Pale mnapochagua mbunge ambaye muda wote yupo busy

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana ❤❤🔥🔥🔥

  • @sifamohamedi1369
    @sifamohamedi1369 3 ปีที่แล้ว

    Eti mnawezaje kutembea kwa miguu hivi mda mrefu 😀😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣, maamae Sumaku kiboko daaahh

  • @mudymchebe536
    @mudymchebe536 4 ปีที่แล้ว +2

    Mnatisha

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 ปีที่แล้ว +8

    Niatali sana haw jamaaaa
    Mmh!! Haw ndiyo comedy
    Bora Africa mashalik
    Wanafundisha sana na kalata zote
    Wana weza kuziba

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 4 ปีที่แล้ว

    Matumbo matumbo na malaria haipo kwenye katiba hiyoooooo 😂😂😂😂😂

  • @abdulkhamis7446
    @abdulkhamis7446 4 ปีที่แล้ว +1

    Sumakuu

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 4 ปีที่แล้ว +11

    Sumaku si mchezo ila hawa wote wa5 wapo vizuri sana, nawapenda sana. Mzee matata yupo vilevile hanenepi yupo fit kabisa.

    • @martinmaryogo6081
      @martinmaryogo6081 4 ปีที่แล้ว +2

      Yan hawa walikutana kila mtu anafanya vzr hatar

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣safi sanaa 😆😆😆😆😆

  • @asminhassan6213
    @asminhassan6213 4 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana nimeipenda hiyo

  • @sweertbertrugemalila4746
    @sweertbertrugemalila4746 4 ปีที่แล้ว +2

    Safii

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 4 ปีที่แล้ว

    Mko vzr

  • @felistamaembe4895
    @felistamaembe4895 4 ปีที่แล้ว +8

    Watakuwa ni wabunge wa CCM wanaolala Bungeni naishauri Serekali irudishe mikutano ya bunge tunalipa kodi kubwa sana.

    • @daudimaniseli759
      @daudimaniseli759 4 ปีที่แล้ว

      mbowe lini ulimuona jimboni? Zaidi ya dar akila bata.

    • @sturbontv2515
      @sturbontv2515 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaha sese so poa

  • @veronysiwale7832
    @veronysiwale7832 ปีที่แล้ว

    Nipo busy hahaaaa

  • @ernestndauka9301
    @ernestndauka9301 4 ปีที่แล้ว +8

    😅😅😅😅 mnawezaje kutembea kwa miguu muda mrefu hivi!! Daaah!! Sumaku!!!

  • @obedmlule5863
    @obedmlule5863 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali mzee wa Mlilingwa

  • @mwaserarashid5451
    @mwaserarashid5451 2 ปีที่แล้ว

    Aunt anasema yuko busy iyo kali sana

  • @pilisalim129
    @pilisalim129 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo za kwalesma

  • @lawrencegorden6678
    @lawrencegorden6678 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @onesmorichard4487
    @onesmorichard4487 4 ปีที่แล้ว

    Huku kunawatuuu???😂😂😂😂

  • @saidyoriyori9697
    @saidyoriyori9697 3 ปีที่แล้ว

    jamani matata wetu inauma

  • @khadijajuma4196
    @khadijajuma4196 4 ปีที่แล้ว +8

    Tunaomba mizengwe ioneshww kwenye DStv

    • @daudimaniseli759
      @daudimaniseli759 4 ปีที่แล้ว +1

      TAFUTA AZAM TV MENGI YAPO HUKO,,BEI NAFUU KWA WIKI HADI 3000 ,MWEZI 10000 KIFURUSHI HATA MIMI NILIKUA HIVYO NIKIENDA KWA WASHKAJI NAONA MENGI AZAM TV MPAKA NIKAHAMASIKA KUNUNUA ASAHV NDIO NACHO ANGALIA KWA SANA YANI MPIRA,MOVIES,BABY CHANEL,DRAMA CHANEL,HABARI ZOTE ZIPO YANI USIJIULIZE SANA TAFUTA AZAM TV.

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 4 ปีที่แล้ว

    👍👍👍

  • @lodricklema9593
    @lodricklema9593 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpo vizuri na kundi lenu limeimarika

  • @mwaserarashid5451
    @mwaserarashid5451 2 ปีที่แล้ว

    Mbunge alibananga yuko busy

  • @marliusmajani1810
    @marliusmajani1810 4 ปีที่แล้ว +1

    Naenda kwa mjomba Zambia iludiwe

  • @DanielSimon-s8c
    @DanielSimon-s8c ปีที่แล้ว

    Duuuuuuu

  • @japhetjuma6555
    @japhetjuma6555 4 ปีที่แล้ว +2

    Mizengwe mko juu

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 4 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂 Pesa ni tamu kuliko maendeleo ya wananchi

  • @allybinally1901
    @allybinally1901 4 ปีที่แล้ว +2

    J2 uagaa ckosiii kuwaangaliaa awa watu
    Kunamdaa natamanii wangeanzaa awa kwanzaa alafu biko badaee🤣

  • @chichiissa168
    @chichiissa168 4 ปีที่แล้ว

    Duh kweli tuwe makin watanzania wenzangu

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 4 ปีที่แล้ว +2

    HAPANA HATUJAMSAHAU ILA YUKO BIZEE . HUYU HUYU YUKO BIZEEEEE

  • @christinaagostino4257
    @christinaagostino4257 3 ปีที่แล้ว

    Rip babu Matata

  • @josephmgeni208
    @josephmgeni208 4 ปีที่แล้ว

    Nimecheka sana utazani mazuri eti kamwambia sikiliza shida za wananchi akajibu aah mhuyu mmoja tu da!

  • @lizzyshayo209
    @lizzyshayo209 4 ปีที่แล้ว +1

    Ina boa bhanaa...hiyo sauti background ni kubwaa hata husikiiiii

  • @jamilasaid2718
    @jamilasaid2718 4 ปีที่แล้ว +1

    Wabunge wa chadema hao

  • @salimsuedi2731
    @salimsuedi2731 4 ปีที่แล้ว

    Hii background music inasumbua... Jaribuni kubadilisha pitch yake ina- irritate sana

  • @saidikambi9597
    @saidikambi9597 4 ปีที่แล้ว

    I.T.V no one

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 4 ปีที่แล้ว +2

    Wajumbe c watu wazuri

  • @mansurnguja7306
    @mansurnguja7306 4 ปีที่แล้ว +1

    Wananchi tuko busy na viongozi wenye uchu.

  • @lexor8095
    @lexor8095 4 ปีที่แล้ว +1

    Safina ana surambaya kweli.kweli

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 2 ปีที่แล้ว +1

      Sura yako nzuri kakupa nani wewe unaemkosoa aliye kuumba? Hayawani mkubwa wewe na Mola anakuona tu itakuwa siri yako yatakayo kukuta kwa sababu hujulikani wewe mpumbavu.

  • @xmaramoja362
    @xmaramoja362 4 ปีที่แล้ว

    Mnasema wanawake ni dhaifu angalieni huyo ana vichwa viwili na hachoki.

  • @hassanbaraza1165
    @hassanbaraza1165 4 ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuri lkn hcho kinanda kinakera Sana masikio

  • @danielwile9485
    @danielwile9485 4 ปีที่แล้ว

    Tuko bize

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 4 ปีที่แล้ว

    Tumieni boom ambayo inadaka vzur sauti ...

  • @kisturiramadhani3923
    @kisturiramadhani3923 4 ปีที่แล้ว +2

    kama kunamtu kamuona mzee ana chungulia getini mpaka kavua kofia naomba lik zangu3

    • @florahburton9641
      @florahburton9641 3 ปีที่แล้ว

      Rtr a to figure out your way rrxfor tr too rr

  • @niachiemahehee2523
    @niachiemahehee2523 4 ปีที่แล้ว

    Nimewasoma

  • @yasiniselemani2412
    @yasiniselemani2412 4 ปีที่แล้ว

    Ndugu zangu msinitafte

  • @hamzakiria5322
    @hamzakiria5322 4 ปีที่แล้ว

    Umelibananga

  • @abdalahfarida2074
    @abdalahfarida2074 4 ปีที่แล้ว

    MBUNGE WETU MABULA WA MWANZA NA MATHAYO WA SAME HA HA HA HA

  • @apolotemba6993
    @apolotemba6993 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @justineonline6556
    @justineonline6556 4 ปีที่แล้ว

    Sauti iko chini Sana , mfanye mboreshe iwe inaskika vizuri ....

  • @joharimaunga7552
    @joharimaunga7552 4 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅

  • @geraldmtitu6256
    @geraldmtitu6256 4 ปีที่แล้ว +1

    Shida ulienda mwanamke angeenda mwanaume angempokea Apo umelong number

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 4 ปีที่แล้ว

    Maringo saba wezako wanona wewe wakonda nini mbaya??

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 4 ปีที่แล้ว

    Maringo saba wezako wanona wewe wakonda nini mbaya??