Platnumz alishamnyoosha mgambo sasa hivi anaweweseka na mabange tu na kukohoa .........na video zake za milioni mbili halafu eti uingie soko la dunia.Atabaki hivyo ooh jeshi ooooh konde oooh TEMBO. ..ooooh Bakhresa......WCB walishatoka level za Bongo......mmakonde chukua hiyo unaishia kenya na bongo tu,halafu kwa WCB ,NLM wewe Huna HADHI YA kuitwa Mpinzani wewe ni shabiki wao.
Muuuuh Rayvany wewe ni star piga kazi achana na vijembe .. najua hunaga kicki .. boss wako mwenyewe hafanyi kaz bila kiki.. zuchu Mpaka leo nyimbi hatoi yan guys you should trust what you have cyo kiki .. mziki mzuri utaenda tu ... piga kaz Rayvany
@@salamakatana7650 Rayvany his a Star na hanaga kick hizo za Harmonize Naona now asira tu but he’s very talented., kwasasa zuchu nae bila kick hatoboi 😩😩😩😩😌😌 wakati ni mtu tulomtegemea ila kiki nying nyimbo miez miwili sasa inazogezwa.. yan kutojihamini
Vanny noma umeishiwa baba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 itabidi umezoea TEAM KONDE FOREVER apa fanya kazi Wacha ujinga harmonize humuwezi ata alafu hashindani na mtu team KONDE from Kenya apa nimepita
Tanzania aisee is the place to stay! rayvanny imba nyimbo acha taarabu bro music saf utaujua2 syo kumchamba mtu wan dei utavaa dela kumchamba msanii mwenzako pls be busy with hit track acha hiz trash zitkazo kaa mda mfupi then hazisikiki.
@@ts9dna862 How should i prove that music without making any record nor reaching even top three on trending for YT music on his own country!!?? What's the goodness of that music? W'all know the only way of him to trend is dissing his teacher for no reason! Remember to vote for Rayvanny against his fellow world best artists in one category.
Rayvanny focus na mziki mzuri acha majungu...unatupa dongo konde boy jua Ibrah sai yumo studio utajua hujui. Ngoma imebuma Kwa mashairi na mziki mzuri huwezi mfikia konde ata ufanye Nini🤣🤣
😂😂😂Vanny boi Haupendi Amani kabisa
😂😂
Anamkopy harmonize
Umeligundua Hilo kumbe
Hhhhh
Kumbe huku unakuja??
Lubumbashi kwetu one Love ❤️🇨🇩
Rayvanny is so talented
Rayvanny is always on fire daaaamn man all the way in USA 🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲
Mbona kama rayvanny kapaniki
😀😀😀😀 teacher konde ashavuka huu utoto wa kujibizana na mijibwa
Kabisa
Harmonize all The Way 🔥🔥🔥🔥
Now u have to mention Harmonize 🔥🔥🔥 let's wait for come back Konde Boy never disappoints ...uliza Mondi
Platnumz alishamnyoosha mgambo sasa hivi anaweweseka na mabange tu na kukohoa .........na video zake za milioni mbili halafu eti uingie soko la dunia.Atabaki hivyo ooh jeshi ooooh konde oooh TEMBO. ..ooooh Bakhresa......WCB walishatoka level za Bongo......mmakonde chukua hiyo unaishia kenya na bongo tu,halafu kwa WCB ,NLM wewe Huna HADHI YA kuitwa Mpinzani wewe ni shabiki wao.
Harmo Hana mziki.kuvimba tu
@@CPKARAO-1 Yaani halafu haelewi soko la Dunia linataka nini,kila asubui anatoa nyimbo and too local.
@@chizashungu1236 sijuhi wewe huko nchi gani lakini huku kwetu Kenya konde boy achezwi sana ukimliganisha na rayvanny na Simba
😂😂😂😂💔 sijui huyu anaimba nini
Team Rayvanny likes zenu apa oyaaa starrrr🤪🤪🤪🤪
Hiii nyimbo tumepigwa
pamoja sana
Eti umerudia Matapishi thuu😂😂hii niya Harmonize direct bila maneno😂😂😂🙌🔥
Ndio amemuiba hamo huyo kama sio uchokoziiii nini
😁😂😂😂😂😂
Daah Kumamaee Rayvanny kembe we mtoto tuh, wivu itakufanya una gombana na marafiki @Harmonize shine star 🌟 always ✌️✌️
Niko hapa kwa maua ya chui...chuu ni next leval kiboko ya harmonize
Vanny boy ume panic brooo!! We star wa vijembe
King Vanny Boy
Wewe ibraah ndo atakae kujibu. Harmonize is an international artist right now. Wasafi umeshindwa kujitoa na unadai uko na ganji, tombwa
Hamonize he never disappoint
Vanny Boy On The Rmx 🔥🔥
th-cam.com/video/ZpeducwK9co/w-d-xo.html
xx
Rayvanny for life
Hili nalo goma kweli 🔥💯🔥🔥🔥🔥wapi likes za hili dude 😎
Team konde plzz drop you like here,,,we are bigger than leopard in the jungle💪
I gat you
Hizi hatujibu mwenyewe ameshindwa hadi kupromote
As a musician getting to do a collaboration with both harmonize and Rayvanny is a dream come true,mabantu are lucky
th-cam.com/video/GMyTFPDAdJM/w-d-xo.html
th-cam.com/video/ZpeducwK9co/w-d-xo.html
th-cam.com/video/wwbhx_i24CU/w-d-xo.html
So lucky
Wake up from dat dream soon u will urinate
Muuuuh Rayvany wewe ni star piga kazi achana na vijembe .. najua hunaga kicki .. boss wako mwenyewe hafanyi kaz bila kiki.. zuchu Mpaka leo nyimbi hatoi yan guys you should trust what you have cyo kiki .. mziki mzuri utaenda tu ... piga kaz Rayvany
Hakuna star hapa
Mjinga hajui namna ya kucheza na mziki wa kisasa
Wasema pole bro Rayvanny mziki ulimkata kitambo anatafuta upepo wa harmonize but hawezi
@@salamakatana7650 Rayvany his a Star na hanaga kick hizo za Harmonize Naona now asira tu but he’s very talented., kwasasa zuchu nae bila kick hatoboi 😩😩😩😩😌😌 wakati ni mtu tulomtegemea ila kiki nying nyimbo miez miwili sasa inazogezwa.. yan kutojihamini
Hamna msanii mwenye mziki mzuri Tanzania kama Harmonize...
Hakk
Yooooooo ... Na umesema aki... Hizi ni Gani huyu nasema. Kwanza huyu aache kujifanya star
ckupingi
Cjackia inawezekana umeanza leo kushabikia music
Endelea kujifariji Hvyo...
Daah rayvany uliamka ukafikiria vita 🤣🤣ngoja tembo atakujibu tuskie uko hosy😂😂😂
Vita bado mbichi🔥🔥🤒
hakuna namna lazima utafute upenyo kupitia yeye😃😃😃😃😃😃😃sa itakuwaje🙃😄😃
😂😂
Vanny noma umeishiwa baba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 itabidi umezoea TEAM KONDE FOREVER apa fanya kazi Wacha ujinga harmonize humuwezi ata alafu hashindani na mtu team KONDE from Kenya apa nimepita
Bad saaaana hatuoni ulicho kimba mliongea San lakni hamuamini macho yenu harmonize ft kajalla Pete kidoleni 💍
Love from BURUNDI 🤣🇧🇮 Ntitwigeratunanigwa
We Landry bivug mugiswahili😅
😂😂😂😂
❤❤😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Vuga mugiswahili Landry 😄🙆
th-cam.com/users/shorts-vlNwnirS1I?feature=share👈👈👈 enjoy na hii nyimbo
Harmonize is a beast ray tulia we ni paka😊😊
you better quit and unsub******
Umesikia we paka
@@moigesusutv5227 unaumwa eeeh sana 😂😂😂hivo ndo ukweli huuma
Harmonize all the way💪🔥🔥🔥🔥rayvanny peleka beef zako huko mbali 😂😂na nimeenda😂😂💔🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️
Sytset fand from Congo DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇩🇰🇩🇰🇩🇰🇩🇰
😂😂😂😂 achana na jeshii ✌️✌️ tembo amekuzidi kubali tuh
Mwambie
Ashasikia huyu bwege tuh
Nani mwengine kasikia madongo ya rayvan kwa harmonize😂😂😂😂😂😂😂
Ana mamb y kike huyu😂mwenzie kashaachn nae yeye Sasa Kam demu 🤣🤣
Hamo karudia matapishi..😂
Huyo mbuzi hatu mjibu sisi anajibiwa na ibra ndo levo zake
Unateseka 😏😏 konde boy 4 every body 💪💪
Jamaa umebakwa nini 🤣🤣🤣🤣🤣
Nguvu za kiume tunazo sisi 🙋🏼♂️wasafi for ever 😊
Umtumwa
Umitumwa
Komaeti fatayako
Vivan Boy ❤️❤️❤️
Umeishiwa wallah misitari 😂😂😂mnataka kupata hit kwa kusemasema konde✍️✍️
Acha upumbavu msenge ww
Kifala
Mamae mu😎
@@epiconreview4494 Bwege tu🤓
Yeah bwana
😂😂 tuache bwanaa tuko bize na 💍
Hyu rayvan avalishwe dira kaachwa analeta maneno ya wamama ila konde boy forever💪🏾
Talent shows itself, keep it up.
th-cam.com/users/shorts-vlNwnirS1I?feature=share👈👈👈👈🙏 enjoy na hii nyimbo
TUSHAKUBALI RAYVANNY TO THE WORLD 🌎🌎🌍🌍
Beuu th-cam.com/video/HLqvhu8vj98/w-d-xo.html
Kesho ibraah akikujibu usilie bwana mdogo🤣🤣🤣
you rayvanny you have no mind you have seen the Harmonize collaboration and you are putting yourself in the spotlight let alone praise
*_Hapa ndio vanny namuona boya sasa yaani anapenda chokochoko kinoma khaaaa_*
Vijembe vingiiiiiiii
Mafumbo andika kwa dera watu wanataka mziki😄😄😄😄, maneno ya mkubwa wa majeshi teacher konde🐘
@Daizan Tech unkkk
Ukweli kaka
Nakuelewa kinoma bratha 🤣
Kabisa
Jeshiiiiiii
Dogo kaamua amtusi konde ndo deni lake wasafi likawie. Wasafi watakubondabonda tuh🤣🤣🤣🤣
Rayvanny i love you guy ♥️♥️♥️🇷🇼
Tanzania aisee is the place to stay! rayvanny imba nyimbo acha taarabu bro music saf utaujua2 syo kumchamba mtu wan dei utavaa dela kumchamba msanii mwenzako pls be busy with hit track acha hiz trash zitkazo kaa mda mfupi then hazisikiki.
Ray nailed it 😎💪💪
Number one love from kenya,💥🔥🔥
Heu th-cam.com/video/HLqvhu8vj98/w-d-xo.html
Hii ni nomaa sana. Rayvanny ameamua kutupa vijembe kwa harmonize daaah but still enjoying
Tz big up 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ata mponde Harmonze....he is the favorite so far
Walai hueezi mzidi harmonize 🔥🔥
Umeona ehee 😂😂 tatizo wanateseka sana 😂 konde boy for every body 💪 💪
Acha kumtukana harmonize bana Na Ukijiona Mkubwa Aanza vyako utoke kwa Monde Tuone ukubwa wako Msengeeee...
Kabisa bro
Ajitoe tumwamini
Konde music 🎶 worldwide 🌐 brother acha ujingaa kumdis konde utaacha kuimba
Ibraah ndio kiboko yako Rayvanny
Mabantu always kills in every Collabo.
Mabantu X Harmonize-Deka Hitsong Utamu 🔥🔥🔥
Who is with me🙏🙏
Me deka ndo songs 🎵
Acha bangi wewe ray X mabantu Ndo song
@@philemonkiller315 kabsaaa😂😂
Me
Here Iam
Dude just wait kwa ule anajua kujibu mafara kama nyinyi,He will never disappoint just wait for the boom🔥💥, harmonize to the world
unashonwa wew usingilie vita 🤣🤣🤣😂🤣🤣
Tukutane kesho kikaangoni tuichambue hii maana naona kuna vitu vyakudiscuss kidogo
Sahiii kuna vitu
Poleeeee rayyyyyyyy kaa utulie mapenz huwa ni ya wawiliii ulijua umewiniii ndo kwanzaaa harmonz kachukua mke nawe tft mke😁😁😁utapoteza mdaaaa hayo matus umejiharibiaaa kabisaaa mwanaume haweweseki vile kma unajiamin nawe endelea kupig mistar kwa Paula tuone kaaa mwanaum mzm unachamba dume mwenzio😁😁🤣🤣nilikuona wa maana kumbe zeto
Nilijua umekua kumb bdo katoto😁😁😁hapo unaumiaaaa
Mbn remix na mabantu tu wote
🤣🤣🤣🤣
Nimependa sana..chui nani kama wewe 🔥🔥🔥
HARMONIZE TO THE MOON❤️❤️
Konde gang❤️
🐘🐘🐘
🔥🔥🔥
Konde boy😂😂
Konde to the end🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Watoto wa Baba Diamond wote awa
Kali sana❤️🔥
Harmonize for life
Harmonize trash
Harmonize all the way ⚠️🇸🇴⭐️reyvanny is a child
❤❤❤❤❤
Umzima weee mwenyewe Eti harmonize kwioooo
True brother
Rayvanny international artist
HARMONIZE 🐐
Leo nimekua wakwanza jamani naombeni like
V vanny boy x mabantu mmeuewaaa🔥🔥🇹🇿
Chui 🔥🔥🔥 NLM4LIFE 🌎🐅👑
"Mwambieni huyo paka anajiita Chui"Ptuuh ....Hayakuhusu baba
Star Worldwide 🔥🔥🔥Rayvanny number artist in Africa,who is with me🙏
Jeuu th-cam.com/video/HLqvhu8vj98/w-d-xo.html
Be serious 😂😂
@@Kingtiger98 jkkkksķķĺzò
Uongo
Here I am ❤️❤️❤️
Ahahaha harmo karudiaaa matapishiii😂😂😂✅✅ ng’ombe hazeek main kajalaa😅😅
kweli wee ni star the only Tanzanian artist with a BET award v vannyboy💯💯💯💯💯💯💯
Rayvanny already recognized a legend all over Tanzania
Ongera KUBWA ƙwakweli MUKUBWA YANGU rayvany
Umenyoshaaaa chuiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🐯🐯🐯🐯🐯🐯🐯
Kalii sanaa Rayvany killed his verse 🔥🔥🔥 nomaa
Gey th-cam.com/video/HLqvhu8vj98/w-d-xo.html
Mabantu Vs harmoz it's always fire rayvany didn't kill it..🚮
So true
True vanny still young ,tooo young indeed
vanny murdered stop hating
Tena siku hizi hata siji sana acha washindane na ibra , Konde boy for every body 💪
@@jeremiahmyinga3007 kumanisha nin?
Vanny Hana Cha kuimba anahis bila kumuimba konde hawez kuhit muache konde wa watu mbna katulia konde gang big up
Chuiii ⛽️🔥🏨
First one to Comment nipe like zangu kumi kwa Rayvanny
💯💯💯🤜
Konde gang for life
Mwaka huu hakupi kiki kabisa.....
Mwijaku ndo anakutosha
Vanny bwoy trying to come back through harmonize😂🤣
He's no two on YT trending almost a month now. Ray ft zuchu.. Hamokinyesi views fake
Vanny boy trying to come back through harmonize😂
@@ts9dna862 He's on trending for YT Music for month now,, Are you there?
What we need is good music trending doesn't matter I can also trend😂
@@ts9dna862 How should i prove that music without making any record nor reaching even top three on trending for YT music on his own country!!?? What's the goodness of that music? W'all know the only way of him to trend is dissing his teacher for no reason! Remember to vote for Rayvanny against his fellow world best artists in one category.
Wewe unanichukia demu wako ananiita crush 🔥🔥🔥🔥
💯💯🤜
Fanya kazi fighting for nothing equal to nothing na ndo level ya maturity inapimwa kwa kufanya vzul co ugomvi
Sometimes nikiskiza wimbo huu natamani rayvanny aende u.s.a
Vanboy ni hatari sanaaa
This guys vannyboy is something else
th-cam.com/video/GMyTFPDAdJM/w-d-xo.html
ayee
th-cam.com/users/shorts-vlNwnirS1I?feature=share👉👉 enjoy na hii nyimbo 🙏🙏🙏
th-cam.com/video/ZpeducwK9co/w-d-xo.html
Wajiforce uku HARMO akutaje never kwa mziki UWEZI HARMO tafuta kazi ingine nyooooooo konde to the worldwide
Esse agora sem falar mal do Harmonize suas músicas não vão além. Vivaaaa konde boy
Star remix hii ni kali zaid ya konde 🙌
Mimi ni star ⭐
Deka to the world
Aty amerudia matapishi , this beef will be on for long
Chuii Leo ni mekubali ngoma Kali harmonize wakuwezi ni mdogo sana mwambie ashindane na Mac voise
Tafuta pesa acha ufala ww c aanze kuxhind ana n ibrah Jing ww
KONDE GANG 4 LIFE. Unajisheua Bure
Rayvanny uko too personal , IMEWEZAAAAA
Chuiiiiiiiiiiiiiiii star⭐ 🐯🐯🐯🐯🐯
Ngoma Ni ya kijembe Ila Ni unyama Sana Yani🤣🤣
Rayvanny focus na mziki mzuri acha majungu...unatupa dongo konde boy jua Ibrah sai yumo studio utajua hujui. Ngoma imebuma Kwa mashairi na mziki mzuri huwezi mfikia konde ata ufanye Nini🤣🤣