuna_enjoy, kazi yenu nzuri.🎉
Mbona nywele zinachezaa 😂😂😂😂
😂😂😂
😂hiii moja MADIRISHA KAUWA WALAH
Huyu police mwenyewe sauti sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Baba dula leooo umeyakanyaga
Madirisha ame toka starling
Big up brothers ✊
Madilisha noma Sana kaka uko vzr sana jamaa alishafaliki iyo yaan kifup aliyatimba
sema dem ni mtu uyoo ...na uyo mwanya sio kinyongee
Hii imeendaaaa tx ,madirixha mmeuaaa
Hapo kwenye pigia ndugu zako sasa😅😅😅
Nywele zinacheza😂
Madirisha Moja sawa na watu 💯 🔥
Madirisha bwana, Mwamba sana
Likes zangu zote Kwa madirisha ,duuuh madirisha noma saan
mungu akutie nguvu tu utusamehe😅😅😅
Nikivaa hivi na kimbia kweli buttiiiii la mgambo na 45
Man ov the game madirishaaa,, anyway dulla this tyme katuletea ktu kizur
Madirisha umetisha sana😂😂😂😂
Madirisha momoja ni sawa na watu 100 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂sijawai kudanganya from 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 myama
Mkome kuja mageto ya wanawake😂😂😂😂😂
Ndio raha ya kuwaaga masele haya mambo yenu ya kujifanya unaficha mambo eti sitaki ajue mtu kama na mm nafanya mapenzi mtakuja kufa waageni wakina madirisha ndio muende kuzagamua kapewa nafasi ya kuaga ndugu kamkumbuka mwamba madilisha noma sana
Oyaaaaa madirisha #AU BASI
TEAM MADIRISHAAAAA LIKE 😅😅❤
MADIRISHAAAAAAAAAAAAAAAA NI KAMA 911 😂😂😂 ANAFIKA NA KUKUOKOA CHAP 😂😂😂😂
😂😂 dullah kashukur mungu kupata chance yakupga cmu
noma kwel😂
Madirishaa 😂😂😂 man of the match🎉🎉🎉
Madirishaa na mm kwa wanangu ni hivi
Hatupitwi nahiyi season 😂❤️♥️🇨🇩 ila tukumbuke basi John 3 :16 wandugu
toa ujinga wako
Yaani hii ndo mmeua zaidiii
Madirishaaaaaaaaaaa ....ukiskia mwana na nusu ndo huyu
Sio mia madirisha mmoja ni sawa na mkoa wa dar😅😅😅
Sana2 madirisha natamani nipate rafiki kama madirisha 😂😂😂
Ila dulla na madilisha mungu anawaona
Leo nipe. Like zangu jamna 😢
😄 hah
Madirisha ni mmoja tu
Bro Madirisha 😂 hii episode hainipiti aisee
😂😂🙌🙌
Kosa kubwa ni kuruhusu awasiliane na madirishaa😂😂😂
Noma xanaa😂😂
Madirisha mmoja ni sawa na mashabiki wote wa yanga
Ukisikiaaa mwanaaa ndo huyo apooo sas
like kwa mwanangu Madirisha😀😀😀
Madirisha ni noma😅😅
Naomba msinirekodi😂😂😅
Mbwa wewe umshukuru madirisha anakuokoa sana akifa madirisha omba kabsaa uzikwe naye😅😅
Madirisha for life❤❤❤
Madilisha wew 😂😂😂😂😂 umepigaje hapoooo😅😅😅
Sema dula saiv marafiki wahivo hakuna niwa senge tuu😂 walo Baki
nakupiga bonge la basitora
Huyu madirisha kuna siku atachoka😅
Kabisa yaaani kila siku ana msave tu
Madirisha babaaaa umepigaje apo😂😂😂😂😂
mke wa mtu sumu, dawa madirisha kumbe😅
Semaa me namkubali mwanang madirisha tu yaan uko on time😂😂
Hahaha sio poa madilisha anatisha kinomaaaaa
Nomaa wanangu
Wewe mwehu unajua 😂😂🙌
Madirishaaa ni mzuri sana akianzia bench! 😂
🎉🎉tumpe mauwa yake madirisha tx ungeuponz😂😂
Madirisha mwana sana
Madirisha Hua hakoseagiii kabisaaaaaaa kucheza 😂😂😂
Aaaah, Madirishaaaa. mtu muhimu kama goli la kusawazisha
leo umeyakanyagaa sas😅😅
Jamani huyu madilisha anaupiga mwingi😅
Madirisha hajawah kushindwa
Madirisha apewe nyota 😂
another time for brother madirisha 🎉🎉duh
🙌🙌🙌
@@madirishacomedian kaka yaan dah ww na TX dullah mkiendelea kuw pamoja nawaona mbal
Madirisha mtu🔥😁
Kacholopoka tena😂😂😂😂😂
Madirishia uko vzr kaka
Mbona nywele Zina cheza😂😂😂😂😂
Jamaa wanajua sana. Madirisha oyaa 😂😂😂😂