Waleykumu salaam warahmatullahi wabarakatuh akhi. Make duaa in the salah the messenger salalahu aleyhi wasalam encouraged to do duaa in the sujuud. Maybe sometimes you feel like making duaa after salah that’s fine only sometimes though don’t make it a habit because it becomes bid’ah
Duwaa baada ya swala mtume hakuleta kwa pamoja huo ni uzushi ila kuna adhkari ambazo kila mtu anasoma peke yake sawa ila duwa baada ya swala kwa pamoja uzushi huo
Ndy yafaa
Assalaamu alaikum warahmatullah wabarakatuh. Nko na swali nje ya mada. Je yafaa kuleta duaa baada ya swala??