Mbona mimi nilitengeneza Hiyo Jeri ya bamia nikapaka nywele zangu matokeo yake nywele zinang'ang'ania kama umebond kuchana zinauma mpka ikabidi nisioshe tena Kwanzaa Mara nyingne Ili itoke iyo bamia
Huenda nywele yako ina heat damage just why ulipoweka gel ya bamia nywele ikawa ngumu mana gel yabamia inafaa kwanywele natural ambayo haijaaribiwa na moto
Dada asant umensaidia sana nimeona katokeo mazur
Asante kwaushauri my nakufatilia sana napenda unafahamisha vzr
Nashukuru dear, karibu sana
Asante kwa somo dada ntakutafuta private tuongee coz napenda sana urembo wa asili.
Mambo mm naitaji bidhaa za nywele asili complete
asantee maj unatumia maji ya mchele au ya kawaida
Wengine mafuta ya castor oil hayatukubali tunapata mba na nywele kuwasha sn, ss dada grace unatusaidia aje?
Asante hapo kwenye vitu vya kuweka kwenye spray bottle
Karibu sana mamy
Hongera Sana kwa kutupa ukweli kuusu nywele jamani huyu mrembo kaongea yote ya kweli tukifuata ushauri huu hakutakua na kipilipili.
Karibu sana dear
@@gracebimz7935 asante sana
Uko vizur sister asant3 kwa somo love u😘
Karibu sana dear💟💟
Ukipaka bamia unaosha cc?
Ukitumia kama leaving in conditioner huoshi mamy
Na shukuru sana dada asante.sana
Karibu dear
Natengenezaje leave in conditioner nyumbani? Au leave in conditioner ni nn,?
Khaa si kataja haapo mbona waja wagumu kuelewa
Naomba kuulizamafuta ya curl& wavejel activator
Yanapatikana wap
asantee mdada binafsi umensaidia sanaa maana nywele yangu ilikuwa haikui
Karibu sana dear,, Nashukuru
Asante kwa somo
Karibu dear
Mbona mimi nilitengeneza Hiyo Jeri ya bamia nikapaka nywele zangu matokeo yake nywele zinang'ang'ania kama umebond kuchana zinauma mpka ikabidi nisioshe tena Kwanzaa Mara nyingne Ili itoke iyo bamia
Pole sana dear ulivotengeneza ilikuwa nzito au nyepesi?
Huenda nywele yako ina heat damage just why ulipoweka gel ya bamia nywele ikawa ngumu mana gel yabamia inafaa kwanywele natural ambayo haijaaribiwa na moto
See
Ukishapaka gel ya bamia unaosha nywele?
Hapana hauoshi, tunaitumia kama leave in conditioner kwenye nywele zetu
Hi! Umesema namba zitapita ili Kama kuna mtu anataka vifaa awasiliane. Naomba namba asante
0752320329 karibu dear
@@gracebimz7935 thank u dear
Nitazipataj?
Nenda maduka makubwa ya vipodozi mamy
Mim Natal hz bizaa
My kwa watu wenye nywele za dawa tukifata hizo hatua je tutafanikiwa naomb unisaide dia kwa ushauri
Dear ntaandaa somo kwajili ya watu wenye nywele za dawa
Nitayapataje mafuta ya castol oil na olive oil?Nipo katavi
Kwa sasa nimeishiwa dear
Mimi nasukaga rasta lakini hazijawahi kukatika wala kudumaa..zinakua na zinaafya..mayb tunatofautiana
Then hata braids ni moja ya protective style...
Naomba mafunzo ya namna yakukuza na kurefu, kujaza nywele zenye dawa
Una aina ipi ya nywele dear
@@gracebimz7935 wakat napata somo lako lanamna yakupima aina ya nywele, ndo nilikuwa nime retouch so sijaweza kupima
@@gracebimz7935 lakini nywele yangu sio nyepesi wala sio nzito sana ipo kati
Nimejaribu jelly ya bamia, nywele yangu imekuwa laini na nzuri pia imejaa.
Wow! Hongera sana. Usiache dear
Wew Dada kumbe kwel BA's nam nitatengeneza umenip hamasa shogaangu