PART2:ADAM HAJJ ALIEKUWA ANAMILIKI MISIKITI AKAOKOKA/NILISAFIR NDANI YA JENEZA WIKI3/MAMA ALICHINJWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 53

  • @andrewmhagama9816
    @andrewmhagama9816 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki kwa kutuvusha
    Maana hii ni ya kiwango cha juu sana
    1 Yohana 4:2-3 Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.
    Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya mpinga Kristo ambayo mmesikia kwamba yaja; na sasa imekwisha kuwako duniani.

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 ปีที่แล้ว +4

    Wamba karudi, endeleya na ukweli, Bwana YESU asifiwe🙏🙏🙏🙏

  • @AgieAsamba
    @AgieAsamba ปีที่แล้ว +4

    Go, Go,Go man of God you are going far itapokea taji na bwana yesu siku ya mwisho

  • @peninahmwaniah9755
    @peninahmwaniah9755 ปีที่แล้ว +2

    Ushuhuda mzuri sana. bwana yesu asifiwe milele

  • @ochidovictor9531
    @ochidovictor9531 ปีที่แล้ว +6

    Wakwanza from malindi kenya❤

  • @florencerose859
    @florencerose859 ปีที่แล้ว +3

    Wakristo wasimama wote shangue na vigelegele Yesu ndio njia ya uzima na milele

  • @jastinmkoba
    @jastinmkoba 3 หลายเดือนก่อน

    Safiii na Yesu atukuzwe sana juu Yako .........

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 ปีที่แล้ว +3

    😭😭 Jesus loves Muslims sooo much

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukutunza na akutangulie katika utumishi wako ubarikiwe sana

  • @RajabKombo-v1n
    @RajabKombo-v1n ปีที่แล้ว +3

    Jamaa mzuro sana kwa kuigiza uwongo

    • @petermwaibofu7580
      @petermwaibofu7580 ปีที่แล้ว

      Hapana anakupa ushuhuda wa ukweli msikilize kwa umakini

    • @HusseinGabu-wr3xh
      @HusseinGabu-wr3xh ปีที่แล้ว

      ​@@petermwaibofu7580tutajuaje kama huo ushuhuda ni wa ukweli ? yaani makristo majinga kweli Kila kitu ndio ndio maana Kenya wanendanganywa et wafunge bila kula mpaka wafe et yesu kamuotesha hivyo na Bado mkakubali yaani majinga kweli

    • @abeidmohamed2100
      @abeidmohamed2100 ปีที่แล้ว

      Muongo tu huyo atawadanganya nyinyi tu

    • @StellahMhilu
      @StellahMhilu ปีที่แล้ว

      Kama ilivyo akili Yako ya kipumbavu unasema kua ni uwongo wakati sio wewe yaliyo kukuta na hukuwepo au kama ni uwongo toa ushahida kwanini ni muongo.....?
      Tuache na sisi tuamin kua ni mkweli kwasababu tunajua anaongelea nini kwaiyo wewe ambae hujui kua mpole mtoto mdogo

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว +3

    Kwayo kufunga kama wale walokufa kule kenya ndio wamefunga😂😂

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 ปีที่แล้ว +1

    Imani iyi ya kumfuata Yesu mwana wa Mungu si mchezo watu wanachukulia kama nikitu cha kawaida iyi imani watu waliuwawa kwa mapanga, wengine kuchomwa moto, wengine kutengwa na familia. Mungu Baba yetu tusaidie

  • @interiorpaintingdesign9307
    @interiorpaintingdesign9307 ปีที่แล้ว +1

    hay davister weka ingine bana nafatilia kwa karibu hii ndogo sana

  • @kahindiwanje90
    @kahindiwanje90 ปีที่แล้ว +1

    👍👍👍

  • @Yourshaban
    @Yourshaban ปีที่แล้ว

    Huyu anasema alikua sheikh na anaijua dini pia familia yao wanaijua dini..ilikuaje wakafata tamaduni za urithi nje na uislam 😊😊😊😊
    Taratibu tutaelewana

  • @AllyNganganilla-bz2kk
    @AllyNganganilla-bz2kk ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    👊✌🙏.

  • @tututz100
    @tututz100 ปีที่แล้ว +1

    J.boys 1999

  • @josehkibona7565
    @josehkibona7565 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja na yote haya lakini mtu unakuta bado analeta ubishi badala ya kushtuka na na kuchukua hatua kujua kuwa kristo ni tumaini letu

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 ปีที่แล้ว +1

    Huu ushuhuda ni mzuri ila unakosa ladha kwa kukosa mtiririko mzuri vitu vingi Ooh ataelezea baadae sasa kama hana muda wakwenda hatuwa kwa hatuwa kwanini yuko hapo kuturusharusha

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saidgawawa
    @saidgawawa ปีที่แล้ว

    Story za mairungi huyo amekula mairungi anawadanganya

  • @AdamKipara-r3b
    @AdamKipara-r3b ปีที่แล้ว +1

    Upande wa pili mbona sioni povu

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 ปีที่แล้ว

      POVU LA NINI WAKATI KTK UISLAM HAKUNA MTU ANAEMILIKI MSIKITI KM KTK UKRISTO HAPO NDIPO WAMEBUGI KIDOGO KTK UONGO WALIOTUNGA

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 2 หลายเดือนก่อน

      Povu la nn

  • @pnight6550
    @pnight6550 3 วันที่ผ่านมา

    Jitaidi kupunguza sauti ya udio iyoo

  • @justinendizeye714
    @justinendizeye714 ปีที่แล้ว +1

    Sorry mwamba huyo

  • @RajabKombo-v1n
    @RajabKombo-v1n ปีที่แล้ว +3

    Huyu ni muongo mjinga karitadi ×

    • @wazomyakinifu2301
      @wazomyakinifu2301 ปีที่แล้ว

      🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🐷🐷🐷🐷

    • @ridhonemkaikuta8628
      @ridhonemkaikuta8628 ปีที่แล้ว

      Kafir

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      ​@@wazomyakinifu2301mbona unaweka vinguruwe tu, vipiii😂

    • @AgieAsamba
      @AgieAsamba ปีที่แล้ว

      Kaa ni muongo na mjinga mbona wapoteza bandles zako bure na wamaliza moto ya wifi ukimusikiza kizuri ni koma kumusikiza

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 2 หลายเดือนก่อน

      Sio kwamba n muongo ww roho inakuuma

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 ปีที่แล้ว +1

    Watokwa mapovu usiache kupita bila kuweka Dislike hapa.👇

  • @hassanm.5291
    @hassanm.5291 ปีที่แล้ว

    Upuzi na ushenzi Sawa

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 2 หลายเดือนก่อน

      Daah waislam roho zinawauma😅😅

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 ปีที่แล้ว +2

    Napita ila kufunga ni kufunga usijisifu ujinga

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 ปีที่แล้ว +1

      kabisaaaaa

    • @wazomyakinifu2301
      @wazomyakinifu2301 ปีที่แล้ว

      🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️🐷🐷🐷🐷🐷

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 ปีที่แล้ว

      @@wazomyakinifu2301 veepee

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 2 หลายเดือนก่อน

      Manguruwe mpogo wengi sana

    • @IreneMnyana
      @IreneMnyana วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 mnafurahisha

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 ปีที่แล้ว

    Bangi inamisumbua nyie

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 2 หลายเดือนก่อน

      Waislamu mnateseka hapo mshajua njia sahihi n ipi😅😅

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 2 หลายเดือนก่อน

      Waislam roho zinawauma hapo mshajua ukwel uko wap😅😅

  • @florencerose859
    @florencerose859 ปีที่แล้ว +3

    Wakristo wasimama wote shangue na vigelegele Yesu ndio njia ya uzima na milele