KILA MTU ANATAKIWA KUMPENDA MAKONDA SABABU AMEAMUA KUFANYA KAZI ZAKE KWA UAMINIFU TUWE NA AIBU KUWAKUMBUKA WALIOFANYA VYEMA IKIWA SISI HATUFANYI VYEMA TUACHE CHUKI TUJENGE NCHI YETU
Amerudi. Alikuwa likizo ya kawaida kabisa. Hakuwa na tatizo lolote la afya na hata hapo anapokagua mradi husika kwenye video yuko sawa. Kuna namna saikolojia za Wabongo zinahitaji msaada mkubwa!
Kakayetu makonda mm ninakelo moja tunaomba mpwapwa rami iwekwe yaani kwangu nikelo kubwa sana❤❤❤❤
Makonda hongera na mapumziko karibu kazini mungu akusimamie. Amina
Asante mungu kwakusikia sauti harisia ya makonda 🙏🙏 💪💪💪
Allhqmdulillah yarabi muddasimlefu makonda nimetokakukuombea.
Mungu akulinde Mkuu! Kila lakhsri
This is leader
Mungu mwema allah amlinde
Bora hata nilukoswa raha kabsa
Mbna kama hayupo sawa hata kiafya
Anajikaza tu ila anaonekan ayupo sawa
AMEN AMEN
Alhmdullah
KILA MTU ANATAKIWA KUMPENDA MAKONDA SABABU AMEAMUA KUFANYA KAZI ZAKE KWA UAMINIFU
TUWE NA AIBU KUWAKUMBUKA WALIOFANYA VYEMA IKIWA SISI HATUFANYI VYEMA TUACHE CHUKI TUJENGE NCHI YETU
Alikuwa wapi
Mwamba kapoa alafu kakonda kinyama😮
Wale washadadiaji wa habari za sumu! Watu huupenda UONGO kuliko UKWELI! Waambiwapo UONGO huufanya kuwa UKWELI, na UKWELI huufanya kuwa UONGO!
Punguza manenonya unafuki mwamba yupo sawa na watu wajipange maana zima moto imelud kazn ukiwaka anazima
Wangemleta mtwara huku awakomeshe kdg
🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪
Amerudi. Alikuwa likizo ya kawaida kabisa. Hakuwa na tatizo lolote la afya na hata hapo anapokagua mradi husika kwenye video yuko sawa. Kuna namna saikolojia za Wabongo zinahitaji msaada mkubwa!
Makonda karudi. Ila afya Yako Bado haipo sawa..
Ila poa tuu.
Yanamwisho haya
Alhamdulillah bor mzima
Tunashukuru upo salama
Kama hana raha vile
Alhamdulillah bor mzima