VUTA NIKUVUTE KESI INAYOWAKABILI VIJANA TUHUMA ZA UBAKAJI NA ULAWITI DODOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 291

  • @BabaFarzan-ml4er
    @BabaFarzan-ml4er 2 หลายเดือนก่อน +11

    Oscar salute zako ...
    Kinga yako sio ya nchi hii

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 2 หลายเดือนก่อน +15

    Huyu baba levo hafai hata kidogo asipojiangalia na yeye Mungu kamjalia watoto wakike wengi kuliko mwanaume. Baba levo ni chawa wa maafande mnabishana na chawa yani anautafuta uchawa mpaka ktk jambo lililogusa wananchi wote kweli. Hafai hata kidogo

    • @newtonnyembe8228
      @newtonnyembe8228 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ujanja ukizidi mbele kiza.
      Baba levo anatafuta kk mpk kwenye issue seriously kama hizi akidhani kapewa seen ya kuingiza hapa. Hebu ajiangalie na ajitathimini upya hapo siyo mahara pa kuuzia sura

  • @PaschalGerad-xq4lw
    @PaschalGerad-xq4lw 2 หลายเดือนก่อน +20

    Baba levo kuma tuu anajifanya kuitetea ukuma sana acheni ukuma bobu awa wasenge wote wakamatwe

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nawe huwezi kuchangia bila matukano?

    • @mwikamwika4851
      @mwikamwika4851 2 หลายเดือนก่อน +1

      Acha matusi

    • @othmanali7408
      @othmanali7408 2 หลายเดือนก่อน

      Matusi ya nini sasa ndugu

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 2 หลายเดือนก่อน +8

    Baba levo leo umezingua sana unabisha bila mpangilio kama upo kijiweni vile..Oscar Oscar una point sana hongera kwako

    • @venancerutta6875
      @venancerutta6875 หลายเดือนก่อน

      Osca ongera zako uko vzuri

  • @juliusmagoti5650
    @juliusmagoti5650 2 หลายเดือนก่อน +7

    Kwani huyu baba levo ana elimu kiasi gani! Mbona jambo hili ni jepesi sana, polisi wanaficha ukweli kwa interest zao, wanalindana. Ni rahisi sana kumpata huyo afande anayedaiwa kuwatuma wabakaji. Sidhani kama huyu baba levo anajua hata maana ya neno afande

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 2 หลายเดือนก่อน +9

    Baba Levo una ubishi wa ukoo, kumbuka Polisi wanamhifadhi mhanga, huyu ndiye wapelelezi wanaweza kumtumia kubaini afande ambaye wabakaji walimtaka akamwombe msamaha.

  • @helicious9402
    @helicious9402 2 หลายเดือนก่อน

    Oscar your very true... Wewe baba levo acha utani kwavitu seriously

  • @renathakalamage4931
    @renathakalamage4931 2 หลายเดือนก่อน +9

    Na wasi wasi na IQ ya baba levo wallah

  • @AMINASAIDI-mx7rs
    @AMINASAIDI-mx7rs 2 หลายเดือนก่อน +7

    😢😢😢😢😢maguli wetu yuko wapi angetatua hili tazo

  • @AdamStephen-h2x
    @AdamStephen-h2x 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo upo sahihi sana 🤝🤝

  • @ibraimoselemane17ibraimo29
    @ibraimoselemane17ibraimo29 2 หลายเดือนก่อน +2

    Oscar Oscar nishakwelewa kwenye kesi ina muhusu afande na anakuja afande anasema yule binti ni kama anajiuza. Nishakwelewa sanaaaaaa❤

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ww baba Leo swala hili talent Yako kaa kimiya unakera unatetea upuuzi unajiabisha jambo liko wazi kama serkali itatenda haki

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 2 หลายเดือนก่อน +3

    Baba levo ongea taratibu unawatoto wa kike,sijui unajaribu kutetea nini?? Haya mambo hayataki uchawa ,uliona wapi moto wa petrol ukazimwa na petrol

  • @nicolasmsaki5987
    @nicolasmsaki5987 2 หลายเดือนก่อน +16

    Binti ndioo mwenye kesi anamjua afande uyooo ndio kila kituuu bintii anafunga afandee

  • @NickyShamsa
    @NickyShamsa 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo respect sana

  • @storytownTv
    @storytownTv 2 หลายเดือนก่อน +11

    Leo ndo nimeliona pua la baba levo lilivyokubwa..😂

    • @kimrudiger4454
      @kimrudiger4454 2 หลายเดือนก่อน

      Umenifanya sana aisee😂😂😂😂

    • @SaidiMiraji-lk3vm
      @SaidiMiraji-lk3vm 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂 mimi nawaambiaga hili jamaa hua ni lisenge

  • @ntambisamwel4436
    @ntambisamwel4436 2 หลายเดือนก่อน +3

    Baba levo hujui kazi ya police nenda kacheze kamali

  • @PANCHWALL
    @PANCHWALL 2 หลายเดือนก่อน +1

    Narudia..baba levo hajasoma ila ana akiri..iyo ni akiri kubwa san kielew..baba levo anaelewaa

  • @Holiallen
    @Holiallen 2 หลายเดือนก่อน +14

    Msichana atakuwa anamjua huyo Afande aliyeambiwa amwombe msamaha...so ni mwanzo mzuri wa kumjua huyo afande

    • @carolinemariki4029
      @carolinemariki4029 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ilitokea akitishiwa na watu wasiojulikana atakubali kusema kitu mahakamani kweli jasa akifikiria what she went through ?

  • @TumainiMedason
    @TumainiMedason 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Levo msenge sana ww unanitia hasira

  • @MaulUme-t8n
    @MaulUme-t8n 2 หลายเดือนก่อน

    Hahah😂 baba levo hauna kitu kichwan kaka ...Iyo kaz hapo studio cjui umeipataj aise

  • @AzizalucasMbiduka
    @AzizalucasMbiduka 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman

  • @PANCHWALL
    @PANCHWALL 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo ua ni mtu wa akiri san hawa wengine sioni elimu hapo...baba levo anasema point

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo ameharbu hali ya hewa ghafla.Mungu msaidie huyu baba ajitambue. Amejisahau sn. Amrudie Mungu.

  • @MaulUme-t8n
    @MaulUme-t8n 2 หลายเดือนก่อน

    Babalevo upeo wako mdogosana kumbe dah!!... Oscar una upeo mkubwa sana kaka Big up sana!

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hilo li babalevo ni takataka. Mhanga kafichwa ili kumlinda polisi. Huyo afande ndio anasababisha.

  • @Pfmredio96.9Domcity
    @Pfmredio96.9Domcity 2 หลายเดือนก่อน +2

    Baba levol unaharibu kipindi na unawazuia wenye nondo kuongea

  • @wisdomfolks
    @wisdomfolks 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo ndo unasababisha darasa lasaba waonekane hawana akili

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 2 หลายเดือนก่อน +5

    Aliambiwa amuombe afande msamaha atasema ni afande gani itakua tu anamjua si atasema

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 2 หลายเดือนก่อน

    Haya hizo ndizo aina ya hoja zinazompa umaarufu Baba Levo😮😮Baba Levo hafai kusikilizwa katika jamii inayojitambua na kujiheshimu maana ni Mtu mzima hovyo😮😮😮

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 2 หลายเดือนก่อน +2

    Babalevo Leo Umezingua sana aiseee

  • @nasraswakala
    @nasraswakala 2 หลายเดือนก่อน +5

    Uyu baba levu chizi kua kubwa kama tanuli ngoja wamfanyie ivyo levo

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 2 หลายเดือนก่อน +2

    Apo kuna kulindana iyo kesi iko wazi ila mkubwa hajambi

  • @faithkaganda-k3s
    @faithkaganda-k3s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hv baba levo huyo angekuwa binty yako na alisema afande nisamee leo wale vijana tena wengne ni askari cyo na wanamwambia amuombe msamaa boss wao leo waseme hawajatumwa ww utaridhika na hilo?

    • @faithkaganda-k3s
      @faithkaganda-k3s 2 หลายเดือนก่อน +1

      Na pia ata binty anamjua afande nani alimuomba msamaha 😢😢so msituchoshe na akili zenu za kujazwa kila cku😏😏😭😭🙌🙌

  • @KunzabaVision001
    @KunzabaVision001 2 หลายเดือนก่อน +3

    jamani tunaomba haowatu tuwaonyeshe tuwabake wote na alie watuma

  • @stellahsimon4460
    @stellahsimon4460 2 หลายเดือนก่อน +2

    Oscar nakukubali sana. Mapua anyamaze

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mlalamikaji si yupo?..uyo binti kama yupo hai anamjua uyo afande sio lazima awo washenzi waseme uyo binti anamjua uyo afande

  • @Extraordinarynation
    @Extraordinarynation 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alfu wasafi media mnapaswa muwe serious mada kama hii ipo serious sana alfu mnamuweka mtu ambaye ajitumbui kazi yake kupiga Kelele Baba levo uhuu sasa ni ujinga yaan mada ipo very serious mtu anatetea upuuzi like serious uyo baba levo angekuwa mwanamke angefanyiwa ivyo na awo jamaa alfu wana habari wangekuwa wanaongea kama anavyo ongea yeye ivyo simple tu kama anavyotetea upumbavu sijui ange jisikiaje sometime unavyo kuja kuongea issues kama hizi kaa na ujifikilie kama Ndio wewe limekukuta ilo jambo sio unakuja kupiga kelele na kubishana na Hoja unazo toa zisizo kuwa na maana

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yani. Munguwangu

  • @djhdscratchmaster4110
    @djhdscratchmaster4110 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa heshima ya WASAFI MEDIA,baba Levo angezimiwa MIC. Ana entertain vitu ambavyo siyo vya utani wala kutaka kiki.

  • @ItikaWito
    @ItikaWito 2 หลายเดือนก่อน

    Ila mm ningeshauri binti aliye fanyiwa kitendo hicho anazifaham sura yeye Ana weza kumaliza ili jambo

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 2 หลายเดือนก่อน

    Bba levo kuma we unatetea nn hapo kila kitu kipo wazi mtu akiba tu anasakwa mbaka uvunguni hapo wanamrinda uyo hafande

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 2 หลายเดือนก่อน

    Uyo mama levo kumamamake kweli kweli ajui kuzungumza kabisa uyu hanisi

  • @berthamwakalebela7604
    @berthamwakalebela7604 2 หลายเดือนก่อน

    Hiii kesi Mungu aingilie kati tuuu haki ipatkane

  • @jazzjeff8431
    @jazzjeff8431 2 หลายเดือนก่อน

    Wasijemkamata king of Moro afande king sele..wala hausiki

  • @saidkawambwa4047
    @saidkawambwa4047 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo yupo sawa lkn osca na Adela mna mihemko.kwa mfano hao vijana wakasema afande tulio mkusudia alikua kati Yao?kwasababu ukiwa hunacheo chochote myenye cheo hata Cha cpl atakua afande wako.tuvute subratuliache jeshi la polisi lufanye uchunguzi wa kina ili akipatikana muhusika awe wakweli sio wa kumsingizia

  • @BrightShumbusho-i4y
    @BrightShumbusho-i4y 2 หลายเดือนก่อน

    Acha kubishiana...tafta chanzo cha kufanyika kwa hilo tukio na hapo ndo mtamjua ni afande yupi. Waliofanya tukio wanamjua afande aliyewatuma...pia yule RPC Mallya anamfahamu pia. Hapo ni kulinda logo ya jeshi tu😢😢😢

  • @filberth_Mchilo
    @filberth_Mchilo 2 หลายเดือนก่อน

    Baba Levo kichwa hamna kabisa Police ni Taaluma kubwa na hakuna ugumu wowote wa kumpata Afande INGEKUA ..... ILA BASI

  • @AbduSomo-b1n
    @AbduSomo-b1n 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe Baba levo umezaa watoto wakike hujuwi nini kitawatokea ‘ huyo bint anawazazi wake unadhani sasa hivi wanamaumivu gani’

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe baba levo ndio mpuuzi hivi? Nilikua nampenda😢

  • @MylaJoel-h2p
    @MylaJoel-h2p 2 หลายเดือนก่อน +3

    Baba levo si chawa ngoja siku yamkute si anawatoto wa kike uyu

  • @scholamodestus9386
    @scholamodestus9386 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo daaah umetia haibu

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo baba Levo hajielewi na kama ana uzao alaaniwe na kizazi Chao wote. Anajifanya anakuja kumbe hajui lolote. HEBU ajiondoe kwenye huomjadala. Wabaki watu Wenye akili timam tuu.

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 2 หลายเดือนก่อน

    Wasafi Media, ndo media pekee ya kipumbavu ambayo inakomalia vitu kama hvyo,kuna vitu vingi saana vya maendeleo hapa nchin vinafanyika ambavyo mnatakiwa kutangaza ili wananchi wajue, hamuwez kuwa kila muda mnaongelea huozo tu, hyo kazi waachie vyombo husika

  • @SalaDaniel-q2e
    @SalaDaniel-q2e 2 หลายเดือนก่อน

    Oscar nilikuwa nakuchukia lkn nimegundua nilikuwa nakosea sana
    Kuanzia leo nakupenda sana

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu baba vore msenge tuu,angekuwa mwanae asingeongea upumbavu

  • @BabaPana-w4b
    @BabaPana-w4b 2 หลายเดือนก่อน

    wasafi fm sijui hawana watu wa vipindi maana siwaelewi kabisa kama huyu baba levo sijui wamemtoa wapi maana kwenye mpila hanaongea usenge kila siku bado hajalizika kesi ya huyu dada nae hanaongea usenge sasa sijui kwanini wanamuweka kwenye vipind inamana hawana mtu mwengine had wamuweke yeye

  • @AlexAvelin-s9c
    @AlexAvelin-s9c 2 หลายเดือนก่อน

    Babalevo shauri yako ucje ukajichanganya

  • @one4real189
    @one4real189 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo akili hana leo nmethibitisha

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 2 หลายเดือนก่อน

    Mafundisho kibao kwenye sokomoko hili. Jamii nzima ina la kujifunza. Wote wake kwa waume. Yafaa tumrudie mungu.

  • @spantonsamba6191
    @spantonsamba6191 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli ukubwa wa pua sio wingi...

  • @Adohboy
    @Adohboy 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo acha kelele maan sijaona point yako

  • @mohamedhamad2374
    @mohamedhamad2374 2 หลายเดือนก่อน +1

    Babalevo kabla hajafungwa kule kigoma alikua na Akili nzur ila baada ya kufungwa hana tena akili maana amebaha sana anaogopa maana anahisi anaweza kurudishwa ndani.

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo kumbuka hao ni majeshi sio raia kumbuka wanakuwa na mafunzo ya kutunza siri wanaweza hata kukubali kufa hawatoi siri cha msingi hapo kuna kulindana

  • @arnoldkashula8665
    @arnoldkashula8665 2 หลายเดือนก่อน

    Ukute afande mwenyewe "Afande Sele"!😅

  • @hamisshabani4281
    @hamisshabani4281 2 หลายเดือนก่อน

    Baba Levo hapo Umezinguaa

  • @MaulUme-t8n
    @MaulUme-t8n 2 หลายเดือนก่อน

    Babalevo Zerooo kabisaa dah!!

  • @FaridaKaduguda
    @FaridaKaduguda 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo naomba namba ya da leti mimi farida

  • @ozuabrahamu8079
    @ozuabrahamu8079 2 หลายเดือนก่อน

    Ila huyu Baba Levo uwezo wake wa kufikiri ni mdogo sana swain xn huyu

  • @petrowashale1891
    @petrowashale1891 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo, nna wasi wasi na uwezo wake wa kufikiri😢

  • @omranalbarwani7190
    @omranalbarwani7190 2 หลายเดือนก่อน

    Iakini kama binti yupo kunashida gani ya ushahidi?

  • @alicemariki6928
    @alicemariki6928 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo huna akili kwani huyu bint SI anajua alikua anatembea na mme wa nani? Huna akili acha kutetea uovu

  • @bamdogokiki1486
    @bamdogokiki1486 2 หลายเดือนก่อน

    Kashalambiswa baba levo

  • @hamisshabani4281
    @hamisshabani4281 2 หลายเดือนก่อน

    Kwann huyo hint asimtaje Mume wa huyo afande kisha baada ya Hapo Ndo waanzie sasa

  • @abuubaya7614
    @abuubaya7614 2 หลายเดือนก่อน +4

    HUYU BABA LEVO MNAONAJE WANANCHI TU ORGANISE TUMCHANGIE AKAPUNGUZE HILO PUA UTURUKI MANA KAMA LINAMZIDI AKILI

    • @GloryClay-d2p
      @GloryClay-d2p 2 หลายเดือนก่อน

      Linavuta ela kila akihema😂😂

  • @MaimonaRajebo
    @MaimonaRajebo 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo unawtoto wakike likikukuta ndio akili zitakukaa sawa utajua kuongea haki sahv ongea pumba huna machungu pia huenda unamaombi ya kuajiriwa police

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 2 หลายเดือนก่อน

    Pia inawezekana hakuna cha Afande.
    Jamaani watu wangapi wamekamatwa na sare na silaha za Majeshi yetu wakifanya uhalifu.
    Muhimbili Dr bandia na sare.
    Tusiliingine sanaaaa jeshi la POLISI ktk upelelezi, hapo tayari kuna Raia kwa ujuwajiujuwaji hata huko Mahakamani watayaingilia.
    Sasa hivi kisheria kesi ipo Mahakamani mjadala huku ufungwe tusubiri maamuzi ya Mahakama kwa sasa

  • @EmanuelJoseph-j4m
    @EmanuelJoseph-j4m 2 หลายเดือนก่อน

    Yeye ndiyo anajiuza huyo.

  • @raishahatibu7095
    @raishahatibu7095 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo acha ujinga wee

  • @edinnafesto
    @edinnafesto 2 หลายเดือนก่อน

    osca mshauli baba levo aache kutetea uwovu kitu kinajieleza tu kp wazi alafu anaanza kutafta visababu vya kz gn

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu babalevo mnamlazimisha tu kuwa mtangazaji au mwanahabari huyu nimwanamziki jamani yeye hajui kabisa habari huyu wasafi mnabebabeba tu watu kwenye rediyo yenu

  • @FadhiliYusuphu
    @FadhiliYusuphu 2 หลายเดือนก่อน +4

    Uyo baba levo me simuelewi

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s 2 หลายเดือนก่อน

      Miwani tu,kichwani hamna ki2

  • @maselejonathan8452
    @maselejonathan8452 หลายเดือนก่อน

    Huyo baba levo hata msingemuita hapo hana point hata moja

  • @SambweteMtepa-k9g
    @SambweteMtepa-k9g 2 หลายเดือนก่อน

    Huenda polisi mwenyewe niyule Mama Alie sema huyu anajiuza

  • @mr.azalia4751
    @mr.azalia4751 2 หลายเดือนก่อน

    Yaaan baba levo sijui kasomea wap uandish wa habari maaana ni mbishi balaaaa

  • @evamwambapa5251
    @evamwambapa5251 2 หลายเดือนก่อน

    Me kwanza nashangaa huyu baba levo katokea wapi na kujifanya na yeye anachangia hii mada sahivi,mbona na mwenzie mwijaku na uchawa wao wa kupiga kelele hili jambo walikuwa wapo kimya me nilitegemea na hili suala wangelishikia bango kweli kweli haki ya huyu binti ipatikane km wanavopigaga kelele zao na hii wangepiga kelele hivyohivyo

  • @geoffreynelson4311
    @geoffreynelson4311 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba levo anajichanganya hajui hata anachoongea

  • @SihabaAbdallah-li6dx
    @SihabaAbdallah-li6dx 2 หลายเดือนก่อน

    Kila anowatetea wale washenzi basi mungu yupo na wananchi wapo wenye hasira Kali pia mkumbuke MNA WATOTO WENU KWAVILE HAUKUWA ULE UBAKAJI WAMTOTO WAKE MTU ANAONA KAM JAMBO DOGO SANA LILE ILA MUKUMBUKE WATOTO WENU HAZARANI KUSHINDA LA YULE BINTI AKA NYI MNA HURUMA GANI KWENYE USHENZI NA ULAWITI

  • @tausikiyabo6302
    @tausikiyabo6302 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona kazi ndogo kwa polisi si wataichunguza cm ya msichana na wataona mawasiliano yake na mume wa Afande halafu watampata Afande naona mnazunguka sana

  • @JumaKamtande
    @JumaKamtande 2 หลายเดือนก่อน

    Unaleta uchawa kwenye vitu vinavyoumiza mioyo ya Jamie ingekua alofanyiwa vitendo hivyo ni mama ako sijui kama ungeongea ivyo unavyo ongea

  • @EliasShila-f8e
    @EliasShila-f8e 2 หลายเดือนก่อน

    Yai vinzaaa...acha atetee ujinga....

  • @OmariSembe
    @OmariSembe 2 หลายเดือนก่อน

    Akipatikana huyo Mwanaume itafahamika mkewe ni nani

  • @afidhisaid6123
    @afidhisaid6123 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu baba levo ni hopeless sijui hata hata familia yake anaiendesha vipi

  • @njuka3515
    @njuka3515 2 หลายเดือนก่อน

    FROM DUBAI BABA LEVO NI MSANII ANAFANYA NINI HAPO.🤔

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona vitu vingine ni rahisi sana binti aseme alimfata nani kutoka yombo kwenda dodoma aliyefatwa ana mke alafu watu wachunguze huyo mke anafanya kazi gani wakikuta ni afande wamalizane nae sasa unataka kusema kwakuwa vijana wamekataa ndo kesi iishie hapo kwakuwa wamekataa baba levo wewe ulifungwa kwa ubishi usikute kesi yako ungeshinda ila kwakuwa ulileta uhanangwa kwenye maswala ya kisheria ukanyoa.

  • @mmeagroup-TV
    @mmeagroup-TV 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu babalevo ni mwananchi kweli au ndio Ubaya Ubwelaaah😂😂😂

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo unasapoti uharifu afande hawezi kumuchunguza afande warakumkamata afande razimawamfiche afande

  • @zahararamadhanisalmu395
    @zahararamadhanisalmu395 2 หลายเดือนก่อน

    Hawawenzi kumtaja boss waooo😊

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 2 หลายเดือนก่อน

    Baba levo ni afaiiii

  • @dullaupepo9767
    @dullaupepo9767 2 หลายเดือนก่อน

    Baba leve police wanataka kupoteza ushahidi kijana alofanyiwa anamjuwa afande na wale vijana wakibinywa watasema