🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ค. 2024
  • Karibu kwenye ibada ya ukombozi (Live) jumapili hii tarehe 21/07/2024 kuanzia saa tano na dakika arobaini na tano asubuhi; saa za afrika mashariki na kuendelea, utafunguliwa vifungo mbalimbali na kuwekwa huru, mjulishe na ndugu, jamaa na rafiki kwa kusambaza na ku-like ujumbe huu wapate kushiriki baraka hizi, Kwa msaada zaidi tupigie +255 759 253 593, Watu wote mnakaribishwa.
    NENO:
    Warumi 8;28-30

ความคิดเห็น •