MIZENGWE: Mwanakulitaka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 40

  • @pazimazongera4934
    @pazimazongera4934 2 ปีที่แล้ว

    Mpo vizuri sana mnafundisha jamii

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 3 ปีที่แล้ว +2

    Duuu kama walimchulia maana hii ni miezi sita iliyopita saaa kafariki R.I.P MZEE MATATA

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani mko sawa. Safi kabisa. Tunawashukuru sana.

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 ปีที่แล้ว +3

    Oh umependeza leo dada mashallah

  • @dodimohammad
    @dodimohammad 3 ปีที่แล้ว +1

    "Acha kupiga makelele tafuta plan b" safina always my favourite...

  • @mwitasamwel409
    @mwitasamwel409 3 ปีที่แล้ว +3

    Kutoweka jamani mnatunyima uhondo sanaaa

    • @lusese1
      @lusese1 3 ปีที่แล้ว

      Usijali, tutafanya hivyo. Asante kwa kutuunga mkono.

  • @sanimoclassic1917
    @sanimoclassic1917 3 ปีที่แล้ว +1

    R. I. P. Mzee matata

  • @hamisahamisa5896
    @hamisahamisa5896 3 ปีที่แล้ว +3

    Wakwanza😗😗😗😗🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲😘😘😘

    • @lusese1
      @lusese1 3 ปีที่แล้ว

      Hongera na asante kwa kutuunga mkono. uwe na siku njema.

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani

    • @lusese1
      @lusese1 3 ปีที่แล้ว +1

      Mariam, sasa naona unaziona zote, wafahamishe na wadau wengine nini cha kufanya, Asante kwa kutuunga mkono.

    • @mariamfritsi4943
      @mariamfritsi4943 3 ปีที่แล้ว

      @@lusese1 nimeziona mbili mpya ni matarajio yangu nitaendelea kuziona, haya asante na uwe na cku njema.

    • @allyidrisa1520
      @allyidrisa1520 3 ปีที่แล้ว

      Naenda kutengeneza nae mkataba mbavu zang duu

  • @mohamedykabwanga1647
    @mohamedykabwanga1647 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P mzee matata ....mwendo umeumaliza

  • @issamsumi538
    @issamsumi538 3 ปีที่แล้ว +4

    Mkongo mbona umechoka ivo shida nini Mzee baba

    • @lusese1
      @lusese1 3 ปีที่แล้ว

      Kwa niaba ya mkongo, yupo vizuri ni mapito tu ya maisha. lakini yupo vizuri.

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 3 ปีที่แล้ว +3

    Sema Muwe Mnatuwekea Kila Jumapili Wakuu Ikishaonyeshwa ITV

    • @lusese1
      @lusese1 3 ปีที่แล้ว

      Tutafanya hivyo, tulisimama sababu tulisimamisha production, lakini sasa kama kawaida. Asante kwa kutuunga mkomo

  • @rahimwaziri1087
    @rahimwaziri1087 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P Matata

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 3 ปีที่แล้ว

    Wapo vizuri saaaaana...😁😁

  • @rashidhusain2958
    @rashidhusain2958 3 ปีที่แล้ว +1

    Sio burudani tu, bali kuna mazingatio. Mola akuweke pema penye wema mzee matata.

  • @paschalinastephano5808
    @paschalinastephano5808 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭😭😭tutakukumbka sana

  • @kaba7911
    @kaba7911 3 ปีที่แล้ว +2

    "Uhai wa Mzee siku hizi no kama mshumaa" 🤣🤣🤣 Dhaaa

  • @frediricknandonde1690
    @frediricknandonde1690 3 ปีที่แล้ว +3

    Mnachelewa sana kupandisha you tube tatizo nini aisee ?

    • @lusese1
      @lusese1 3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kutuunga mkono Fredirick, usijali tutaziweka mfululizo kuna tatizo kidogo lakini mambo yatakuwa mazuri.

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaa mzee hajakata moto huku watu wanagombania maali

  • @apolodickson1525
    @apolodickson1525 3 ปีที่แล้ว

    1

  • @pinochio5465
    @pinochio5465 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli tunajifunza na kuburudika pia

    • @lusese1
      @lusese1 3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa kutuunga mkono, James.

    • @pinochio5465
      @pinochio5465 3 ปีที่แล้ว +1

      😂 karibu sana 🤝

    • @lusese1
      @lusese1 3 ปีที่แล้ว

      Pamoja sana, na hatutawaangusha.

    • @kamakana8283
      @kamakana8283 3 ปีที่แล้ว

      Kanunuwen nvyakwenu acha kutegemeya nvya babaenu

  • @marthamshana9050
    @marthamshana9050 3 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 3 ปีที่แล้ว

    Nikuzur sn vipind vyenu vina mafunzo na vyakuchekesha

  • @patrickmunisi44
    @patrickmunisi44 3 ปีที่แล้ว +1

    Nazi nzuri lakini muwe mnawahi kuweka.

  • @athumanimtajih
    @athumanimtajih 3 ปีที่แล้ว +2

    Kula bure kulala bure

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 ปีที่แล้ว +1

    Chamtu mavii😂😂😂😂😂😂😂😂👌

  • @veronysiwale7832
    @veronysiwale7832 ปีที่แล้ว

    Eti umekuja kusalimia au kufumania..

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 ปีที่แล้ว +1

    Mafunzo mazuri kwa wenye akili mjifunze