Asante kwa mafunzo Sasa naomba uniambie nywele za low porosity utumie sitmeng gani ili nywele sikuwe kwa haraka na afya pia Mimi unashindwa nitumie nini Sasa tafazari unijibu grace.
Agness Maximilian chemsha mafuta kidogo kisha zipake kwenye ngozi ya kichwa hadi kwenye nywele.Harafu massage vizuri ngozi ya kichwa na uvae satin bonnet kwa saa1. Alafu kaoshe na shampoo ya aunt jackie.Kisha tumia LOC method kuweka conditioner mafuta na butter
@@gracebimz7935 Asante dia naitaji kuelewa zaidi maana Nina soloon saloon yangu ni mpya na wanakuja watoto wa kiarabu na mama zao pia ndo nataka kijua bidhaa zao na namna ya kuwahudumia ili wafurahie hudama Bora na nzuri
Agness Maximilian hongera sana kwa hatua hio dear. Waoshe kwa bidhaa za aunt jackies. Kisha upande wa mafuta ni vyema uwaulize mafuta wanayoyatumia dear.
Agness Maximilian ukienda dukani kununua bidhaa soma maandishi hakikisha hio bidhaa haina alcohol,mineral oil, paraben na sulphate. Ni nyingi sanaa ulizia tu bidhaa za natural hair utapewa uchague sasa anza kusoma maelezo vzur hivo vitu visiwepo
Ahaa una porosity gani kaka angu? Umeshapima ile njia ya kudumbukiza unywele kwenye maji? Hio ndo inatupa mwongozo uhudumie mara ngapi.Kama hujapima pima kwanza kaka
@@gracebimz7935 nimeshapima na nimepima nywele zangu zikiwa safi na kabla ya kuzipaka mafuta porosity yangu ni low porosity bilashaka kabisa alafu nazipenda saaaaaana ni nyeusi mno
Hii 4B ndio zangu ila sasa nyepes lainiii zinakatika Sana'a nikichana sasa uwiiii zinakatika naomba nielekeze chskufanya harafu zinawasha sanaaaaa. Natamani nije unione harafu napenda nywele napenda kusuka lakin mweee hizi nywele naomba unisaidie. Nifanyeje? Dada
Hongera Ila naomba msaada nywele yangu inakatika Sana kwa nyuma
Asante sana zangu ni 4 A
waaaaaahoooo Kipenz changu mwanafunz makini😘😘😘😘 thanx G
Woow karibu sanaa dear ruth❤❤❤
Asante kipenz kwa somo kwa kweli napenda kila unachofundisha mungu akubariki
Ooow asante sana dear na karibu mno❤
Uko vizuri sana nimekupenda donimekujua leo
4c noma sana mpaka uweke unyevu ndo uweze kuchana😂😂asante kwa somo unywele unaanza kufika mgongon sasa💃💃💃💃
Hahah naufurahia mnooo.Ni mgum sana so najitahd kuuwekea unyevu ili usikatike
Nakupenda dada. Unafafanua vizuri!
Nakupenda pia kipnz❤
Nywele zangu zinakatika mbele sana naomba msaada
Mm yagu B nidefu doka niaze kufuga nywele sijawahi kuweka sitim. Yoyot ile
4C here
Asantii dear kwa darasa...be blessed💕
Asante dear.4c kwel tupo na changamoto zake ni ule ugumu sasa😄
😂😂😂😂🙌😌
Mm naomb kujua maan ya porosity nn naomb unijib
Asante dada grace kwa somo zuri, sasa nimejua me ni 4b na ni low porosity.
Ayee Sawa dear hongera kwa kufahamu.. una nywele nzuri ❤❤❤
Natumia carili 4b ni nyingi zimejaa
Asante kwa mafunzo Sasa naomba uniambie nywele za low porosity utumie sitmeng gani ili nywele sikuwe kwa haraka na afya pia Mimi unashindwa nitumie nini Sasa tafazari unijibu grace.
Sawa dear.Tumia mchanganyiko wa ndizi, parachichi na maji ya mchele.Ni mazuri sana
Nitumie mafut gani ninaye weka cari
Mim nina 4c ila ni zinakatika hazikui naomba ushauri sis
Mim napenda unavosimliaa jamaniiii
Dada naomba ufundiahe jinsi ya kuosha nywele za waarabu pia na bidhaa nzuri za kutumia
Agness Maximilian chemsha mafuta kidogo kisha zipake kwenye ngozi ya kichwa hadi kwenye nywele.Harafu massage vizuri ngozi ya kichwa na uvae satin bonnet kwa saa1. Alafu kaoshe na shampoo ya aunt jackie.Kisha tumia LOC method kuweka conditioner mafuta na butter
@@gracebimz7935 Asante dia naitaji kuelewa zaidi maana Nina soloon saloon yangu ni mpya na wanakuja watoto wa kiarabu na mama zao pia ndo nataka kijua bidhaa zao na namna ya kuwahudumia ili wafurahie hudama Bora na nzuri
Agness Maximilian hongera sana kwa hatua hio dear. Waoshe kwa bidhaa za aunt jackies. Kisha upande wa mafuta ni vyema uwaulize mafuta wanayoyatumia dear.
@@gracebimz7935 Asante nashukuru my dia je bidhaa nzuri za kutumia kwa watu wa kawaida mpenz wenye nywele natural 4B na 4C
Agness Maximilian ukienda dukani kununua bidhaa soma maandishi hakikisha hio bidhaa haina alcohol,mineral oil, paraben na sulphate. Ni nyingi sanaa ulizia tu bidhaa za natural hair utapewa uchague sasa anza kusoma maelezo vzur hivo vitu visiwepo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂4c
😂😂😂African hair
Vipi ni hudumiye nywele zangu za 4B i mean kwa week au kwa mwezi.....so nahitaji kujua
Ahaa una porosity gani kaka angu? Umeshapima ile njia ya kudumbukiza unywele kwenye maji? Hio ndo inatupa mwongozo uhudumie mara ngapi.Kama hujapima pima kwanza kaka
@@gracebimz7935 nimeshapima na nimepima nywele zangu zikiwa safi na kabla ya kuzipaka mafuta porosity yangu ni low porosity bilashaka kabisa alafu nazipenda saaaaaana ni nyeusi mno
@@gracebimz7935 napiya singumu na siyo nyepesi sana
Nko 4 b
4A matunzo naitunzaje
Hi mimi nywele yangu ni 4c but haziwi ndefu
Una porosity gan dear
Me nywele yangu ni 4c nitumie nn
Una porosity gani?
Hii 4B ndio zangu ila sasa nyepes lainiii zinakatika Sana'a nikichana sasa uwiiii zinakatika naomba nielekeze chskufanya harafu zinawasha sanaaaaa. Natamani nije unione harafu napenda nywele napenda kusuka lakin mweee hizi nywele naomba unisaidie. Nifanyeje? Dada
Yangu mm ni4b ni laini
Awww hongera dear nazipenda 4B japo nina 4C
@@gracebimz7935 sema 4c zinakuwaga nyingi hadi raha
Lightness Charlse ndio dear ila ni ngumu haswaa
Mi Nina 4b je mafuta nitumie yapi
Mafuta ni yale yale mamy. Castor kwenye nywele na nazi kwenye ngozi