Napenda sana move zinazo onyesha uhalisia wa maisha yetu, haya ndio maisha ambayo mungu ametupatia, hatuna budi kuishi kwa furaha na amani kuliko kutamani maisha ambayo sio yetu. ( A'm a village man,but currently in Town) 🙏🙏 God
This is one of the best taita movies i have watched Please make more of these to preserve our taita talents and culture🎉 congratulations to the director and the team Good job
mmenikwaza sana mlivoifanya hii story.... laiti kama mngeipangilia vizuri story ni nzuri ila director ameshindwa kabisa kufanya inavotakiwa ili story iwe vizuri
So my guys of wadawida these are some of my documentaries,,, Her billioner, husband,,, son in law of the wealthiest,, the shadow of forever,,, the President's accidentally wife,, his un expected bride,, the sweet revenge of reborn wife,, mistaken marriage,, the run away bride,, I fell for my brother,, the surrogate, the starlight,,, my highschool crushy,, poor husband turns into a billionaire,, substitute bride vegetative husband, ,,,,, ,,,,,,,,,,,,,, so if u wish,,, to act them nitafutee ndugu yangu,, infact nimeona badala ya kuzipigia debe Kwa watu wengine ni bola nianzie nyumbani ila mkiona kaa c poa nitapeanishana Kwa wengine,,,,, guy mbarikiwe sana,, nawapendeni,,, Mungu awayie nguvu,,
Taita ,,, nawakubali wanangu,, kinyama Yan,,, ila mm Nina waomba iv,,, mm nipo na documentary mingi sanah za ku actia movie,, kama mngependa niwa support nazo niambie mm ndungu yenu mtaita,, hakuna MTU hapendi kwao paendelee bwana ,, mkiangalia kaa watanzania hawez kuwapea madocumetary muendelee,, saa nyie nitafuteni niwapee content muikakugue then muniambie kaa Iko fty au nawachicha tuh,,
Any mtaita mwenye anajisikia ana kipaji Cha kuact nitafutee ndungu yangu nikusaidie mie hapa cjajaliwa kipaji Cha ku act but ninacho kipaji Cha kutengeneza documentaries,,, so wanidu wenye mna vipaji njooni niwasaidie,,, msilalie aty mseme ,, naweza act ila content ndo kidogo ,, ndungu yangu dada yangu UC waze Kwa ilo,, mm nipo nitawasaidia,,, nitafuteni tuh mtajionea,,
Wow it's a nice one,,,,Leila
Napenda sana move zinazo onyesha uhalisia wa maisha yetu, haya ndio maisha ambayo mungu ametupatia, hatuna budi kuishi kwa furaha na amani kuliko kutamani maisha ambayo sio yetu. ( A'm a village man,but currently in Town) 🙏🙏 God
@@omaryadam6884 karibu ndugu, wasambazie wapendwa wako
This is one of the best taita movies i have watched
Please make more of these to preserve our taita talents and culture🎉 congratulations to the director and the team
Good job
Yes man we intend to do more
@@TaitaDaily_ke i will appreciate it
@@wilychox1237 great
Am happy for my people
The long awaited great film...I love the work
Taita taveta to the world
Woyeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
From the moment naaanza kuwatch...Niko nangoja part ya my gee mashel🎉🎉
Am super proud of you my home people ❤❤❤.Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi.
@@JaelMwake shukrani tena zaidi,wasambazie wapendwa wako watazame pia
@@TaitaDaily_ke ✅✅✅ Done
Safi sana
Kazi nzuri sana...Inaleta hisia za Maisha Halisi ya Asili yetu, Yehova Mungu awaogoze na kuwainua mara 1,000,000,000,000,000% Msiache Endeleeni...
Shukran sana ,ukiwasambazia wengine,itakuwa poa sana
Kaaazi saaafi sana
Kazi njema wakuu....we are proud of you.
forward ever, backward never....
karibu ndugu wasambazie wenzio
🎉🎉🎉🎉🎉 good work
Congratulations more love from meru
@@JoshuaimpwiMukaria karibu sana ,isambazie watu wa Meru
Congratulations🎉🎉
Makini sana kaka ..big up sana
Hongera sana
@@joycemshai2452 shukran sana
Kokirachalachen (congratulation)
hehehe
Finally Leila ❤
🎉🎉🎉🎉 nice work
wah,,, iko sawa ila yenye kuuzunisha vile , 😢masikini Leila msichana mrembo
Shukrani, wasambazie wapendwa wako pia watazame
Dadangu Leila Kazi swafy nakubali ,, dadangu,, Mungu akusaidie,,
Rosie 💪👏
I'm proud of what we did here💯💯 Appreciation to all involved ❤🔥
Santa tumefunguka macho 😂😂Mungu atuzidishie jamani
Share to others too
Natamani kidawida kweli😂😂😂
Congratulations bro
Guy poleni sanah nilisema apo ivyo aty documentary laaa sinhivyo but n scripts,, sawa ndugu zanguni
Siz Joy chawucha bwana kwanireda mzinyi ❤😂😂
karibu sana ,sambazia wengine
Great work wallai 🥹🥰👍
Good work 👏 🙌
thanks you are welcome
Good job my director ❤
Nice one
Nice one 🥳
Congratulations keep going,, more love from kitui ♥️💯
Thank you so much 😀
Kazi nzuri 🎉🎉😊
Safiii
Movie nzuri sana uhalisia wa maisha unaboresha movie mana zimezoeleka za kuiga maisha ya kizungutu so good
nimeona Martha irenge jameni 🤗
Nice one 🎉🎉🎉🎉🎉
sambazia mafans wako kichwa
@@TaitaDaily_ke sawa Mkubwa wangu nitafanya hivyo
@@javanmghosi2192 nzuri kabisa
Good work 👏...masagho niredelo ng'ombe yapo jamani 😅
In english ni bora zaidi, Big up brother
Am proud to be taita💌💌💌
Karibu sana,unaitazama ukiwa wapi?
Nmeipenda sana keep going love it...sauti pia improve on it🎉🎉🎉🎉
Woow 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤wadawida wa mzedu🔥aho ni hao lakin
ni kitivo mwatate
Nimependa nilichotazama.
Shukrani,share na wengine waone .
🎉🎉🎉kazi safii snaa
Shukran dadaa,share to your friends
Good job🎉🎉🎉
Itanifanya nihamie taita, urembo reload❤
Karibu sana
Ur most welcome
✨
Kazi Safi sana
@@MaynardKambucha karibu sana ndugu
Imekaa powa
💖💖💖❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤
Kazi swafi wadawida wamzedu.
Hongereni sana.nawatizama nikiwa Tanzania❤❤❤❤❤
Karibu karibuni tunafanya filamu na WaTanzania
@TaitaDaily_ke shukran sana kazi nzuri
Bro nakupigia salute hii Ni biggy🎉
@@amon_maghanga safi kabisa bro
Exact location of the movie shoot please?
@@Scalpa952 Taita Taveta
Taita
nzuri
Good work.. mbona Leila alipotelea kwa njia ama ndo alikuja akawa mama Kevin?
@@williammabwi4296 that's the wonder of the story, anyway yes she became the mother 8years after
safi sana
Shwari ndugu isambazie wengine pia
Hii ndo inabamba sasa😂😂
mmenikwaza sana mlivoifanya hii story.... laiti kama mngeipangilia vizuri story ni nzuri ila director ameshindwa kabisa kufanya inavotakiwa ili story iwe vizuri
Tunakuwa mkuu ,ila kazi zinakuja
Mbona mmetufungia hatuwezi danload
🎉🎉
𝑀𝑏𝑜𝑛𝑎 𝑠𝑖𝑘𝑢𝑜𝑛𝑖 𝑑𝑎𝑑𝑎 ℎ𝑢𝑘𝑢 😂😂😂😂😂𝑛𝑎𝑘𝑢𝑡𝑎𝑓𝑢𝑡𝑎 𝑠𝑖𝑘𝑢𝑜𝑛𝑖
Leila n wada kwameria skuli eeh,, karib shighadi danu,, ngombe raweseria,,
"Yule jamaa akienda kwa computer map itakuaje? "
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂chofi iyo
Cute girl
So my guys of wadawida these are some of my documentaries,,, Her billioner, husband,,, son in law of the wealthiest,, the shadow of forever,,, the President's accidentally wife,, his un expected bride,, the sweet revenge of reborn wife,, mistaken marriage,, the run away bride,, I fell for my brother,, the surrogate, the starlight,,, my highschool crushy,, poor husband turns into a billionaire,, substitute bride vegetative husband, ,,,,, ,,,,,,,,,,,,,, so if u wish,,, to act them nitafutee ndugu yangu,, infact nimeona badala ya kuzipigia debe Kwa watu wengine ni bola nianzie nyumbani ila mkiona kaa c poa nitapeanishana Kwa wengine,,,,, guy mbarikiwe sana,, nawapendeni,,, Mungu awayie nguvu,,
Johnson Donald Anderson Mary Anderson Elizabeth
Sauti mutengeneze vizuri bana
Shwari ndugu
🎉🎉🎉
Chabucha sana ata wameru tumeipenda
@@mweteriedwin4661 kabisa ,share na wapendwa wako basi
❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️
❤😂
Taita ,,, nawakubali wanangu,, kinyama Yan,,, ila mm Nina waomba iv,,, mm nipo na documentary mingi sanah za ku actia movie,, kama mngependa niwa support nazo niambie mm ndungu yenu mtaita,, hakuna MTU hapendi kwao paendelee bwana ,, mkiangalia kaa watanzania hawez kuwapea madocumetary muendelee,, saa nyie nitafuteni niwapee content muikakugue then muniambie kaa Iko fty au nawachicha tuh,,
Shwari ndugu
@TaitaDaily_ke nakubali kaka
@TaitaDaily_ke saw kaka nakuku Bali,, Kwan bro ww ndo director
😂😂😂😂😂😂😂😂
Any mtaita mwenye anajisikia ana kipaji Cha kuact nitafutee ndungu yangu nikusaidie mie hapa cjajaliwa kipaji Cha ku act but ninacho kipaji Cha kutengeneza documentaries,,, so wanidu wenye mna vipaji njooni niwasaidie,,, msilalie aty mseme ,, naweza act ila content ndo kidogo ,, ndungu yangu dada yangu UC waze Kwa ilo,, mm nipo nitawasaidia,,, nitafuteni tuh mtajionea,,
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤only sound watching from Saudi
Great improvements will be made ,
Please share with other friends in Saudi.
@TaitaDaily_ke good
You need to have these movies in English
Will work towards it
No need sir, caption have?
ongeeni kiswahili kwa wingi lakn iko poa
let the story not be true,coz nimelia sana
Okay 👍🏾
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤️❤️❤️❤️
na sauti pia producer atengenze iache kukata kata
Hilo litazingatiwa , shukrani
The music is too high...wallahi
Hehehe great
Wataita wanaongea kama wanyamwanga
@@aeshisikanyika5664 hehehe wanyamwanga wa wapi hao😄😄😄
Swafi hii
IMEKAA POA
@@aluichijohn4792 shukrani,tegea for more
Filamu hii inaonekana kukua nzuri lakini changa moto ni kwamba sauti haipo.
Ni changamoto za TH-cam ila , filamu zingine safi zinakuja nzuri zaidi,tegea mkuu