Mbona muda wa kukamilika daraja unabadilika badilika sasa imekuwa February mwakani tena ? Kama ujenzi uko 93% sasa hizo 7% zilizobaki ndo iwe miezi yote hiyo ?!
@@kwisa4899 kwaiyo hiyo milad iliyoachwa inaendelea yeynyewe bila pesa kwanza unatakiwa ushukuru mtu aliemuachaia miladi mikubwa ya gharama kubwa kakubali kuimalizia angekuwa mwengine hao kina nape au kina makamba wangeshindwa kuindleza ni miladi ua gharama sana angekuwa mjinga mjinga ingemshamshinda kumaliza
Asante mama kazi iendelee🎉🎉🎉🎉
Mama Yupo Site Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Africa Mungu Mbariki Raisi wetu Amin
Mhe rais madai yetu tangu mwaka 2000 mpaka Leo 2024 tusaidie tulipwe sasante
Asante mama
Shukran Mama Yetu ❤
Ungeliwacha lisingekuwa.....
Madai ya waliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya Arusha mhe rais tuokuomba tulipwe sasa
Msifanye harakaharaka bila kuhakiki uimara wake weka mwezi wa.tano ili kijihakiki zaidi
Mm rais naomba2 anipe mutaj at lak tano2 inatoxhà
Tena mpk mwezi wa 2 wakt ilikua mwezi wa 12
❤❤❤❤❤
Mm rais namuomba2 anipe mutj ña mm ili niwez kuinuka kimaedeleo
Mlisema December sasa imekuwa February 2025 sasa mbona Kama wachina wanajipangia muda
Ivi hata hii haionekani??
Wa Tz tunapaswa kupongeza juhudi hiz
Mama mungu akupe nguvu tunakutegemea
Sema lilipofikia acha maigizo
Mbona muda wa kukamilika daraja unabadilika badilika sasa imekuwa February mwakani tena ?
Kama ujenzi uko 93% sasa hizo 7% zilizobaki ndo iwe miezi yote hiyo ?!
Kuhusu meli mpya ya mv Mwanza taarifa zikoje kwa sasa ? Kumekuwa na ukimya fulani hivi !
Vizuri mheshimiwa rais tuliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya Arusha tunakuomba wewe rais madai yetu ya muda mrefu tulipwe
Jpm alikua na akili sana hawa wengine walitakiwa kutumwa tu
Kwaiyo huyo mama kumalizia amekosea au x ngeamua kuliaxha2 kuna mtu angemxhtaki
@@karimmkejina980 ajamalizia yeye kasimamia alicho kikuta akili kubwa ya miradi mikubwa alikua nayo jpm subilini hawamu yapili ndio mtamjua huyu Mama
@@kwisa4899 kwaiyo hiyo milad iliyoachwa inaendelea yeynyewe bila pesa kwanza unatakiwa ushukuru mtu aliemuachaia miladi mikubwa ya gharama kubwa kakubali kuimalizia angekuwa mwengine hao kina nape au kina makamba wangeshindwa kuindleza ni miladi ua gharama sana angekuwa mjinga mjinga ingemshamshinda kumaliza
We akili yako ni ndogo mno inabidi ibustiwe na pi didy.
Mh mwakani tena mbona taharuki sana