#Live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @PrincePaul-z3s
    @PrincePaul-z3s 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acha uhuni ndugu yangu kumbe hata kupa bado kiukwer chama hawezi mfikia azzk Wala pacome SEMA Hujui mpira

  • @JumafMakwega
    @JumafMakwega 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa anajipotezea viwers anaongea bila kuweka akiba ya maneno anaweza huyo chama asipafomu vizur kuwashinda hao aliowakuta kwahiyo usiongee sana

  • @JumafMakwega
    @JumafMakwega 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha poro za ajabu chama ni mchezaj mzuri lakini usiwashushe daraja wachezaji wengi kila mchezaji ana ubora wake huyo chama ana madhaifu mengi hakabi timu ikiwa haina mpira kwahiyo pacome azzk hata maxnzingeli bado wazuri kiliko chama wanajituma wanashambulia na kukaba chama mvivu kukaba sio mbora kuwazidi hao

  • @FiliMsambwa
    @FiliMsambwa 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anaumwa huyojama sisi kama yanga azizi ndokilakitu pale yangandomana analopwa mshahala mkubwa zaidi kuliko chama

  • @msafirisalum8436
    @msafirisalum8436 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Azizi ki ni habari nyingine mjinga wewe

  • @malitozzy3538
    @malitozzy3538 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ww jamaa mshamba sanaa unaongea utumbo wako fala ww

  • @SumiziBalungula
    @SumiziBalungula 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mahaba yamepunguza weledi wako.

  • @SumiziBalungula
    @SumiziBalungula 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pakome aziz hawana mpinzani

  • @HijiraHussein
    @HijiraHussein 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    chamaaaaaaaaa mbna liko wazi mazeee

  • @kimarobeatus
    @kimarobeatus 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ata kama weee ni yanga bado sija ona point uliyo ongea chama ana goli ngap zakumfikia aziz mwaka huu

  • @kimarobeatus
    @kimarobeatus 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    wee jamaa me nakukataaa