Ndugu yetu alizingua kuwatelekezea halmashauri watujengee jengo na ndio ikawa chanzo cha uchafu ule uliokwama. Serikali ya mama wanasema wako wanachora jengo jipya lingine la liakalogharimu pesa nyingi lenye hadhi ya kimataifa. Ndugu yetu John kabla hajafa aliwaamrisha halmashauri ndio wajenge kwa Tsh 4 billions utadhani kinajengwa kituo cha daradara. Alitukosea sana.
Taifa lenye amani kazi nzuri wazalendo
Chuma hasa👏👏👏
Ayo TV muwe na video au picha za kuonyesha sehemu zinazotajwa tuweze kuona
jengeni tu,vipi Mwanza airport imesuswa!
Ndugu yetu alizingua kuwatelekezea halmashauri watujengee jengo na ndio ikawa chanzo cha uchafu ule uliokwama.
Serikali ya mama wanasema wako wanachora jengo jipya lingine la liakalogharimu pesa nyingi lenye hadhi ya kimataifa.
Ndugu yetu John kabla hajafa aliwaamrisha halmashauri ndio wajenge kwa Tsh 4 billions utadhani kinajengwa kituo cha daradara. Alitukosea sana.